Nyerere kumbe alikuwa kamamda

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
nyerere_on_arusha_declaration_match_1967-2.jpg
 
Anayebisha hoja yako aje na picha ya julius nyerere amevaa nguo za rangi ya bangi kama anazovaa nape.
 
wanasema kamanda mbowe ni mtoto wa JK nyerere...safi sana like father like son...full gwanda

Unapenda vya kusikia eeeh! Mbona sisi tangu tumesikia wewe ni mtoto wa shamba boy wenu hatujasema
 
nyerere alikuwa rafiki mkubwa wa mao tse dong! ... muasisi wa chama cha kikomunist cha china .. hayo mavazi aliyatolea... kule! plus nawashangaa chadema alama ya vidole viwili "peace " washajiwekea haki miliki ni kwao! while ni global symbol !
 
alitembea kwa mguu kutoka msoma hadi mwanza. huyu jamaa alikuwa si mchezo.

wakati wa kuunga mkono azimio la arusha ... babu yangu pamoja na wazee wenzake walitembea kutoka Tanga CCM mkoa ... nyuma ya barabara ya 20 mpaka DAR!... SIO KITU CHA AJABU HICHO
 
Back
Top Bottom