Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,877
- 2,758
- Thread starter
- #101
basi ndugu punguza pia na mahudhurio na kubandika kule bondeni maana integrity nayo inapungua. Mwisho wa siku mada inanajisikaHakuna swala la imani hapo, kuna suala la elimu. Kuna mtu alilisemea hilo kwenye post#93 ndio akawa anajibiwa ilikoanzia "Ilm dunia". Soma vizuri posts na usiogope utajuwa kuwa suala si imani ni elimu.