Nyerere angewafanya nini watu hawa wanaomwagika nyumbani kwake kutoa zawadi?

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Hakuna kitu Nyerere alikuwa anachukia kama yeye kugeuzwa kuwa centre of tension, hakupenda makuu alikuwa mpenda
watu na mchukia wala rushwa na watoa kila alipothibitisha tuhuma hizo. Leo hii badala ya viongozi wakina Nchimbi, Membe
na wengineo badala ya kutumia muda wao kuwahudumia wananchi wanatumia muda wa wananchi kuandaa tafrija na sherehe
mbali mbali kwa ajili ya familia ya Nyerere ambayo binafsi naiyona ni kama rushwa ya kupata support kutoka kwa familia hiyo
kwahiyo swali langu ni kwamba je nyerere angekubali familia yake kugeuzwa mtaji wa kisiasa na wanasiasa uchwara. kwa uzoefu
wako kwa jinsi unavyomfahamu
Nyerere angewafanya nini watu hawa ?? binafsi nilikuwa bado teeneger wakati wa utawala wake lkn
nahisi angewafukuza nyumbani kwake mchana kweupe kwa kutaka kugeuza nyumba yake kuwa pango la wala rushwa.
 
Back
Top Bottom