Nyamgluu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2006
- 3,160
- 1,718
Mkuu can you break it down to make it easier! maana bado sijaelewa this post! i do apologize!
LTC,niliandika response 'nzuri' via mobile, kumaliza cm ikaisha charge, mwenzangu kashangaa nimeamka na kuwasha PC, hehehe!!
Any yote kwa ajili ya nchi yetu.
Ni hivi: Mimi sikubaliani na fikra ya kwamba hatuwaoni watu wenye uwezo kama Nyerere hivi sasa kwasababu situation ya ufisadi na mafisadi wana wakandamiza! Hapana! Ni imani yangu kwamba ni hali hizi hizi za ukandamizwaji ndipo mashujaa hutoka, sio wakati vitu ni shwari.
Nyerere,Mandela, Martin Luther King, Gandhi e.t.c. sio legends kwasababu eti mazingira yalikua shwari hivyo kuwapa opportunity ya kuwa mashujaa,hapana, ni precisely kwasbabu hali ilikua ngumu na ya unyanyasaji ndio maana hawa extra-ordinary people waka tokea.
Hivyo basi kutumia kigezo eti kua sasa wako watu kama au 'kuzidi' Nyerere ila tu mfumo hauruhusu wao kuchomoza SI SAHIHI kwasbabu ni mfumo huuhuu wa ukandamizaji unaojenga mazingira wa mashujaa hao kutokeza kama basi wapo!
Sijui umenipata au nije kivingine?