NYERERE: hakuna watu waitwao Waswahili

Waswahili ni wakina nani? ni kabila au ni watu wanaozungumza kiswahili. Mtu ukikulia pwani ni mswahili au? mimi naona hii haina tofauti na jina "wamachinga"
 
Hivi hawa anti-Nyerere mbona wametindikiwa namna hii. Wanahangaika ktk jangwa la udini. Ok wanajua liliko kaburi la Mwl. ni vema waenda pale waka-argue nae lakini sio kuijaza JF na malalamiko ya kipuuzi kila kukicha. After all pia wana vyombo vyao vya habari kwa nini wasimtafute huyo wanaemtuhumu ili wahojiane? Au vipi si wampeleke kwenye zile mahakama zao? Maana hawashindwi hawa kugeuza chumba kitupu kuwa Mirembe.

Wanataka shari hawa jamaa, so wasitafute njia ndefu kufika watakako, Z'bar ndio waliokuanzia waendeleze moto wao na huku Bara kisha watajua kama sanity is same as madness.
 
Back
Top Bottom