Nyerere alidanganywa na Karume: Muungano is myth, not reality

mabadilikosasa

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
379
85
Ilikua vipi nyerere badala ya kufanya unguja na pemba kuwa sehemu ya Tanganyika kama mikoa na wilaya-wilaya/ mkoa wa pemba na unguja, badala yake akadanganywa na Karume eti waunde serikali za Zanzibar ndani ya serikali ya Tanzania? Je karume alikua na uchu sana wa madaraka? Kwanini kwa sasa tusitafute visiwa hivi viwe mikoa au wilaya kwa kufanya majadiliano na watu wa kisiwa cha pemba na kisiwa cha unguja tuachane na Zanzibar?
 
Sijaona na kuelewa mantiki ya hoja yako.
Yaonekana huijui historia ya Tanganyika na Zanzibar mkuu, na hivyo kutokujua hata sababu na aina ya muungano wenyewe.
 
Back
Top Bottom