Nyerere kutangazwa kuwa mtakatifu

Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili. (Mhubiri 1:2). Kanisa katoliki limejaa mambo ya kidunia na mapokeo ya wanadamu yasiyo ya ki-MUNGU. Hawaenendi sawasawa na maandiko matakatifu (Biblia) bali kwa Katekisimu yao yaliyo maagizo ya wanadamu.
 
Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili. (Mhubiri 1:2). Kanisa katoliki limejaa mambo ya kidunia na mapokeo ya wanadamu yasiyo ya ki-MUNGU. Hawaenendi sawasawa na maandiko matakatifu (Biblia) bali kwa Katekisimu yao yaliyo maagizo ya wanadamu.

Unaweza kuonesha kwa ushahidi ulio wazi, popote kwenye katekisimu ambapo mkatoliki anapingana na Biblia?

Unaweza kuthibitisha pasi na shaka kuwa "Kanisa Katoliki limejaa mambo ya kidunia na mapokeo ya wanadamu?"

NB: Usilete yale maneno yako ya jumla yasiyo na maana wala logic, twende ngazi kwa ngazi.
 
Unapochangia mada ni vyema kuchangia wakati kichwa kimetulia na si vinginevyo.
Hoja zako zimejaa chuki,hasira,jazba na ushabiki usiokuwa na sababu



hivi ni habari tu za roho mtakatifu nyerere kwani hiyo historia yake ndio iliyomfanya awe mtakatifu.

katika sifa moja ya ytakatifu ndio hizi
 
Umemaliza?

2. wakorinto 11 >15
maana watu kama hao ni mitume wa uongo,watendao kazi kwa hila, wanaijigeuza wawe mfano wa mitume wa kiristo.

wala sio ajabu maana shetani mwnyewe hujigeuza awe mfano mfano wa malaika wa nuru.

basi si neno kubwa basi watumishi wake basi watumishi wake nao hujigeuza wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao

mambo ndio hayo watakatifu wakiristo ni waongo.

mashetani wanajifanya watakatifu.
 
2. wakorinto 11 >15
maana watu kama hao ni mitume wa uongo,watendao kazi kwa hila, wanaijigeuza wawe mfano wa mitume wa kiristo.

wala sio ajabu maana shetani mwnyewe hujigeuza awe mfano mfano wa malaika wa nuru.

basi si neno kubwa basi watumishi wake basi watumishi wake nao hujigeuza wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao

mambo ndio hayo watakatifu wakiristo ni waongo.

mashetani wanajifanya watakatifu.

Pamoja na dhulma yote aliyoifanya wakati wa Azimio la Arusha kuwadhulumu watu mali zao. Vile vile dhulma aliyoifanya wakati wa kuwalazimisha kwa nguvu watu kuamia katika vijiji vya ujamaa na dhulma kubwa ya kuivamia Uganda na kuondoa utawala wao kwa ajili ya chuki binafsi na kuuwa watu wengi bila sababu. Leo awe mwenye heri.


Basi hata Hittler naye awe mwenye heri.
 
Nyerere was no saint..............he detained his opponents...nationalized buildings and put the country in a mess!!!!!!!!!!you call him a saint? This is a joke
 
Nyerere was no saint..............he detained his opponents...nationalized buildings and put the country in a mess!!!!!!!!!!you call him a saint? This is a joke
Nani alikwambia kuwa kutaifisha majengo ni kosa? Kuwaweka wahalifu kizuizini ni kosa? Nipe sifa za saint.
 
ameomba tuchangie tetesi nafikiria hana kosa

tutamkumbuka kwa mabaya na kuongeza ukafiri na kuwaua waislam zanzibar.

nengependa kwanza mutizame hii film

http://www.youtube.com/watch?v=XqHi50YdAQQ

ndio nikasema utakatifu wa ukafiri. kwani zanzibar inajulikana sana historia yake lakini tanganyika ilifanya mapinduzi zanzibar kushirikiana na muengereza.

na kuwaua wazanzibar wengi sana ambao ni waislam na kubadilisha historia ya zanzibar.

pamoja na kuwabatiza wazanzibar wote watumwa kwa lazima au mtu atakatwa kichwa kama vile alivyofanyiwa kunta kinte kuitwa toby.

mkitizama film hii mutaona jinsi jeshi la tanganyika lilivyoshirikiana na watumwa na baadhi tu ya wanafiki wa unguja jinsi ya kuwaua waislam

watanganyika wengi walijipenyeza zanzibar baada ya uhuru kwa kushirikiana na muengereza ili kufanya mauaji ya kinyama zanzibar.

na pia kuna kumbukumbu nyingi tu za watumwa zanzibar watu ambao waliokuwa wakifanya biashara za utumwa zanzibar walikuwa waengereza.

wakifisha watu kutoka bara kwenye makanisa ambayo chini kuna mahandaki na hata kufungiwa ngome kongwe.

nafikiria zanzibar ilikuwa ikisifika kwa idadi kubwa ya waislam hata kafiri kutoka bara akiingia tu zanzibar hujisilimisha mwenyewe na kujiita jina la asuman au lajabu kwa wanaume na wanawake maliam haya ndio majina yao makubwa.

kukaletwa historia mbovu ambayo hata karume alitorokea utumwa akalelewa na wazanzibar pia iliandikwa historia kuwa amezaliwa mwera na mtu kulazimishwa kuikubali kwa nguvu hadithi hiyo hata wanafunzi mashuleni.

zanzibar kukawa kuna afro shirazi ambayo ilichanganyika na wabara ambao ndio waliopelekwa kule kuua.
maendeleo ya zanzibar yalipozidi kukua watanganyika wakakasirikiana na kibaraka wao ambaye karume kwani alizidi upande wa wazanzibar na kuwazarau watanganyika ambao ndio walioua ambao ndio waliofanya mapinduzi.

siri ya kifo cha karume kinajulikana lakini kimefichwa na aliyemuua ni rafiki yake ambaye ndie aliyemueka baada ya kutokubalia na upande wa wabara,

wakamuua hapo ndio walipomuweka jumbe ambaye naye alikuja kuua zanzibar na yeye hana famili zanzibar na kutupwa nje wazanzibar na kuwafukuza wazanzibar wa upande wa karume na kuwasingizia kuwa wamemuua karume

wengine wakauliwa , wengine walikimbia, na salim a. salim pia walimsingizia,

ukweli waliomuua ni jeshi la kutoka bara ambao waliingia na land rova mbili.

na pia mwanawe ali karume alitoroshwa zanzibar baada ya kuua na kesi yake mpaka leo ipo lakini hakuna hata mmoja anayeweza kuizungumzia.

na baada ya amani karume baadhi ya wazanzibar walimpiga madogo ambao ni ccm akiwemo dr.salmini na time yake na pia kumwita mamluki baba ake kauza nchi nayeye anapewa nchi akaimalize.

na kweli ameimaliza amani karume kwani amejaza ukafiri amejaza wabara kisiwa kidogo wenye nchi hawana raha lakini wabara wana raha.

na walipoulizwa wazanzibar kuhusu muungano waliukataa,
laini karume alisema waulizwe wazanzibar wenyewe ambao ni watanganyika waliofanya mapinduzi

kama wanavyosema mapinduzi daima ndio kila uchaguzi ukija zanzibar mapinduzi hupelekwa pilisi na jeshi kutoka bara na kupiga wazanzibar ovyo na kuua.

na hakuna nchi za ulaya hata moja inayopiga kelele kwani inajua fika zanzibar ni nchi ya uislam zinafanya hivyo ili kuiharibu na kuwa nchi ya kikafiri kama ilivyo sasa ni nchi ya makafiri kama karume alivyifanya,

nyerere alisema eti wananchi wake ni waislam lakini nchi si ya kiislam ni jambo la kushangaza sana sana kwani wewe mwenye nchi ukiwa muislam na nchi yako itakuwa vipi?
ndio amani karume akasema wenye zanzibar ni watanganyika waulizwe watanganyika wakati yeye mwenyewe asili yake sio mzanzibar.

lakini tatizo kubwa la wazanzibar ni unafiki hasa wa kisiwa cha unguja na baadhi ya wapemba wachache

sio kama hawayajui haya lakini ni sawa na mfanya biashara ya uasharati akiwa na njaa yeye anatoa tu.

hakuna uislam, kwani hata hao waislam wamekuwa makafiri uislam wao jina tu.

aona ajabu sana amani karume wakati alipokuwa waziri msikiti kwake ulikuwa mwiko lakini alipokuwa rais kila ijumaa msikiti hata waislam wengi wamekuwa wanafiki ndio wanaorudisha nyuma

majeshi yaliopindua zanzibar ndio mpaka leo yanayofanya mapinduzi. nyie wenyewe mutaona na hawa majeshi waliokuwa wakiua walitoka wapi?

na baadhi ya watu waliokimbilia tanganyika eti kukimbilia usalama wao wakauliwa kule pia?

na baadhi ya watu waliokamatwa zanzibar walipelekwa tanganyika kuuliwa. hakuna mtu asiyejua hili na mali za zanzibar zilipelekwa tanganyika kama vile usa ilipompiga muiraq wakaiba mali na kupeleka marekani ndio wabara walivyofanya zanzibar

amani karume ametujazia watanganyika ili waje watuue na hili ni kosa la akina salmini kwani walilijua fika kwani waliyasema hadharani baada ya kuona muda wao unamaliza wa uongozi

lakushangaza walipokuwa viongozi walishindwa kuitetea zanzibar, ni unafiki tu.

serikali ya zanzibar ni ya jamhuri ya mungano smz.
wanaoshirikiana watanganyika, watumwa na wasaliti

tanganyika ni jamhuri ya mungano watanganyika wasaliti kutoka zanzibar wasiokuwa na faida yoyote ya kuchangia zanzibar, faida ya muungano ni kwa tanganyika tu zanzibar haina fungu labda polisi na jeshi.
na hata hilo jeshi lina miznga 10 na smg tu hata bomu la kutupa kwa mkono halijulikani.

faida ya muungano zanzibar ni ukafiri

Salaam aleikhum. Ndungu yangu unatutia haibu sana sisi waislamu wa ZNZ kwa kupotosha historia.Ndio maana hata wenzetu wakristu wanatudharau kwa umbumbu wetu. Sijui kama uliyasoma hayo uliyoyaandika au la. Huna kwanza maantiki, huna vielelezo vyovyote kuthibitisha hayo uliosema. Unapotosha historia juu ya Karume. Hujui lolote kuwa kisiwa cha Znz ni cha watu weusi na sio kama wewe mwarabu koko. Kiasili ZNZ ni ya watu weusi na sio kama wewe. wewe ni mkimbizi tu kule ZNZ na wenzio vilevile. Nyie waarabu mliwaua watu weusi wengi wakati mkiwasafirisha kuja kuwauza kama wanyama. Kizuri ni dini tu mlioleta lakini nyie hamna lolote ni katili kama nini. Ondokeni ZNZ kwetu na nendeni Omani kwenu. Nashangaa kwa nini unawashambulia ndugu zetu wa Tanganyika. Mbona sisi wa Zenji tuko wengi zaidi kule bara kuliko wao huku znz? kwani huo si ubaguzu ndugu yangu? ZNZ ikishikwa na mwarabu itakuwa kama yale ya Darfur. Wale wanaojiita waarabu waislamu ndio wanao waua ndugu zetu waafrika waislamu wa Darfur eti sababu ni weusi. Nyie ni wabaguzi kwelikwelina ukome kabisa.
Halafu tuwe wa kweli sisi waislamu ni wanafiki sana. kwa nini hatuandam wakati Al Bashiri anapowaua ndugu zetu wa darfur? kwani wale sio waislamu wenzetu? tunaandamana tu wakati wa Iraki na Afganistani.
 
Wewe unahitaji kulazwa Mirembe. He he he..
Kimsingi, Nyerere alishatangazwa kuwa mtakatifu, kilichobaki ni ni kuita vyombo vya habari na kutoa tamko rasmi. Tusubiri tu hilo, pengine litakuja lakini kwao si la muhimu sana. Cha muhimu ni kwamba mahala husika kashatangazwa.
 
majibu mazuri ndugu yangu. nakama utakumbuka hata papa wao huyo aliyekufa walimtangaza mtakatifu kama ulisikiliza habasi siku za nyuma

Usipojua maana na ukajifanya unajua, unaonekana hujui tu! Hapo juu nimeonyesha tofauti iliyopo kati ya HOLY (Kiswahili - mtakatifu) na SAINT (Kiswahili - mtakatifu). Nimesema maneno hayo ni tofauti katika maana ingawa kwa Kiswahili ni neno moja. Kanisa halimtangazi mtu kuwa HOLY (mtakatifu kama Mungu) bali SAINT (mtakatifu - kwa maana ya model, a person who has demonstrated heroic virtues etc).

Kwa hiyo, siyo kweli kwamba Biblia inakataza kuwatambua watu wanaoishi kiadilifu na kuwa mfano kwa wengine katika maisha yao (saints).
 
Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili. (Mhubiri 1:2). Kanisa katoliki limejaa mambo ya kidunia na mapokeo ya wanadamu yasiyo ya ki-MUNGU. Hawaenendi sawasawa na maandiko matakatifu (Biblia) bali kwa Katekisimu yao yaliyo maagizo ya wanadamu.

Is that according to you or the Catholics themselves? Nilisikia njemba moja ikisema "WANAWAKE WOTE NI KAMA BAISKELI". Kwa mawazo yako, kwa vile huyo njemba alisema hivyo, basi wanawake wote ni kama baiskeli.

Sidhani kama picha ya Wakatoliki uliyo nayo ndiyo picha yao sahihi! Sana sana ulichonacho dhidi yao ni kile ninachoweza kukiita 'unthinking or antiquated prejudice'.
 
Nyerere was no saint..............he detained his opponents...nationalized buildings and put the country in a mess!!!!!!!!!!you call him a saint? This is a joke

Kwani 'saints' huwa wanakaa wapi? Nao ni binadamu na wamefanya makosa mengi tu kama wewe na mimi. Lakini at one moment, mtu anabadilika na kuwa mfano kwa wengine. Hapo ndipo 'useinti' unapoanzia; siyo katika makosa bali katika mema ya mtu.

To be declared saint means one has at one stage of one's life demonstrated heroic virtues that are taken as a model for living. Certainly, Nyerere might have some weaknesses but on average, the Church wants to say he has tried to live virtously and it's in this that he is revered by his fellow faithful in the Church.

You are not obliged to agree with the Catholic Church but you should also not impose your value juggement onto others. If for you Nyerere is not a saint (an example) for others he's. So, what's the problem?
 
Is that according to you or the Catholics themselves? Nilisikia njemba moja ikisema "WANAWAKE WOTE NI KAMA BAISKELI". Kwa mawazo yako, kwa vile huyo njemba alisema hivyo, basi wanawake wote ni kama baiskeli.

Sidhani kama picha ya Wakatoliki uliyo nayo ndiyo picha yao sahihi! Sana sana ulichonacho dhidi yao ni kile ninachoweza kukiita 'unthinking or antiquated prejudice'.

Hivi Magobe unaujua Ukatoliki vizuri au unafuata mkumbo tu ndugu yangu?
1. Je unajua ya kuwa amri kumi za MUNGU wakatoliki wamezibadilisha kwa kuondoa ile ihusuyo kuchonga sanamu na kuigawa mara mbili ile ya kumi ili ku-maintain namba kumi?

2. Unajua kuwa mafundisho ya wakatoliki ni kwamba Maria baada ya kumzaa YESU hakuzaa watoto wengine (uongo wa wazi)?

3. Unajua mafundisho ya wakatoliki ni kuwa hakuna kuokoka duniani (denial to what JESUS brought to humankind)?

4. Unajua wakatoliki hawakubaliani na matendo makuu ya miujiza ya MUNGU?

5. Unajua ya kuwa wakatoliki wanaamini kuwa pombe ni sakrament takatifu (quote from Pengo).

6. Unajua zinaa kwa wakatoliki ni halali tu na ndo maana tunaona vijana wanafungishwa ndoa huku mdada wa watu akiwa hoi na mimba ya miezi nane

etc.
Je bado utasema hii dini ni ya MUNGU kweli au inamfuata shetani kwa umbrella ya Ukristo?

etc.
 
Back
Top Bottom