Nyerere alipotabiri kifo cha CCM

Negative255

New Member
Sep 5, 2010
3
0
Na haya aliyasema "UCHAGUZI wa mwaka huu kuna watu wa ajabu ndani ya CCM ambao hawafanani na chama. Watu wengi wenye kasoro wamejiingiza na kukichafua chama. Sasa CCM kimekuwa kama kokoro, kinabeba pia watu wachafu."
 
Alitabiri lini? & wapi?!! kwani nyerere ni mnajimu?!! Au huna habari amekwishafariki?:confused2: sikunyingi kweli
BTW .. karibu JF! next time njoo na thread zenye akili.. sio kwasababu una muda& PC/LAPTOP basi unapost chochote humu! ukijisikia hivo nenda GPL
 
Thinking you will be one of the great thinkers my friend!!!...well the msg is very clear...Aliyaongea hayo mwaka 95 hapo zamani Kilimanjaro hoteli...Kwa tafsiri ya saivi ni kwamba CCM imeshapoteza muelekeo kwa kua chama saivi kimeshajaa madudu!. Kwa maana hiyo basi, viongozi wangekua makini na maneno yake pengine wangeweza kukinusuru chama kutoka kuzama. Guess have made myself clear my friend..PEACE
 
Nyerere huyo huyo alitabiri mwaka 1997 ya kuwa angelimwona Raisi wa CCM akimkabidhi mwingine na mwingine na mwingine na mwingine akimkabidhi mwingine hiyo ukijumlisha ni miaka 22 yaani angalau angelikuwa yu hai kufikia mwaka 2019 lakini miaka miwili baadaye alifariki kwa saratani ya damu.

Sijui alikufuru kuingilia kazi ya Mwenyezi Mungu kama huyu Mnajimu wa Majini anavyowaombea wenzie balaa wakati balaa ni zetu sote kwani aliyezaliwa lazima ajivunie kufa.
 
Watabiri wako wa aina mbili. Kuna wale wa hali ya hewa na wale wa unajimu. Sijui Nyerere alikuwa mtabiri wa kundi gani. :becky:
 
Na haya aliyasema "UCHAGUZI wa mwaka huu kuna watu wa ajabu ndani ya CCM ambao hawafanani na chama. Watu wengi wenye kasoro wamejiingiza na kukichafua chama. Sasa CCM kimekuwa kama kokoro, kinabeba pia watu wachafu."
''I WON'T LET MY COUNTRY BE LED BY DOGS'' hivi haya maneno alitamka nani? kumbukumbu zangu zinaniambia ni KAMBARAGE.. sijui wenzangu kumbukumbu zenu zinasemaje?
 
''I WON'T LET MY COUNTRY BE LED BY DOGS'' hivi haya maneno alitamka nani? kumbukumbu zangu zinaniambia ni KAMBARAGE.. sijui wenzangu kumbukumbu zenu zinasemaje?
Hao "DOGS" ndio CCM wa sasa, na hatutarudia makosa mwaka huu! Asante sana kwa kukumbusha hili mkuu!
 
"Mlio Inajisi Nchi yangu Tanzania, Sahauni KURA yangu".
Hivi hii ni Saini ya nani humu?
 
Mwache Nyerere wetu alale mahala pema peponi.
Above all aendelee kuiombea tanzania Amani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom