Nyerere alikuwa na tamaa ya madaraka

We know mafisadi mmeshiba baada ya mzee kumuondoa sasa mmeanza kutukana maana mnajua hakuna wa kuwakaba. nayway hakuna atakaeishi milele wote tutakufa na wanenu watarithi yote mliyoitendea nchi hii.
 
Episodes, kumshutumu Nyerere kuwa na uchu wa madaraka bila kufanya ulinganifu na Marais baada yake kunafanya hoja yako kuwa dhaifu.
Sasa tuambie, walokuwa baada yake na Nyerere, nani anatamaa? Nyerere hakuanda familia yake kushika madaraka baada yake. Nyerere hakuandaa familia yake kuwa mamilionea mafisadi.
JK wa sasa ameandaa royal family; mkewe na watoto wake soon watakuwa watawala (ili kumlinda?), wamekuwa wajumbe wa NEC bila kupigiwa kura! Riz ni milionea wa kutupwa, mtaji alikopa benki gani Be fair
 
Kama binadamu wote tulivyo ndivyo na Nyerere alivyokuwa,Biblia inasema wote tumetenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu,Nyerere alikuwa na tamaa ya madaraka kwa sababu hakuwa mkamilifu,hakuna binadam aliye mkamilifu,udhaifu wa Nyerere unaonekana dhahiri alipoachia madaraka ya kuongoza chama cha Tanu na kumkabidhi mtu aliyekuwa dhaifu wa kutupwa Kawawa
kulikuwa na watendaji wengi wenye uwezo mzuri kama wakina Kambona,Msekwa,Mwanjisi wengi tu ambao walikuwa very intelligent,Nyerere aliogopa kuwaachia mmojawapo wa hao kwa sababu alihofia watakuja kumzidi na kuchukua nafasi yake,kama binadamu naye alikosea mambo mengi hasa hili la kumpa uenyekiti wa chama mtu ambaye ni dhaifu
Nyerere alifanya kazi na watu wote hao na alijua uwezo wao,Rashidi Kawawa alikuwa hana sifa hata kidogo ila kutokana na woga wa Nyerere kumpa mwenye uwezo aliamua kumwachia
kumbe nyerere naye ni binadam na alijaa madhaifu kama binadamu sisi

NI KUKOSA ADABU kumzungumzia vibaya baba wa taifa letu lakini kila mtu ANA HAKI YAKUTOA MAONI YAKE!! ila inaweza ikawa kwamba INGAWEJE TANZANIA ilitawaliwa na NYERERE(RIP) lakini mtoa mada anaona bola hata NYERERE ASINGECHUKUA NCHI kwa sababu TANZANIA mpaka leo bado ni ombaomba! Lakini shukrani zote ziende kwa NYERERE kwa kutupatia UHURU KUJILETEA MAENDELEO!!! mi nnavyo ona wadhaifu ni sisi wenyewe watanzania kwa KUCHAGUA CHAMA tena kilekile ambacho kimeboronga KWA HOJA DHAIFU eti AMANI BILA CCM haiwezekani! KIUHALASIA ni kweli kwamba CCM ndo wanaovunja AMANI kwa vitisho na kutumia dola ??
 
Hii mada nishaijua muelekeo wake! Kuna kitu kinatafutwa,muda si mrefu tutafika hapo..
 
Episodes, kumshutumu Nyerere kuwa na uchu wa madaraka bila kufanya ulinganifu na Marais baada yake kunafanya hoja yako kuwa dhaifu.
Sasa tuambie, walokuwa baada yake na Nyerere, nani anatamaa? Nyerere hakuanda familia yake kushika madaraka baada yake. Nyerere hakuandaa familia yake kuwa mamilionea mafisadi.
JK wa sasa ameandaa royal family; mkewe na watoto wake soon watakuwa watawala (ili kumlinda?), wamekuwa wajumbe wa NEC bila kupigiwa kura! Riz ni milionea wa kutupwa, mtaji alikopa benki gani Be fair

mkuu udhaifu wa huyu dhaifu wetu unaonekana dhairi,hasa kitendo chake cha kuwaingiza mke na watoto kwenye nafasi za mbele za chama chake,lakini udhaifu wa mwalimu ulijificha sana kiasi kwamba ilikuwa vigumu wazee wetu kuujua,hapo unaonaje?
 
Nathubutu kusema Nyerere hakuficha bali hakujua! Misingi ya kung'gatuka aliyoiweka, imefanya Watawala wa leo waogope kung'ang'ania madara, hizi royal families unazoona sasa ndio wenye uchu wa madaraka.
 
mkuu udhaifu wa huyu dhaifu wetu unaonekana dhairi,hasa kitendo chake cha kuwaingiza mke na watoto kwenye nafasi za mbele za chama chake,lakini udhaifu wa mwalimu ulijificha sana kiasi kwamba ilikuwa vigumu wazee wetu kuujua,hapo unaonaje?

kumuita JK dhaifu haitoshi, usisahau kwamba kuna watu walimuingiza ikulu sijui kwasababu zipi!! watanzania wote ni wadhaifu plus raisi wao waliomuweka kwenye madaraka!! UDHAIFU WETU njimaana tumeshindwa kulitoa li CCM na mpaka leo linatawala!! UDHAIFU wetu watanzania tumeshindwa KUBADILISHA SHERIA KANDAMIZI nakuwatetea wabunge walewale hata kwa kufa ili waingie bungeni!! NI UDHAIFU wetu watanzania tumeshindwa kufufua gazeti pendwa la wananchi MWANAHALISI, ni kwa UDHAIFU WETU tunampa uhuru PINDA mpaka anaamua aseme liwalo na liwe kwenye UHAI WA WATU!!! tanzania tupo nyuma sana na sana !!!
 
MKUU naomba kuuliza,Kawawa alikuwa anajua kiingilishi?

mkuu kiinglish kwako ndio kuelimika? au ndio uwezo wa mtu wa hali ya juu yani bila hichi kiinglish mtu ni bogas?
wachina wengi wamesoma sana kwa lugha zao je kwako hawa hawajaelimika au sio wasomi.
nafikiri mkuu hii ni fikra ya kikoloni.
 
Kama binadamu wote tulivyo ndivyo na Nyerere alivyokuwa,Biblia inasema wote tumetenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu,Nyerere alikuwa na tamaa ya madaraka kwa sababu hakuwa mkamilifu,hakuna binadam aliye mkamilifu,udhaifu wa Nyerere unaonekana dhahiri alipoachia madaraka ya kuongoza chama cha Tanu na kumkabidhi mtu aliyekuwa dhaifu wa kutupwa Kawawa
kulikuwa na watendaji wengi wenye uwezo mzuri kama wakina Kambona,Msekwa,Mwanjisi wengi tu ambao walikuwa very intelligent,Nyerere aliogopa kuwaachia mmojawapo wa hao kwa sababu alihofia watakuja kumzidi na kuchukua nafasi yake,kama binadamu naye alikosea mambo mengi hasa hili la kumpa uenyekiti wa chama mtu ambaye ni dhaifu
Nyerere alifanya kazi na watu wote hao na alijua uwezo wao,Rashidi Kawawa alikuwa hana sifa hata kidogo ila kutokana na woga wa Nyerere kumpa mwenye uwezo aliamua kumwachia
kumbe nyerere naye ni binadam na alijaa madhaifu kama binadamu sisi

Ni maoni yako - na yako kihisia zaidi; unfortunately hata wewe mwenyewe huwezi kuya-substantiate!
 
Back
Top Bottom