Nyerere katika kuwabeba wahindi na matokeo yake kwa Mtanzania wa sasa

uvivu wa kifikra ndo unaofanya tuwalalamikie wahindi, laiti tungekuwa na collective strategies katika kuwezeshana kama hawa wenzetu tungefika mbali sana ila sisi tumebaki kuwa selfish na ndio zao la ufisadi wa sasa katika Tanzania yetu.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake
 
sera za kikatili za Adolph hitler, zaingia tanzania kilaini! mtoa mada hajajifunza kwa nini german ilipoteza usafu mwamba wa dunia kwa kutumia sera za uzawa. waliwatimua wayahudi wote na wengine milion sita kuuwawa . hili liliwacost wajerumani kumpoteza mwanasayansi Alberto Aistein ambaya alikuwa myahudi aliyekimbilia marekani na kutengeneza bomu liliwapa usafu mwamba wa dunia marekani.

kero ya wahindi tanzania naijua, lakini kinachotakiwa ni katiba yetu sisi ambayo ikiwa kali hata hao waliopo kizamiaji watajikuta ni vibarua ndani ya chi ya watu weusi. siku zote raisi akiwa ana sauti kubwa kuliko katiba, nchi haiheshimiki kamwe na huisha kuibiwa mali na wageni. tiweka kifungu cha kuwa raisi lazima shitaki mara baada ya kumaliza muda wake, adhabu ya kifo kwa wala rushwa na wahujumu uchumi, matatizo ya uhamiaji na tabia yao ya kuomba rushwa itatoweka mara moja.

halafu mwamndishi kajichafua mwenyewe aliposema nyerere alikuwa na chuki na uislamu na kuupenda ukatoliki. sasa maada hii imekujaje na hili swala la uzawa?
mwisho. lazima ujue kuwa dar es salaam, haikujengwa na mkoloni bali ni mhindi. unajua hilo? sehemu zote tanznaia alipata kukaa mhindi ni bomba kijadi, ila ambazo mhindi hakukaa ni debe tupu. Ona Songea, singida, lindi na mtwara ni ziii kabisaa. Ona mbeya, mwanza , arusha, Dar na tanga. hivyo hawa wahindi nao wana faida zao kuliko hata swala lako la uzawa.

halafu ukija katika shule , agakhan kajenga sana shule tanzania . kwa kifupi sera zako za chuki na uzawa hapa si mahali pake.

Kama wewe ni mhindi au mweusi ujumbe huu umekufikia, kwanza ni kejeli kwa waafrika unaposema kila alipokaa mhindi kuna maendeleo na maisha mazuri. Katika hiyo miji uliyotaja kulikuwa na wahindi wangapi? je hao wahindi walifanya shughuli gani zaidi ya kuwatumikisha waafrika, infact hiyo miji iliengwa kwa jasho la waafrika kwani inafahamika wazi wahindi hawajui hata kushika sped ndani ya Tanzania.
Kuhusu Hitler kuuwa wayahudi nafikiri wewe ndiye kati ya wale wahindi ambao mmekaa Tanzania miaka yote mkinyonya watu weusi bila upeo wa kutembea na kujua dunia. Ujeruman kwa taarifa yako kwa sasa ndio nchi inayoshikiria uchumi wa EU, na kwa ujumla watu wenye uchumi huo ni wajeruman wazawa. Hitler alifanya kazi kubwa sana Ujeruman katika kuwakomboa Wajeruman wazawa ambao walikuwa wakikandamizwa kitabaka na wageni mpaka sasa wanamkumbuka tofauti na propaganda unazosikia kimataifa. Kwa taarifa yako hakuna mjeruman mzawa (Aryan) anayejutia kitu alichofanya Hitler. Ni kawaida watu kama nyie kuona Hitler alifanya kitu cha kikatili kwa wayahudi lakini kitendo walichofanyiwa Aboriginals katika bara la Australia, na Red Indians ndani ya America hakuna anayekipinga kwani kile kilikuwa kitendo halili.
Hizo shule Agakhan unasema zilijengwa na wahindi wakati mkoloni, kwa kuwa wahindi waliletwa na mkoloni ili wawe tabaka la kati kunyonya watu weusi walipaswa warudi kwao, hizo shule zitabaki maali ya waafrika kama vile wazungu walivyoacha kota zao ndani ya Oysterbay na kurudi kwao
 
uvivu wa kifikra ndo unaofanya tuwalalamikie wahindi, laiti tungekuwa na collective strategies katika kuwezeshana kama hawa wenzetu tungefika mbali sana ila sisi tumebaki kuwa selfish na ndio zao la ufisadi wa sasa katika Tanzania yetu.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake

Your wrong my friend kama ndani ya nchi moja unajenga mfumo ambao unafanya baadhi ya watu wanakuwa wakulima na wengine wafanyakazi huku ukiacha shughuli zingine kama biashara zishughulikiwe na watu wengine ambao kwanza hawana mpango wa kujenga taifa, inasababisha hata wengine wanajituma kukosa mwelekeo. Na ndio kosa alifanya Nyerere kwa kuwajengea moyo watu weusi kufanya kazi huku wahindi wakibakia kama tabaka la kuvunja moyo na juhudi za waafrika
 
Wewe unawaita "wahindi" na unachambua kuwa nyeree aliwabeba. kuna wengine hao unawaita wahindi kitendo cha shule zao kutaifishwa kuna watu humu wamendika unyanyasaji wa nyerere kwa "waislam" na alivyodumaza maendelo ya waislam. hapo wanatumia mifano ya shule za aghakhan. Utaawaambiaje watu hao

Katika kujenga tabaka la wafanyabiashara ndani ya Tanganyika waingereza waliwaleta watu wa asia, sanasana wengi kutoka India na Pakstan. Shule kama Agakhan zilijengwa rasmi kwa ajili ya kusomesha watoto wa watu wa jamii ya Kiasia. Ilikuwa sahihi kabisa kutaifisha zile shule na kama vile wazungu walivyoacha quarters zao kule Oysterbay na kuondoka baada ya Uhuru. Kwa kuwa wahindi pia waliletwa na Ukoloni walipaswa waondoke na kurudishwa walikotolewa baada ya Uhuru, tatizo la Nyerere aliwanyang'anya shule huku aliwaacha wakiishi kama raia wa Tanzania. Nyerere alibase kuadress society ya Tanzania kwenye mambo ya wenye nacho na wasiokuwa nacho na akaignore kabisa kwamba Tanzania pia iligawanyika kati ya Waislam na Wakiristo na Wahindi na Watu weusi ambayo ndio core foundation ya Tanzania na ndio maana policy zake nyingi zimefail kwani mpaka sasa tofauti ya walichonacho na wasakini ni kubwa, udini bado na watu weusi ambao ni wengi kwa idadi ni maskini wa kutupwa

 
NHC ya sasa na kabla ya hapo kulikuwa na Msajili wa Majumba ziliundwa na nyumba alizotaifisha Mwalimu kwa WAHINDI. Nyumba hizi zingekuwa za Wachagga, Wakurya, Wanyakyusa, Wahehe,...., ingekuwaje? Kumbuka pia ni nyumba hizi walijenga kwa jitihada zao na mbaya zaidi hawakufidiwa.
Wahindi waliondoka kwenye UTUMISHI wa UMMA miaka mingi iliyopita pia. Wakabaki wanasiasa wachache akina Amir Jamal waadilifu kwelikweli kuliko wazawa wenu wengi.

Unapaswa kujua tu kuwa wahindi waliletwa na mfumo wa Ukoloni, baada ya Uhuru na pia walipaswa kuondoka kama wakoloni wengine walivyondoka. Kuhusu nyumba, hizo nyumba ni za Taifa kama vile wazungu walivyoziacha quarters za Oysterbay na Masaki, pia hizo nyumba za Upanga, kisutu, n.k zilitakiwa zibaki kama zilivyo, waafrika tungeamua hata kufuga kuku ni sawa ni mali ya watu weusi. Hizo nyumba wahindi hawakujenga kwa fedha zao ukumbuke wakati wa mkoloni ilikuwa marufuku kwa mtu mweusi kupata hata mkopo bank, niwahindi na wazungu ndio waliruhusiwa. Jaribu kutambua nafsi yako ulikotoka
 
Mkuu karibu katika wale ambao kundi kubwa la waungwana feki walio kwenye mlo uwa wanawaita wasio itakia mema Tanzania,wenye kupenda ubaguzi.Hakika Mwalimu alitujengea Tanzania lakini kosa mojawapo kubwa ni kuwapa wahindi green light kiasi kuwa aliwaona kama wazalendo kumbe jamaaa ni raia wa uchumaji wakajenge Canada na Uingereza ambako wanakubaliwa haraka kutokana na pesa wanazo ingia nazo huko hivyo kuinua uchumi wa Taifa husika hasa Canada na Uingereza.Lakini Mungu Kasikia huko nako raia wameamua kuwachomea maduka yao kama yaliotokea Uingereza kisha waingereza wakawai kuzuia movement hiyo ya vijana wao walioanza kuwahukumu wahindi Nchini Uingereza.

Kuna story kuwa kijana mmoja toka Tanzania maeneo ya Oysterbay alienda kusoma Ulaya kisha maisha yakamkaba hivyoa akaingia katika kujitafutia riziki kwa kutafuta kazi akapata katika makampuni ya Ulinzi akapangwa kulinda geti la Nyumbani kwa Tajiri Mmoja,akijua ni Mzungu raia wa Nchi hiyo ya Uingereza.Siku moja Tajiri kaja na Gari mpaka getini kapiga honi akaona Mlinzi afungui geti ikabidi ashuke mwenyewe kwenda kufungua geti,anafika getini anakuta mlinzi wake na Walkman masikioni hivyo kwa picha hiyo hakusikia sauti ya honi kwa kuwa alikuwa anasikiliza muziki toka kwenye walkman hiyo.Tajiri yake Mlinzi yani Mwenye Nyumba akangaka kujua nini mlinzi huyo alikuwa anasikiliza kiasi kuwa hakusikia honi yake.Alipopewa Walkman kusikia akukuta Mzlinzi kijana anakula Bongo Flava toka Tanzania.Jamaa baada ya kusikia anachokisikia toka Kwenye walkman hiyo alibadilisha Lugha mara moja na kuanza kumuliza kwa lugha aliyosikia toka kwenye walkaman Radio ya Mlinzi.
Mazungumzo yalikuwa kama hivi.
Mhindi: Wewe unajua unachokisikiliza humu
Mlinzi: Ndio ni Lugha yangu natokea Tanzania
Mhindi: Hata Mimi natokea Tanzania pale Kaliakoo.Wewe Mwenzangu unatokea wapi?
Mlinzi: Natokea mkoani.
Mhindi: Mkoa Gani?
Mlinzi: hana la kujibu kwa kuwa kasi ya kuieleza ya Mhindi Tayari ukiziangatia aibu ya kuwa Oysterbay na Kariakoo leo hii huyu ni Mlinzi
kabaki Kujiuma uma kwa aibu hakutaja hata anakotokea.

Hivyo unaweza kupata picha watu hawa wako mbali kisai gani kiuchumi kuwa wakubwa na viongozi wetu wakiona kama watoto wao hawatatumikia Wahindi na Waarabu hapa ndani ya Tanzania hivyo wasiangaike kutengeneza mazingira ya kuwakomboa watanzania walio wengi ndani ya umafia wa kiasia kwenye sekta ya kibiashara na uchumi hodhi toka kwa Waasia na kuupeleka kwa Watanzania walio wengi hakika watoto wao waliowapeleka Ulaya na Malekani wamegeuka walinzi wa Majumba ya Wahindi ana Waarabu toka Tanzania Kariakaoo, Kisutu na Uhindini mikoani huko ughaibuni.

Baadhi ya viongozi waposhituka kuwa uchumi umehodhiwa na waasia wakamua kutafuta mbinu za kujaribu nao japo kuunda aina fulani ya mfumo utakao wasaidia weusi wajaribu kuhodhi uchumi.Kosa kubwa baada ya kuunda mfumo wa kusaidia umma wa Watanzania wengi wakaunda mfumo wa vikundi vichache tena mbaya sana kwa kutumia hao hao wahindi na waarau kiasi kuwa imekuwa ni sumu inayowaandama wahusika kila siku ya Mungu.

Walipaswa kuwa na mifumo ya Kitaifa ya uwezeshaji [African Empowerment] yeney kuwaniunua Watanzania kiufahamu hata kama ni kwa kuwaunda kwa misingi ya mfumo toka vyuoni kama Mwamli alivyounda kwa kuwasomesha.Wao wakamua kuunda mifumo haramu ya kujiwezesha wao nalo limekuwa kaa la moto na kwa kuwa Waasia ni mawakala wanachofanya wanakusnaya familia zao na mabilioni ya madola waliyonayao wanaenda Canada,Marakeni ayu Uingereza kulindwa na Watoto wa Vigpgo waliopelekwa Uingereza, Marekani au Canada Kusoma.

Ni lini waasia hawa walikoma kuwa watumishi wa Serikali na Serikali kuwafumbia macho kimya na sio kuwachukia hatua ya kuwafukuza Nchini.Toka nizaliwe na nianze kuwa na ufahamu wa kutambua vitu miaka ya semanini na tisa [1989] sijawai kuona Askari Polisi au Mwanajeshi,Mwamlimu shule za Serikali au Dokta Hospitali za Serikali leo hii tunaita eti hawa ni Watanzania.Jamani huu Uchulo mpaka lini?

Nimestaajabu kwa mara ya kwanza nimekutana na picha hizi nikapenda tushare na kujiuliza system yetu inaona nini baada ya miaka hamsini ya sasa ya uhuru. Na baadae miaka hamsini ijayao toka sasa kama mimi mabae miaka hamsini ijayo Mungu akitupa uhai tunatakuwa na miaka Themanini na tano, Je huu ndio ulithi wetu kwa walio wazee sasa waliopaswa kujenga Taifa kwa vizazi vya sasa na vijavyo.
12-14-2011 6-43-09 PM.JPG Gavana akikagua gwalide la Askari wa Serikali ya Mkoloni wakati huo huku askari wa asili ya kiasia wakiwa wengi kuliko askari wa kimatumbi.
Mhindi Uhuru.JPG Mwalimu akipokea Bendera Toka kwa Askari wa Kihindi Siku ya Uhuru Wa Tanzania [By then Tanganyika Dec 9 1961].

Wako wapi hawa askari kwenye utumishi wa umma wa kujenga Taifa sawa kwenye sekta zote tukatumia akili zao katika sekta zingine za uchumi kama wanasheria wa Serikali,Walinzi, na hata kuona kwao sisi wamatumbi na wao?.

Hakika Iko siku isiyo na jina Wataongea na kuludisha vyote walivyochota na mababu zao, na wataludi huko walikotoka kwenye zama za kuwa askari na watendaji wa kada ambazo wameitunishia Serikali ya Tanzania Misuli nayo ikagwaya hivyo ikwaachia kumeza sekta ya biashara na uchumi ambako wamemilki asilimia kubwa ya uchumi wa Tanzania pekee yao wao na vizazi vyao.
 

Attachments

  • 12-24-2011 12-11-47 PM.jpg
    12-24-2011 12-11-47 PM.jpg
    28.1 KB · Views: 32
Unapaswa kujua tu kuwa wahindi waliletwa na mfumo wa Ukoloni, baada ya Uhuru na pia walipaswa kuondoka kama wakoloni wengine walivyondoka. Kuhusu nyumba, hizo nyumba ni za Taifa kama vile wazungu walivyoziacha quarters za Oysterbay na Masaki, pia hizo nyumba za Upanga, kisutu, n.k zilitakiwa zibaki kama zilivyo, waafrika tungeamua hata kufuga kuku ni sawa ni mali ya watu weusi. Hizo nyumba wahindi hawakujenga kwa fedha zao ukumbuke wakati wa mkoloni ilikuwa marufuku kwa mtu mweusi kupata hata mkopo bank, niwahindi na wazungu ndio waliruhusiwa. Jaribu kutambua nafsi yako ulikotoka

Lakini kwanini Nyerere kuwasaidia hawa magabachoodi, ni kwa ajili ya rangi yao imefanana na yake, maana kumuita Nyerere Muafrika mweusi si sahihi, alifanana na Amir Jamal zaidi kama angetia curlkit! haha ha, mbona Bryson tumem sahau , kizazi chake kimekimbilia wapi?
 
Nimekuwa muumini mkubwa wa Mwalimu Nyerere baba wa Taifa hili kwenye mambo mengi aliyofanya Tanzania wakati wa utawala wake. Kama mtanzania mweusi wa Taifa la Tanganyika naomba tu nilikili kuwa katika vitu ambavyo Mwalimu aliboronga katika utawala wake, ama kwa makusudi kabisa au kwa wivu wake ni hili kukataa kuwanyima uraia watu wa jamii ya kihindi, Pakstani na South Asians baada ya uhuru, aumuzi ambao ulikuwa ukipingwa vikali na chama cha ANC ambacho kabla ya Uhuru kilikuwa na slogan ya Africa for Africans.

Ndugu zangu kwa wale Political Scientists, Sociologists, Lawyers, Economist n.k Napenda kuwakumbusha Theories za Structural Functionalism ambazo hasa msingi wake ilikuwa ni kujenga matabaka katika jamii na kila tabaka likiwa na kazi zake za kufanya katika jamii. Utaratibu huu ulitumika sana kwenye makoloni na kwa Upande wa Tanganyika kulikuwa na matabaka matatu, ya Wazungu (Rulers), Waasia (Busnessman and assistants in white collar jobs) na weusi (vibarua). Utaratibu huu pia ulitumika kwa nchi za Uganda, na Kenya kwa ukanda wa Africa Mashariki. Kwa upande wa Zanzibar waliamua kuretain waarabu kama tabaka la kati. Kama tunavyojua nchini Rwanda na Burundi Wabeligili waliwatumia watu wa jamii wa kitutsi kama tabaka la kati ili kuweza kufanikisha mambo yao

Mwandishi Erik W. Larson katika makala yake ya mwaka 2007 yenye kichwa cha makala NATION-STATES CONFRONT THE GLOBAL: Discourses of Indigenous Rights in Fiji and Tanzania akielezea jinsi gani Tanzania na Fiji zinavyotekeza maazimio ya Umoja wa Mataifa katika tafsiri tofauti na ilivyokusudiwa na UN, anaeleza wazi mgogoro uliokuwepo Tanganyika wakati wa harakati za Uhuru , pale ambapo Wahindi na jamii nyingine ya watu wa Asia alivyokuwa ikionyesha dharau, kejeli kwa watu weusi kuwa waafrica hawazi kujitawala.
Baada ya Uhuru kulikuwa na vyama vingi, kama ANC vilivyokuwa vikishauri kuwa kazi ya kuondoa tabaka la wazungu ilikuwa ya ya kwanza sasa kilichokuwa kikifuata ni kuondoa pia tabaka la Waasia. Nyerere hakukulibali kabisa wazo lile na hapo ndipo ninapomlaani Nyerere na kuona alikuwa mpenda sifa, na madaraka wala hakuenda kukomboa tabaka la weusi wa Tanyanyika. Akijua wazi kuwa wahindi walikuwa waki-ocuppy tabaka la wafanyabiashara, akaleta policy kuwa Tanganyika ni nchi ya wakulima na wafanyakazi kwa maana nyingine badala ya serikali kuanza kujenga tabaka la wafanyabiashara weusi baada ya uhuru Nyerere alichofanya ni kuhubiri na kujenga Taifa la wakulima na wafanyanya kazi, huku akiacha jamii ya watu wa asia wajiimarisha kwenye biashara na weusi wakiwa maskini wa kutupwa. Kuna watu wengi walimpinga kwa hili, hata jaribio la mapinduzi la mwaka 1964 linaelezewa kuwa ndio sababu hasa iliyosababisha mapinduzi yale, kwani waafrika wengi walichukia kitendo kile kama kinavyoeleza kipande hiki cha Aminzade(2000) "Julius Nyerere's 1964 declaration that Africanization was dead and that Asians and Europeans would be allowed to join TANU generated intense protest, including an abortive military uprising, the repression of which temporarily put an end to the public debate over racial issues. Individuals and political parties advocating racial nationalism fell victim to laws instituting a single-party state and restricting freedom of association and assembly".

Hii hali ilikuwa tofauti kabisa kwa nchi za Uganda na Kenya. Hawa walifanya effort za wazi kabisa kuhahakisha tabaka la hawa cockroach linaondoka. Kenya waliwapa wakati mgumu sana kupata uraia na Uganda waliwatimua kabisa. Nchi hizi zemeweza kujenga tabaka la middle class weusi wa kutosha licha ya mapungu ya kikabila ambayo yapo lakini kuna weusi wengi ambao wanaweza ajiri weusi wenzao. Angalia Tanzania ya sasa kila kitu kimeshikwa na Wahindi na waarabu, sio biashara ya mafuta, viwanda, mahotel, mpaka tender za serikali. Watanzania weusi tumekuwa vibarua tu katika nchi yetu, opportunity zote mpaka ufundi mchundo sasa unachukuliwa na waasia na waarabu, weusi tunapeana sumu wenyewe kwa wenyewe, wengine wanasema tupo kama senene ndani ya chupa, hatupumui hatutoki, wale walibahatika kureplace tabaka la wazungu nao wako busy kujiweka sawa ili wabaki kwenye tabaka hilo pamoja vitukuu vyao, nao pia wanashirikiana na tabaka la watu jamii ya ki-Asia katika kufadhiri hizo wanaita kampeni ambazo wanagawa vi tshirt na kanga kwa akina mama weusi vijijini na kuwasahau mpaka baada ya miaka mitano, nchi imegeuka jina inaitwa bongo, hakuna mtu anastuka kuwa hili jina baya au zuri kwa nchi.

Watu tulilishwa sumu na Nyerereism, wala hatuoni mbele wala Nyuma mtu akitetea haki za watu weusi kama Mtikila huwa wanachekwa, (sijui huko wapi huyu mzee maskini, mzee nae kaona ale kivyake). Iddi Simba aliwahi anzisha mambo ya uzawa alienda kubanwa huko wanakoita kikao cha NEC naye kimya sasa. Lakini tutake tusitake hili swala Nyerere alifanya makosa makubwa, hata yeyé waatalamu wa mambo wanasema aligundua makosa na mpaka alifikilia Azimio la Arusha. Lakini mtu mzima hakupenda ona naye aonekane anakosea akaamua kula ganzi na ndio sasa tunaumia. Inasigitisha sana Nyerere alikuwa kinara katika mapinduzi ya Zanzibar katika kung'oa utawala wa waarabu ila hakuweza ona kama Wahindi ndani ya Tanganyika ni tatizo mpaka anaenda kaburini. Sasa aanza kuamini kuwa mwalimu wala hakuwachukia waarabu ndani Zanzibar bali aliuchukia uislam na kuona utawala wa sultani ni kitisho kwa ukatoliki katika ukanda huu.

Ukiwa Dar es Salaam kwa mwananchi wa kawaida kwa siku lazima utumie bidhaa ya jamaa mmoja anaitwa Azam, lakini ukijaribu kuuliza ni vijana wangapi wanafanya kazi kwa azam atleast wamejenga nyumba za kuishi atleast yenye standard flan, ni almost hakuna. Kitu kama kama hiki kwa nchi ambazo nimewahi ishi kwa uzoefu wangu ni lazima kungekuwa na watu middle class ambao wanafanya kazi huko kweye viwanda vya juice, unga, ice cream. Ukiuliza unaambiwa wapo lakini si weusi.

Kwa kuwa weusi wa Tanganyika wamekuwa ni vibarua wa muda mrefu sasa imefikia hatua tunaogopa shirikisho la ajira la Africa Mashariki. Hili kweli kabisa kwa kuwa watu ndani ya Tanganyika tumekuwa vibarua katika nchi yetu kwa muda mrefu. Yatupasa kuvuta pumzi kabla hatujajichanya na wakenya lasivyo hata ile subordínate position tuliyonayo kwa wahindi sasa itachukuliwa kiulaini sana Wakenya pamoja na Waganda.
Ningependa kusema Nyerere alifanikiwa kwa kiasi kikubwa kutuungasha watu weusi kuwa kama kabila moja lakini hakufanikiwa kuaanzisha middle class baina ya watu weusi na badala yake aliacha ngedere wale mahindi shambani huku watu weusi wanapiga jembe vijijini, aliacha wahindi watambe kwa biashara, huku ikiwa marufuku kwa watu weusi kufanya hivyo. Hakika alirithi utaratibu wa wazungu na pia inaoneysha wazi alikuwa na wivu hakupenda aonekane mtu mweusi ana hela Tanzania, tena mbaya zaidi akiwa na hela zaidi yake. Ni wazi kabisa aliona bora mhindi aonekane ana hela na anatumikisha watu weusi, hakupenda ona mwafrika anaajili mwafrika mwenzake, alipretend aonekane kuwa yeye ni Marxist huku ikijulikana wazi kuwa hakuwahi kuwa Marxist, aliweza tu kutumia Marxism katika kukandamiza mtu mweusi asimwajiri mweusi mwenzake,uku ikiwa halali kwa mhindi kuajiri mtu mweusi, wala hakuweza tambua kuwa communism iliyohusudiwa Russia na China iliwahusu watu wa race moja na wala hakutambua kuwa wahindi waliletwa na wakoloni. Mpaka sasa ametuacha vibarua ndani ya nchi yetu tukiendelea kutumikia wahindi viwandani miaka hamsini ya uhuru, ameacha wakati mgumu sana kwa marais walimfuatia maana tayari walishabanwa na sheria za kimataifa kibao.Hili swala ni kama taboo kwa Tanzania, ukiliongelea kwenye public unaonekana muasi, watawala weusi wameamua kufumba macho vibarua weusi wanapata shida na wala hakuna Chama cha Siasa kinacholizungumza kwa wazi na kuona kama ni tatizo. Debate zimediverge kwenye mambo ya udini,muungano na shirikisho la Afrika Mashariki, lakini kirusi kinachoangamiza watu weusi tangu Uhuru ndani ya Tanzania hakiongelewi. Mimi kuanzia mwaka 2012 naahidi kutumia elimu yangu katika kuandika jinsi gani TABAKA LA WAASIA "RAIA WA TANZANIA" WANAVYOIRUDISHA NYUMA TANZANIA TOKA UHURU NA KIPI KIFANYIKE ILI KUNUSURU RAIA WEUSI.

Ndugu zangu mabadiliko yanaanzia kwako, usione uko upo kwenye kiti cha kuzunguka na kiyoyozi au uko kwenye gari umefunga vioo unawaona watanzania wako nje ya mageti ya viwanda vya wahindi wakisubiri kuitwa ndani kama itakuwa bahati yao kwa siku hiyo, ukafikiri wewe umesalimika. Usione Zimbabwe mpaka leo wanasumbuka kuling'oa tabaka la settlers ndani ya nchi yako wewe wajiona uko salama. Tena afadhari ya Zimbabwe kwani mpaka hii makala inaandikwa tayari kuna malalamiko kuwa watu wa jamii ya Asia wanazidi kuingia Tanzania kwa kutumia procedure dhaifu za Uhamiaji. Hao watu wanaingia wala hawaonekani wanayoondoka, ikiwa na maana wapo na wanazidi kujazana. Tabaka hili halina mpango wowote kwa maendeleo ya Tanzania bali kuvuna chochote watakachoona mbele yao wakitumia njia nyeupe ambayo Nyerere aliwatangenezea tangu Uhu
ru
Mtikira ameshafariki. Anyway am from the future.... I know this is 2011, i am from the year 2019. Magufuri is the president now....
 
Wasomi kama Shivji pamoja na kuandika vitabu vingi na maaruku kama Class Struggle in Tanzania, hajawahi andika kuhusu race struggle in Tanzania na jinsi gani mfumo uliopo unavyowabeba wahindi kwa kuwa na yeye ni Mhindi. Waafrika amkeni tusilishwe pumba tu muda wote,
Hatuna tabaka la watetezi wa waafrika hapa Tanzania. Hata akina zitto hawa ni kelele tu wanapiga....
 
Mbona wahindi nawaona Dar es Salaam tu kwani wamehamia na makao makuu tayari?! Tukihamia Dodoma msiwaite tubaki wenyewe sasa.
 
Yule mzee kuna mambo mengi mabaya alifanya,ila kuna Watu wanamtukuza kama mungu
 
Hua inaniuma sana kila siku jioni nikipita pale mtaa wa kisutu kwenda kupanda gari posta kuelekea nyumbani Tandika kwa walalahoi. Jamaa wanafaidi nchi balaa. Na kinachosikitisha zaidi, licha ya kupata faida kubwa hawana mpango na maendeleo ya Tz wanaenda kujenga na kuendeleza nchi yao hapa ni pa kuchumia tu.

niliwahi kusikia story kua wahindi wageni hua wanakuja nchini na kufadhiliwa chakula na malazi pamoja na pesa kwa muda flani. Muhindi mgeni atafungua akaunti benki halafu kila siku asb atapeleka pesa na kuitoa mchana kwa muda wa miezi 6 au zaidi. Baada ya hapo, akiwa tayari ameshapewa jengo la biashara ataenda benki na kuomba mkopo kwa kigezo cha kua na ofisi na biashara inayomwezesha kuingiza na kutoa pesa benki kwa kiasi kikubwa kila siku. Then atapewa mkopo wa kufa mtu!

kuna muhindi mmoja alikua anatudharau wa Tz kua alipokuja wakati bado mgeni alianza kuvaa mashati ya kijani na suruali nyeusi. Uhamiaji na police hawakumgusa kuhusu kibali

#wewe nenda India uone utakavyopokelewa.
Ukitaka kujua wanavyofaidi, nenda South Beach au sehemu nyingine nzuri ya kula raha uone utofauti au tembelea mtaa wa kisutu saa 1 usiku

wahindi ndio sumu ktk nchi hii

haaaahaaa pole sana kaka huo ni wivu. unasema muhindi anaenda kujenga kwao kwani tanzania sio kwao. akili yako inavyokutuma kuwa ukiwa mtu mweusi basi wewe ndio mtanzania safi hiyo ndio akili ya idara ya uhamiaji. nenda mikoa yoote ya tanzania angalia maghorofa yote kila mkoa nani kajenga sio john wala masanja. utakuta maghorofa yote yamejengwa na wahindi kabla ya uhuru utakuta ghorofa limeandikwa mwaka waliojenga 1847 zingine 1922 angalia maghorofa yote hapa dar miaka waliojenga wahindi ni miaka mingi sana hata shangazi yako hajulikani wakati huo. leo kijana wa kihindi anaenda uhamiaji kuomba pasport wanamwambia alete karatasi ya bibi yake kama kweli raia wakati babu yake na bibi yake wamejenga ghorafa dar mwaka 1847 na anaye waomba karatasi hiyo yeye bibi yake hajulikani alitokea wapi. utawala wa nyerere ukaja kuwataifisha nyumba zao na kuwapa NIC na nyinyi mkafurahia sana wahindi wengine walizimia wengine walifariki kwa presha. leo mungu amegeuza kibao leo nyinyi nyumba zenu sio za ghorofa za udongo mnavunjiwa na serikali mnaambiwa hapa inapita bara bara mnalia mnalalamika. hamkumbuki wakati ule mlifurahia wenzenu kutaifishwa. dhambi bado inaendekea kuwatafuna.
 
Unapaswa kujua tu kuwa wahindi waliletwa na mfumo wa Ukoloni, baada ya Uhuru na pia walipaswa kuondoka kama wakoloni wengine walivyondoka. Kuhusu nyumba, hizo nyumba ni za Taifa kama vile wazungu walivyoziacha quarters za Oysterbay na Masaki, pia hizo nyumba za Upanga, kisutu, n.k zilitakiwa zibaki kama zilivyo, waafrika tungeamua hata kufuga kuku ni sawa ni mali ya watu weusi. Hizo nyumba wahindi hawakujenga kwa fedha zao ukumbuke wakati wa mkoloni ilikuwa marufuku kwa mtu mweusi kupata hata mkopo bank, niwahindi na wazungu ndio waliruhusiwa. Jaribu kutambua nafsi yako ulikotoka

hata waafrika walipaswa kuondoka tanganyika baada ya wakoloni kuondoka kwani na wao waliletwa na wazungu kutoka congo na burundi rwanda kwa ajili ya kubeba mizigo ya wakoloni
 
Huu ni ubaguzu wa wazi. Dunia ni yetu wote. Wahindi wana miaka zaidi ya 200 hapa, waliopo ni Watanzania kama Watanzania wengine na hawakuchaguwa kuzaliwa hapa.
 
Bloody fools... Tusubiri siku zetu zifike, tukizikwa tutajua kwamba huko chini ya ardhi ya Tanzania panaitwa hivyo au pataitwa Danganyika...
 
Hii thread Ina ukweli tupu, Ila ni hatari kuijadili namna hii, inaweza Leta hisia na uvunjifu wa amani.

Modes naomba mjiongeze
 
Tatizo siyo wahindi ni sisi wenyewe. Wateja wakubwa wa biashara za wahindi ni sisi wenyewe na wanaowawezesha ni sisi wenyewe na viongozi wetu. Hivyo tuanze kujiangalia sisi wenyewe ni wapi tunapokosea.
 
Middle class gn unayoiyete?!?!?!?

Nadhani ktk makalla yako kwenye kile neno waafrika weusi" weka "waislam"
 
Back
Top Bottom