LoyalTzCitizen
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,234
- 883
- Thread starter
- #21
To be honest hata mimi jamaa nilikuaga simzimii hivyo na wakati ule watu wazima wakimzungumzia na kumsifia nikawa naona kama wamepagawa maana maisha yalitupiga sasa lakini nilianza kumzimia alipopisha mambo ya vyama vingi na kun'gatuka ktk uraisi. Sasa watanzania tumetake it for a granted! chizi kapewa rungu sasa ukiachilia haya maafa yetu ya mabomu hata raia wetu wameshikwa na wale pyrates kule Somalia walaa hatujali na huko Libya kuna wabongo kibao na huenda ikawa hata kuna wengine wamekufa tayari BUT nchi imekosa muelekeo na hakuna hata tamshi lolote kuhusu haya matukia! yaarkkk!! Sijui hata viongozi wanafanya kazi gani yaani hapo ndio kichwa kinaponiuma! Foreign ministry does not exist anymore! ila cha kushangaza kuna mabalozi na kila kukicha raia watanzania pia wanauliwa kinyama abroad BUT no response toka foreign office!