Nyerere kutangazwa kuwa mtakatifu

Wewe ni ignorant, na hujui kuwa kanisa katoliki lina taratibu zake na sio kama akili zako matope zinavyodhani. Kwa kifupi jaribu kugoogle ujifunze mchakato ukoje. USIDANDIE GARI KWA MBELE NA KUCHEKESHA WALIONUNA.

Unataka ujadili hili wewe kama nani? Inakuhusu nini?Swali lako linaonesha upeo wako wa kufikiri ulivyo FINYU. Utakatifu una mahitaji yake, na hakuhusiani na kuwafanyia chochote waTZ.
Nadhani unahitaji zaidi ELIMU kuliko maoni yetu.

Mpendwa Abdulhalim, Watu wa Mungu (Yesu) huwa hawatukani wenzao hata hawamtukani Shetani bali huwa wanamkemea katika Jina lipitalo kila Jina yaani JINA LA YESU.

Mpendwa, ingependeza kama ungemuelewesha zaidi ya kumtolea maneno makali namna hii. Watu wote wa Mungu Yesu ni Wajanja kama Nyoka na wapoke kama Hua.

kama unaijua biblia vizuri huwezi kumuambia mtu ni mtakatifu! Kuna mahala pameandikwa hivi " wote wamefanya dhambi na kupungukiwa na utukufu wa MUNGU" ndo maana tunaenda makanisani na misikitini kutubu dhambi zetu na kumuabudu MUNGU.... au yeye alikuwa haendi

Mpendwa Kimbweka, nakushauri usome biblia zaidi kuanzia kitabu cha Mwanzo hadi Ufunuo {Vitabu 39 agano la kale, Vitabu 27 Agano Jipya na ukipenda soma Vile vitabu 7 vya Deuterokanoni} Ubarikiwe.

Kulikuwa na mchakato wa kumtangaza kuwa mwenyeheri na sidhani kama ameshatangazwa kwani baada ya hilo ndiyo anaweza tangazwa mtakatifa au la.

Hivyo viongozi wakatoliki wanaweza kulitolea maelezo kuwa limefikia wapi.

Lakini pia kuna mtu ameandika kuwa biblia imeandika kila binadamu ni mdhambi! Hiyo ni kweli, lakini usafi tunaupata wapi? Maana huo usafi ndiyo unapelekea utakatifu. Hivyo watakatifu wapo na biblia imewataja vinginevyo wasingetajwa.

Nyerere alikuwa kiongozi mzuri lakini pia kuna maamuzi yake mengine hayakuwapendeza watu. Lakini JE MENGI YA MAMBO ALIYOFANYA YALIKUWA MEMA AU MABAYA? NA JE WAKATOLIKI KUTAKA KUMTANGAZA KWANI NI LAZIMA AWE? Inawezekana kwa vigezo vyao asiwe hivyo tusubiri tuone kwani wakimtangaza kweli watatoa maelezo.

HAPA JAMVINI KUWA WATU WANATUMIA LUGHA ZISIZO ZA KISTAARABU NA HII JF TUNASEMA HOME OF GREAT THINKERS SASA HAIINGIII AKILINI KUWA NA WATU WANAOBWABWAJA MATUSI BILA MPANGO. PLEASE WE HAVE TO CHANGE FOR THE BETTER.

Mpendwa Mugerezi Suala la kumtangaza Mpendwa wetu Hayati Julius K. Nyerere kuwa Mwenyeheri lipo mbioni kukamilika. Tuzidi kuomba ili Mungu aendelee kujidhirisha.
 
Samahani kama nimemkwaza yeyote. Naondoa kauli yangu na nimemuweka Bw. Hafif kwenye ignore list, anapostahili kuwepo, maana naona sioni chochote cha faida ninachoweza kukipata kwenye posts zake. Yeye na wenzake (nadhani wanajijua).

Umechelewa sana mimi nilisha ku delete muda mrefu sana kwa kujua huna hoja zaidi ya matusi. nafikiri una degree ya matusi na hivyo nilikuweka pembeni kwa kujua mimi sio type yako.

Nashukuru sana na wewe umegundua hilo na kuamua kuniacha kivyangu.
 
Kulikuwa na mchakato wa kumtangaza kuwa mwenyeheri na sidhani kama ameshatangazwa kwani baada ya hilo ndiyo anaweza tangazwa mtakatifa au la.

Hivyo viongozi wakatoliki wanaweza kulitolea maelezo kuwa limefikia wapi.

Lakini pia kuna mtu ameandika kuwa biblia imeandika kila binadamu ni mdhambi! Hiyo ni kweli, lakini usafi tunaupata wapi? Maana huo usafi ndiyo unapelekea utakatifu. Hivyo watakatifu wapo na biblia imewataja vinginevyo wasingetajwa.

Nyerere alikuwa kiongozi mzuri lakini pia kuna maamuzi yake mengine hayakuwapendeza watu. Lakini JE MENGI YA MAMBO ALIYOFANYA YALIKUWA MEMA AU MABAYA? NA JE WAKATOLIKI KUTAKA KUMTANGAZA KWANI NI LAZIMA AWE? Inawezekana kwa vigezo vyao asiwe hivyo tusubiri tuone kwani wakimtangaza kweli watatoa maelezo.
Nashukuru sana kwa maelezo.
 
Kuna tetesi kuwa kanisa Katoliki nchini Tanzania linataka kumtangaza Nyerere kuwa ni Mtakatifu.

Labda tujadili kidogo. Ni kipi ambacho Nyerere amekifanya kuwafanyia Watanzania mpaka apewe wadhifa huo wa kuwa mtakatifu.

naomba maoni yenu jamani.

Hizi siyo tetesi kwa hiyo saurce yako iko nyuma sana inaelekea.Mkuu umekuwa wapi siku zote? Kanisa Katoliki lilisha weka bayana nia hii. Na swala hili lili jadiliwaga huko nyuma sana kwa hiyo Mods naona bora muunganishe threads.
 
anastahili kutokana na sera na maono yake lakini zaidi kutokana na maisha aliyoishi.......mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni.........
Kuna tetesi kuwa kanisa Katoliki nchini Tanzania linataka kumtangaza Nyerere kuwa ni Mtakatifu.

Labda tujadili kidogo. Ni kipi ambacho Nyerere amekifanya kuwafanyia Watanzania mpaka apewe wadhifa huo wa kuwa mtakatifu.

naomba maoni yenu jamani.
 
ahsante mpendwa kwa maelezo.............
Mpendwa Abdulhalim, Watu wa Mungu (Yesu) huwa hawatukani wenzao hata hawamtukani Shetani bali huwa wanamkemea katika Jina lipitalo kila Jina yaani JINA LA YESU.

Mpendwa, ingependeza kama ungemuelewesha zaidi ya kumtolea maneno makali namna hii. Watu wote wa Mungu Yesu ni Wajanja kama Nyoka na wapoke kama Hua.

Mpendwa Kimbweka, nakushauri usome biblia zaidi kuanzia kitabu cha Mwanzo hadi Ufunuo {Vitabu 39 agano la kale, Vitabu 27 Agano Jipya na ukipenda soma Vile vitabu 7 vya Deuterokanoni} Ubarikiwe.

Mpendwa Mugerezi Suala la kumtangaza Mpendwa wetu Hayati Julius K. Nyerere kuwa Mwenyeheri lipo mbioni kukamilika. Tuzidi kuomba ili Mungu aendelee kujidhirisha.
 
Kuna tetesi kuwa kanisa Katoliki nchini Tanzania linataka kumtangaza Nyerere kuwa ni Mtakatifu.

Labda tujadili kidogo. Ni kipi ambacho Nyerere amekifanya kuwafanyia Watanzania mpaka apewe wadhifa huo wa kuwa mtakatifu.

naomba maoni yenu jamani.

Ahali yangu naona watu wamekusoma kwa jazba.

Sasa kabla sijaanza kujimwaga hapa naomba unikosoe kama sijaelewa ulikusudia nini katika bandiko lako.

Mimi nimekuelewa kuwa unataka kujuwa Nini kitu ambacho JK Nyerere amewafanyia watanzania mpaka atangazwe kuwa ni mwenye heri.

Nafikiri unataka tukueleze mazuri yake yote na mabaya yake yote ili uweze kupima na kuona kwanini wenzetu wacatholics wanamtawaza kuwa saint.

Kama nipo sawa katika uelewa wangu naomba nifahamisha nami niwezu kuchangia.
 
kama unaijua biblia vizuri huwezi kumuambia mtu ni mtakatifu! Kuna mahala pameandikwa hivi " wote wamefanya dhambi na kupungukiwa na utukufu wa MUNGU" ndo maana tunaenda makanisani na misikitini kutubu dhambi zetu na kumuabudu MUNGU.... au yeye alikuwa haendi

Kuna 'holiness' na 'sainthood' - kwa Kiswahili neno linalotumika ni utakatifu. 'Holiness' (utakatifu) is 'intrinsic worthness' of a being or person infront of God. 'Sainthood' (utakatifu) is the declaration that a partcular faithful is officially recognised as a model for other faithful in specific attributes of being an exemplary person, according to the Church.

Kwa hiyo, Kanisa halisemi na wala halitasema Nyerere ni "mtakatifu" kama Mungu alivyo mtakatifu bali kwamba 'on average' ni 'mfano wa kuigwa' (model, saint) katika mambo mengi yanayohusu maisha ya Kikristo.
 
Magobe asante mkuu
Ila kwa muuliza swali anatakiwa sasa afike pale St.Joseph aulize vigezo vya kanisa atapewa maana si siri . Wanatakiwa wa kutoa ushuhuda mzuri ama mbaya .Ila ukikaa na Mzee Fr.Athur Willy wa shirika la Merryknoll ambaye alikuja Tanzania akiwa na miaka 25 alianzia Parokia ya Zanaki maeneo ya Magorombe atakueleza vyema who was Mwaliu. Mzee huyu mzungu alidiriki kunieleza kwa uwezo wa mwalimu kwa maono , kumuogopa Mungu pamoja na madaraka yake makubwa , kuandika Biblia kwa kizanaki toka Kigiriki , huruma , na upendo kwa watanzania basi Jimbo Katoliki la Musoma chini ya marehemu Askofu Samba , na kwa Fr.Willy kukusanya data za maisha ya mwalimu basi vimepelekea mawazo ya kumfanya mwenye heri maana utakatifu ni process ndefu sana .Aliyo wafanyia watanzania moja wapo ni kuwa kiungo kutufanya sote leo tunaweza kujadili kama watanzania hapa JF bila ya kujali Uislam wala Ukristo , ni yeye alisimamia na kuendeleza .
 
Definition ya utakatifu hata kama itakuwa inatoka kwenye msahafu mmoja ''bible'', lazima itatofautiana sana baina ya madhehebu ya kikistristu, na pia kutakuwa na utofauti mkubwa sana wa uelewa wa utakatifu kwa watu wengine wa mataifa!

So I don't expect, warutheri, Anglican, Sabato, Moravian etc wakubaliane kirahisi tu na mafundisho ya Kikatoliki na tafsiri yao ya utakatifu wa mwanadamu, ndio maana kukawa na madhehebu mbalimbali, na haya madhehebu yalitokana na kutoelewana na tafsiri za biblia au kutofautiana kiitikadi au tafsiri ya utatu mtakatifu na vitu kama hivyo!

Sasa ukija kwa watu wasioijua biblia na ukristu usitegemee kabisa waelewe mambo haya ya utakatifu kirahisi hivyo! So cha msingi tuwaache kila watu na imani yao, wafanye kitu ambacho wanafikiri kinampendeza Mungu wao na kuneemesha imani zao!
 
Nina shangaa sana watu waha hoji utakatifu wa mwalimu na dhehebu lake lakini watu wale wale ikifika Feb 14 ni wa kwanza kusema siu ya wapendanao bila ya kujua kwamba ni siku ya Mtakatifu Padre Velentino Mtaliano lakini Waislam na wengi wetu ni wa kwanza kuondoa neno Saint Valentino na kusema only Valentine Day . Je nini asili ya Valentine ya wapendanao ? Nadhani kuna relation na hoja ya kwa nini Mwalimu awe mtakatifu namchakato wake .
 
Kuna 'holiness' na 'sainthood' - kwa Kiswahili neno linalotumika ni utakatifu. 'Holiness' (utakatifu) is 'intrinsic worthness' of a being or person infront of God. 'Sainthood' (utakatifu) is the declaration that a partcular faithful is officially recognised as a model for other faithful in specific attributes of being an exemplary person, according to the Church.

Kwa hiyo, Kanisa halisemi na wala halitasema Nyerere ni "mtakatifu" kama Mungu alivyo mtakatifu bali kwamba 'on average' ni 'mfano wa kuigwa' (model, saint) katika mambo mengi yanayohusu maisha ya Kikristo.
Thanks for the info
 
mnyonge mnyongeni....ila haki yake mpatieni...anaestaili apewe nyerere anastahili mpani...
 
Kuna tetesi kuwa kanisa Katoliki nchini Tanzania linataka kumtangaza Nyerere kuwa ni Mtakatifu.

Labda tujadili kidogo. Ni kipi ambacho Nyerere amekifanya kuwafanyia Watanzania mpaka apewe wadhifa huo wa kuwa mtakatifu.

naomba maoni yenu jamani.

ameomba tuchangie tetesi nafikiria hana kosa

tutamkumbuka kwa mabaya na kuongeza ukafiri na kuwaua waislam zanzibar.

nengependa kwanza mutizame hii film

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=XqHi50YdAQQ[/ame]

ndio nikasema utakatifu wa ukafiri. kwani zanzibar inajulikana sana historia yake lakini tanganyika ilifanya mapinduzi zanzibar kushirikiana na muengereza.

na kuwaua wazanzibar wengi sana ambao ni waislam na kubadilisha historia ya zanzibar.

pamoja na kuwabatiza wazanzibar wote watumwa kwa lazima au mtu atakatwa kichwa kama vile alivyofanyiwa kunta kinte kuitwa toby.

mkitizama film hii mutaona jinsi jeshi la tanganyika lilivyoshirikiana na watumwa na baadhi tu ya wanafiki wa unguja jinsi ya kuwaua waislam

watanganyika wengi walijipenyeza zanzibar baada ya uhuru kwa kushirikiana na muengereza ili kufanya mauaji ya kinyama zanzibar.

na pia kuna kumbukumbu nyingi tu za watumwa zanzibar watu ambao waliokuwa wakifanya biashara za utumwa zanzibar walikuwa waengereza.

wakifisha watu kutoka bara kwenye makanisa ambayo chini kuna mahandaki na hata kufungiwa ngome kongwe.

nafikiria zanzibar ilikuwa ikisifika kwa idadi kubwa ya waislam hata kafiri kutoka bara akiingia tu zanzibar hujisilimisha mwenyewe na kujiita jina la asuman au lajabu kwa wanaume na wanawake maliam haya ndio majina yao makubwa.

kukaletwa historia mbovu ambayo hata karume alitorokea utumwa akalelewa na wazanzibar pia iliandikwa historia kuwa amezaliwa mwera na mtu kulazimishwa kuikubali kwa nguvu hadithi hiyo hata wanafunzi mashuleni.

zanzibar kukawa kuna afro shirazi ambayo ilichanganyika na wabara ambao ndio waliopelekwa kule kuua.
maendeleo ya zanzibar yalipozidi kukua watanganyika wakakasirikiana na kibaraka wao ambaye karume kwani alizidi upande wa wazanzibar na kuwazarau watanganyika ambao ndio walioua ambao ndio waliofanya mapinduzi.

siri ya kifo cha karume kinajulikana lakini kimefichwa na aliyemuua ni rafiki yake ambaye ndie aliyemueka baada ya kutokubalia na upande wa wabara,

wakamuua hapo ndio walipomuweka jumbe ambaye naye alikuja kuua zanzibar na yeye hana famili zanzibar na kutupwa nje wazanzibar na kuwafukuza wazanzibar wa upande wa karume na kuwasingizia kuwa wamemuua karume

wengine wakauliwa , wengine walikimbia, na salim a. salim pia walimsingizia,

ukweli waliomuua ni jeshi la kutoka bara ambao waliingia na land rova mbili.

na pia mwanawe ali karume alitoroshwa zanzibar baada ya kuua na kesi yake mpaka leo ipo lakini hakuna hata mmoja anayeweza kuizungumzia.

na baada ya amani karume baadhi ya wazanzibar walimpiga madogo ambao ni ccm akiwemo dr.salmini na time yake na pia kumwita mamluki baba ake kauza nchi nayeye anapewa nchi akaimalize.

na kweli ameimaliza amani karume kwani amejaza ukafiri amejaza wabara kisiwa kidogo wenye nchi hawana raha lakini wabara wana raha.

na walipoulizwa wazanzibar kuhusu muungano waliukataa,
laini karume alisema waulizwe wazanzibar wenyewe ambao ni watanganyika waliofanya mapinduzi

kama wanavyosema mapinduzi daima ndio kila uchaguzi ukija zanzibar mapinduzi hupelekwa pilisi na jeshi kutoka bara na kupiga wazanzibar ovyo na kuua.

na hakuna nchi za ulaya hata moja inayopiga kelele kwani inajua fika zanzibar ni nchi ya uislam zinafanya hivyo ili kuiharibu na kuwa nchi ya kikafiri kama ilivyo sasa ni nchi ya makafiri kama karume alivyifanya,

nyerere alisema eti wananchi wake ni waislam lakini nchi si ya kiislam ni jambo la kushangaza sana sana kwani wewe mwenye nchi ukiwa muislam na nchi yako itakuwa vipi?
ndio amani karume akasema wenye zanzibar ni watanganyika waulizwe watanganyika wakati yeye mwenyewe asili yake sio mzanzibar.

lakini tatizo kubwa la wazanzibar ni unafiki hasa wa kisiwa cha unguja na baadhi ya wapemba wachache

sio kama hawayajui haya lakini ni sawa na mfanya biashara ya uasharati akiwa na njaa yeye anatoa tu.

hakuna uislam, kwani hata hao waislam wamekuwa makafiri uislam wao jina tu.

aona ajabu sana amani karume wakati alipokuwa waziri msikiti kwake ulikuwa mwiko lakini alipokuwa rais kila ijumaa msikiti hata waislam wengi wamekuwa wanafiki ndio wanaorudisha nyuma

majeshi yaliopindua zanzibar ndio mpaka leo yanayofanya mapinduzi. nyie wenyewe mutaona na hawa majeshi waliokuwa wakiua walitoka wapi?

na baadhi ya watu waliokimbilia tanganyika eti kukimbilia usalama wao wakauliwa kule pia?

na baadhi ya watu waliokamatwa zanzibar walipelekwa tanganyika kuuliwa. hakuna mtu asiyejua hili na mali za zanzibar zilipelekwa tanganyika kama vile usa ilipompiga muiraq wakaiba mali na kupeleka marekani ndio wabara walivyofanya zanzibar

amani karume ametujazia watanganyika ili waje watuue na hili ni kosa la akina salmini kwani walilijua fika kwani waliyasema hadharani baada ya kuona muda wao unamaliza wa uongozi

lakushangaza walipokuwa viongozi walishindwa kuitetea zanzibar, ni unafiki tu.

serikali ya zanzibar ni ya jamhuri ya mungano smz.
wanaoshirikiana watanganyika, watumwa na wasaliti

tanganyika ni jamhuri ya mungano watanganyika wasaliti kutoka zanzibar wasiokuwa na faida yoyote ya kuchangia zanzibar, faida ya muungano ni kwa tanganyika tu zanzibar haina fungu labda polisi na jeshi.
na hata hilo jeshi lina miznga 10 na smg tu hata bomu la kutupa kwa mkono halijulikani.

faida ya muungano zanzibar ni ukafiri
 
http://www.youtube.com/watch?v=40_ih4nNdoc&feature=relatedhttp://www.youtube.com/watch?v=40_ih4nNdoc&feature=related

watanganyika zamani walikuwa wakiiona zanzibar kama ulaya leo laana tupu na njaa na ukafiri , ufisadi
 
kama unaijua biblia vizuri huwezi kumuambia mtu ni mtakatifu! Kuna mahala pameandikwa hivi " wote wamefanya dhambi na kupungukiwa na utukufu wa MUNGU" ndo maana tunaenda makanisani na misikitini kutubu dhambi zetu na kumuabudu MUNGU.... au yeye alikuwa haendi

wakiristo wote watakatifu wakiijuabiblia wasiijue . wasomee 2 wakorinto 11. 13>15wanajiona kuwa mitume wa kiristo ndio waongo lakini ipo mipofu

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=40_ih4nNdoc&feature=related[/ame]

muwatizame hawa majeshi ya nyerere katika mapinduzi

ni mambo ya kusikitisha na waislam mpaka leo katika uongozi wanafiki na kuiharibu dini na kushirikiana na makafiri
 
ameomba tuchangie tetesi nafikiria hana kosa

tutamkumbuka kwa mabaya na kuongeza ukafiri na kuwaua waislam zanzibar.

nengependa kwanza mutizame hii film

http://www.youtube.com/watch?v=XqHi50YdAQQ

ndio nikasema utakatifu wa ukafiri. kwani zanzibar inajulikana sana historia yake lakini tanganyika ilifanya mapinduzi zanzibar kushirikiana na muengereza.

na kuwaua wazanzibar wengi sana ambao ni waislam na kubadilisha historia ya zanzibar.

pamoja na kuwabatiza wazanzibar wote watumwa kwa lazima au mtu atakatwa kichwa kama vile alivyofanyiwa kunta kinte kuitwa toby.

mkitizama film hii mutaona jinsi jeshi la tanganyika lilivyoshirikiana na watumwa na baadhi tu ya wanafiki wa unguja jinsi ya kuwaua waislam

watanganyika wengi walijipenyeza zanzibar baada ya uhuru kwa kushirikiana na muengereza ili kufanya mauaji ya kinyama zanzibar.

na pia kuna kumbukumbu nyingi tu za watumwa zanzibar watu ambao waliokuwa wakifanya biashara za utumwa zanzibar walikuwa waengereza.

wakifisha watu kutoka bara kwenye makanisa ambayo chini kuna mahandaki na hata kufungiwa ngome kongwe.

nafikiria zanzibar ilikuwa ikisifika kwa idadi kubwa ya waislam hata kafiri kutoka bara akiingia tu zanzibar hujisilimisha mwenyewe na kujiita jina la asuman au lajabu kwa wanaume na wanawake maliam haya ndio majina yao makubwa.

kukaletwa historia mbovu ambayo hata karume alitorokea utumwa akalelewa na wazanzibar pia iliandikwa historia kuwa amezaliwa mwera na mtu kulazimishwa kuikubali kwa nguvu hadithi hiyo hata wanafunzi mashuleni.

zanzibar kukawa kuna afro shirazi ambayo ilichanganyika na wabara ambao ndio waliopelekwa kule kuua.
maendeleo ya zanzibar yalipozidi kukua watanganyika wakakasirikiana na kibaraka wao ambaye karume kwani alizidi upande wa wazanzibar na kuwazarau watanganyika ambao ndio walioua ambao ndio waliofanya mapinduzi.

siri ya kifo cha karume kinajulikana lakini kimefichwa na aliyemuua ni rafiki yake ambaye ndie aliyemueka baada ya kutokubalia na upande wa wabara,

wakamuua hapo ndio walipomuweka jumbe ambaye naye alikuja kuua zanzibar na yeye hana famili zanzibar na kutupwa nje wazanzibar na kuwafukuza wazanzibar wa upande wa karume na kuwasingizia kuwa wamemuua karume

wengine wakauliwa , wengine walikimbia, na salim a. salim pia walimsingizia,

ukweli waliomuua ni jeshi la kutoka bara ambao waliingia na land rova mbili.

na pia mwanawe ali karume alitoroshwa zanzibar baada ya kuua na kesi yake mpaka leo ipo lakini hakuna hata mmoja anayeweza kuizungumzia.

na baada ya amani karume baadhi ya wazanzibar walimpiga madogo ambao ni ccm akiwemo dr.salmini na time yake na pia kumwita mamluki baba ake kauza nchi nayeye anapewa nchi akaimalize.

na kweli ameimaliza amani karume kwani amejaza ukafiri amejaza wabara kisiwa kidogo wenye nchi hawana raha lakini wabara wana raha.

na walipoulizwa wazanzibar kuhusu muungano waliukataa,
laini karume alisema waulizwe wazanzibar wenyewe ambao ni watanganyika waliofanya mapinduzi

kama wanavyosema mapinduzi daima ndio kila uchaguzi ukija zanzibar mapinduzi hupelekwa pilisi na jeshi kutoka bara na kupiga wazanzibar ovyo na kuua.

na hakuna nchi za ulaya hata moja inayopiga kelele kwani inajua fika zanzibar ni nchi ya uislam zinafanya hivyo ili kuiharibu na kuwa nchi ya kikafiri kama ilivyo sasa ni nchi ya makafiri kama karume alivyifanya,

nyerere alisema eti wananchi wake ni waislam lakini nchi si ya kiislam ni jambo la kushangaza sana sana kwani wewe mwenye nchi ukiwa muislam na nchi yako itakuwa vipi?
ndio amani karume akasema wenye zanzibar ni watanganyika waulizwe watanganyika wakati yeye mwenyewe asili yake sio mzanzibar.

lakini tatizo kubwa la wazanzibar ni unafiki hasa wa kisiwa cha unguja na baadhi ya wapemba wachache

sio kama hawayajui haya lakini ni sawa na mfanya biashara ya uasharati akiwa na njaa yeye anatoa tu.

hakuna uislam, kwani hata hao waislam wamekuwa makafiri uislam wao jina tu.

aona ajabu sana amani karume wakati alipokuwa waziri msikiti kwake ulikuwa mwiko lakini alipokuwa rais kila ijumaa msikiti hata waislam wengi wamekuwa wanafiki ndio wanaorudisha nyuma

majeshi yaliopindua zanzibar ndio mpaka leo yanayofanya mapinduzi. nyie wenyewe mutaona na hawa majeshi waliokuwa wakiua walitoka wapi?

na baadhi ya watu waliokimbilia tanganyika eti kukimbilia usalama wao wakauliwa kule pia?

na baadhi ya watu waliokamatwa zanzibar walipelekwa tanganyika kuuliwa. hakuna mtu asiyejua hili na mali za zanzibar zilipelekwa tanganyika kama vile usa ilipompiga muiraq wakaiba mali na kupeleka marekani ndio wabara walivyofanya zanzibar

amani karume ametujazia watanganyika ili waje watuue na hili ni kosa la akina salmini kwani walilijua fika kwani waliyasema hadharani baada ya kuona muda wao unamaliza wa uongozi

lakushangaza walipokuwa viongozi walishindwa kuitetea zanzibar, ni unafiki tu.

serikali ya zanzibar ni ya jamhuri ya mungano smz.
wanaoshirikiana watanganyika, watumwa na wasaliti

tanganyika ni jamhuri ya mungano watanganyika wasaliti kutoka zanzibar wasiokuwa na faida yoyote ya kuchangia zanzibar, faida ya muungano ni kwa tanganyika tu zanzibar haina fungu labda polisi na jeshi.
na hata hilo jeshi lina miznga 10 na smg tu hata bomu la kutupa kwa mkono halijulikani.

faida ya muungano zanzibar ni ukafiri

Unapochangia mada ni vyema kuchangia wakati kichwa kimetulia na si vinginevyo.
Hoja zako zimejaa chuki,hasira,jazba na ushabiki usiokuwa na sababu
 
Mbona Ndugu Mwamedi alitangazwa kuwa mtume na hamkuhoji enyi mujahidina!Acheni watu wa Kanisa lake wafanye kilicho katika taratibu za Kanisa lake. Hili suala la kujadili kama siasa, na hujalazimishwa kukubaliana na suala hilo, wala halijaingizwa kwenye katiba ya nchi...shut-up your mouth and stay away of this!

Si umjibu tu kama ni kweli au la.
 
Back
Top Bottom