Nyerere Hakukiona Wanachokiona Wana-kinyang'anyiro wa Leo.

Wambandwa

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
2,249
830
Kwenye safu ya ya Rai ya Jenerali - gazeti la Raia Mwema January 11 - January 17 na kuna nukuu zimenigusa kwenye paragraph mbili, na quote:

Ambacho hakujua Nyerere ni kwamba baada ya kifo chake, wale aliowaona kama waadilifu kwa sababu walikuwa wakiitikia kila alichokisema, wangekunjua makucha yao na kuchanachana kila alichokiona kama adhimu. Tena hawakusubiri sana baada ya kifo chake, jambo linaloashiria kwamba walikuwa wanajua anaondoka na wakawa wanahesabu siku.
[FONT=Verdana, Geneva, Arial, 'Bitstream Vera Sans', 'DejaVu Sans', Meiryo, 'Hiragino Kaku Gothic Pro', 'MS PGothic', Osaka, sans-serif]Hivi sasa wamekwisha kushika kasi katika kinyang'anyiro hicho, na hakuna cha kuwarudisha nyuma hadi watakapopigwa ‘stop' na wananchi. Kwa sasa wanaamini kwamba mambo yako vile vile, kama 1965, na ndiyo maana watatoana roho (kiukweli) katika mashindano ya kwenda Ikulu.

Yangu macho na masikio!
 
I respect that dude when it comes to political analysis of this country. Ulimwengu yuko njema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom