Nyerere akashifiwa!

People are ignorance because they don't want to ask them self why god make himself invisible-CONFUCIUS.
 
Nadhani, kwako wewe unaielewa , ama unaichukulia kashfa kama ni matusi yale ya kitandani. naomba nikujulishe kwamba: Bangi ni taboo (Mwiko ) pia matusi, bila kujali kama ni ya mdomoni ama ya kitandani, nayo ni taboo. sasa sielewi unachokiongea hapa. kwa mfano. spika kaingiaje kwenye mada hii?. kwa taarifa yako, kulingana na sheria za Tanzania, bangi ni zao haramu. halikubaliki.

Nitaanza chini kwenda juu, Ninakusudia kuwa unachokiona wewe ni takatifu mwenzio anakiona kichafu hivyo ninapotaja spika ni kukupa mfano wa situation hiyo. wengine wakiona hivi wengine huona vile. Na tukirudi na hilo la Bangi, naam kama utatia akilini inawezekana ikawa hivyo, kwani unafikiri unaweza kuita nini kitu ambacho si cha kweli na unawadanganya watu na watu na akili zao wanafuata na inawachukuwa miaka kutoka kwenye lepelepe la mtando huo? Inawezekana ikawa ni sawa na Bangi. Sasa hapo utasema ni kashifa au ni mfananisho?
Halafu ndugu yangu kama ulitulia bila ya kuwa na nagging nyuma yako ungefahamu kuwa Bangi hapo ilikusudiwa kuwalevya Watanzania, sasa kama wavuta bangi ni Watanzania Nyerere anakashifiwa vipi? Nilifikiri ungesema kuwa Watanzania ndio tuliokosewa kuambiwa Wavuta Bangi lakini unakurupuka na kjitowa kwenye lawama na kumpa asiehusika. Mtowa Bangi si laqzima awe mvutaji lakini alieivuta ndio ameivuta.
 
Nadhani, kwako wewe unaielewa , ama unaichukulia kashfa kama ni matusi yale ya kitandani. naomba nikujulishe kwamba: Bangi ni taboo (Mwiko ) pia matusi, bila kujali kama ni ya mdomoni ama ya kitandani, nayo ni taboo. sasa sielewi unachokiongea hapa. kwa mfano. spika kaingiaje kwenye mada hii?. kwa taarifa yako, kulingana na sheria za Tanzania, bangi ni zao haramu. halikubaliki.

Kijana kama ni mdogo hebu uliza tusi hili alilitowa nani?" Eti Rais wa nchi anashauriwa na mkewechumbani". Jee hili na Bangi lipi ungeita kashifa? Hilo ni tusi la nguoni lililotaka kumfanya Mzee Mwinyi ajiuzulu. Sasa huyo Saint wako unahisi amekashifiwa wakati yeye mwenyewe hakuona kuwa kashifa ni kosa katika kukosowa!
 
haueleweki unachoongea, unaniuliza tusi katoa nani?!!! mimi sio mtu wa masijala. mimi ni mchangiaji wa mada husika. siku nyingine nakuomba uchangie mada kwa utulivu ili uweze kueleweka, lakini sasa majibu yako hayana mpangilio. naomba uniwie radhi.
 
Kwa hakika hii ni typing error. Tusibishane kwa ajili ya typing error. Nyerere alitaifisha shule ili Waislamu waweze kusoma. Mimi nimesoma katika shule ya Kikristu na Waislamu wengi. Waislamu wanasema zamani shule za Kikristu ndizo zilikuwa nyingi,Wakristu tu ndio waliokuwa wanasoma,Wakristu tu ndio waliokuwa wanapata ajira. Na Nyerere ndiye aliyerithi huo mfuom kutoka kwa Wakoloni,eyey ndie alikuwa kiongozi,kwa hiyo,unaweza kusema, kwa hali fulani,yeye ndie mwenye makosa.
Sheikh Kassim bin Juma alikuwa ansema,''Kila unapomuona mtu maskini Tanzania,more often than not,atakuwa ni Mwislamu,ndio maana tunasema hii nchi ina mfuom-Kristu,na hayo yote yameanza wakati wa Nyerere.......''

Hapo kwenye red umeeleza vizuri sana. Sasa usiposoma utaukimbiaje ufukara? Kwa kifupi tu ufaham kwamba wakat wenzetu wakristu wanang'ang'ania shule sis unakuta tunapigania madras, kuongeza wake, kucheza bao n.k. Ndio maana hata sishangai maana haya magazeti huwa yanasomeka kwenye vijiwe vya wacheza bao na wale wanaoshindana na uelekeo wa jua mchana kutwa. Kwa kuwa habari ni sehemu ya kuelimika sis tuliyonayo ni majungu maana ndio mtaji wetu. Kwa ufupi tu ni kwamba hata TOP 500 best universities in the world, hakuna hata kimoja kutoka nchi ya uislam. Kuna maswali mengi kuhusiana na hilo lakin itabid tujiulize kama kweli yetu ni ya akhera tuu au akhera na ya dunia! Kama ni akhera basi tuukubali ufukara wetu na haya majungu, NASEMA TENA MAJUNGU tuyaache. Mngekuwa mnatupigania kweli mngepita misikitin huku mkituhamasisha tusome, mmekaa tuu mnatujunguza bila hata kuwa na ajizi. NAWAKILISHA MWANAHARAKATI
 
Aliyeandika hiyo Habari na wote wanaomuona Mwandishi kuwa yuko sahihi, ndiyo wanaofikiri baada ya kutumia "Bangi" la kwenye kibuyu!
 
Unaposema Baba wa Taifa langu una maana gani zaidi ya sifa tu au heshima? Hata hivyo huyo Baba hakuwa Saint kwamba hakuwa na mabaya. Sasa tunaposema mabaya yake unasema katukanwa? Naam wewe unahisi Bangi ni majani lakini kwa wengine Bangi inaweza kuwa jambo jengine na hilo jambo pengine ndilo alilolikosea na kulaumiwa, sijui ni kashfa hiyo?

Ilikwisha semwa kuwa ELIMU YA MJINGA NI MAJUNGU, sasa uandishi wa namna hii ni MAJUNGU kwa sababu alipokuwepo hawakusema lolote, sasa keshaondoka ndo wanaanza kusema na kupiga MAJUNGU!

Ila hii haishangazi sana kwani wajinga walikuwepo toka enzi na enzi, kwani hata YESU KRISTO ambaye ni zaidi ya MTAKATIFU, walimkamata na kumuua kwa kumsulubisha. Leo iwe huyo mwandishi anayetoa kashfa baada ya kula "bangi" na kulewa amani na mshikamano aliyoiacha Nyerere!
 
haueleweki unachoongea, unaniuliza tusi katoa nani?!!! mimi sio mtu wa masijala. mimi ni mchangiaji wa mada husika. siku nyingine nakuomba uchangie mada kwa utulivu ili uweze kueleweka, lakini sasa majibu yako hayana mpangilio. naomba uniwie radhi.

Kijana inabidi unapotaka kuingia baharini itabidi ucheki uwezo wako wa kuogolea!
Kwani nani hapa ni hakimu hata ukashitaki kuwa Nyerere kakashifiwa? Unapoingia kwenye mjadala inabidi uwe na uelewa wa kutosha na mada unayoichangia.
Basi kama wewe si masijala mimi masijala nimeshakuambia kuwa hilo tusi alilitukana Nyerere kwa Rais halali wa nchi na pengine alifanya hivyo kwa kuhisi kuwa ana haki ya kulaumu kwa mujibu alivyoona yeye. Sasa iwapo kama yeye alifanya hivyo nini tatizo kuambiwa kuwa alichokuwa akitupa ni Bangi?
 
Ilikwisha semwa kuwa ELIMU YA MJINGA NI MAJUNGU, sasa uandishi wa namna hii ni MAJUNGU kwa sababu alipokuwepo hawakusema lolote, sasa keshaondoka ndo wanaanza kusema na kupiga MAJUNGU!

Ila hii haishangazi sana kwani wajinga walikuwepo toka enzi na enzi, kwani hata YESU KRISTO ambaye ni zaidi ya MTAKATIFU, walimkamata na kumuua kwa kumsulubisha. Leo iwe huyo mwandishi anayetoa kashfa baada ya kula "bangi" na kulewa amani na mshikamano aliyoiacha Nyerere!

Sasa si unaona kuwa ilikuwa BANGI! Kwani kuna wakati maalum wa kutajwa mtu? Iwapo alifanya makosa na ikabainika kuwa alifanya makosa basi atatajwa .
Hivyo tunapokaa tukatowa hotuba zake tuna maana gani iwapo unahisi aliekufa hana nafasi ya kujadiliwa.
Inaonyesha kuwa hiyo Bangi ilikupata sana kiasi cha kumvuta YESU kwenye mada ya binaadamu wa kawaida kama Nyerere.
Nikushauri kijana iwapo tupo dunia iliyo huru wacha tuseme yanayotukwaza kwani hizi tofauti zetu tutaziondowa vipi bila ya kuzieleza?
Kijana mambo ya dini naomba uende huko kwenye nafasi yake naogopa kukujibu ikawa natowa kashifa jambo ambalo mimi mwenyew naliepuka.
 
Ilisemwa na wahenga, "Small minded people discusses about people"! Kuhusu Masihi nilikuwa nakutolea mfano kuwa hata watakatifu hawakuonekana lolote si chochote machoni pa wajinga! Hayo mengine unayowaza ni uwezo wa akili yako unavyo process information!
 
Hewalla bwana mwenye broad minded lakini sisi Waswahili husema kuwa "Mwerevu huwa hajitambui na ukimuona mtu anajikweza huko basi ni kinyume chake" Pengine ingekufaa kujuwa kinyume cha mwerevu!
 
Back
Top Bottom