Nyepesiiiii!!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Mwanaume akifika kileleni starehe yake huisha baada ya muda wa sekunde 6 wakati mwanamke ni sekunde 23 hii ina maana kwamba kama wanawake wanataka usawa basi wanahitaji kuhakikisha wanaume wanafika kileleni mara 4 kwa wao kufika mara moja.

Kuna aina mbili za uume ya kwanza ni ule ambao ukisisimliwa hutanuka (grower) na aina ya pili ni ile ambayo huonekana mkubwa kabla ya kusisimuliwa na ukisisimka hauongezeki (shower)
Utafiti unaonesha ni wanaume asilimia 79 ni growers na asilimia 21 ni showers

Kuvuta sigara huweza kufanya uume kuwa mfupi (shorten).
Kusisimka kwa uume ni suala la kujaa kwa damu na kuvuta sigara hupunguza mishipa ya damu kufanya kazi.

Ili uume umwage sperms ubongo hauhitajiki kwani amri kutoka kwenye spinal cord na si kwenye brain. Ingawa ili tendo zima lifanyike kunahitajika muda mwingine wa kuwaza kuhusu sex.

Madaktari huweza kutumia ngozi inayotokana na govi la uume uliotahiriwa kwa ajili ya kupandikiza ngozi kwa watu waliungua na gomvi moja huweza kuzalisha 23,000m2 za ngozi.

Mwanaume aliyetahiriwa anaweza kurudishiwa hali yake ya kutotahiriwa upya akitaka. Kinachofanyika ni kuvuta ngozi iliyobaki karibu na pale walitahiri.

Ni mwanaume 1 tu kati ya 400 anayeweza kugusa uume wake kwa mdomo.

Wastani wa tendo la ndoa kwa watu wote huisha baada ya dakila 2 na sekunde 50, hata hivyo wanawake huendelea kujisikia raha zaidi kwa wastani wa dakika 5 na sekunde 30.

Kadri mwanaume anavyokuwa na uume mrefu anakuwa na uwezo wa kurusha sperms mbali zaidi kuliko mwenye uume mfupi.

Utafiti unaonesha wanaume wenye sura nzuri wana sperms bora zaidi. Hii ni baada ya watafiti kuweka picha za wanaume wenye sura nzuri, mbaya, na kawaida na wanawake waliambiwa kila mmoja achukue picha ya mwanaume anaona anamfaa, picha zilizokuwa nzuri ndizo zilikuwa na sperms bora na ndizo wanawake walizichagua.

Source: Mike Zimmerman (Germany)
 
duh! sasa ina maana kuwa sie wakawaida tutatotoa watoto wakawaida na mahandsoe wanatotoa mandsome.....kwa wanawake je inakuwaje?
 
Je katika utafiti huu walimuhushisha Dr wetu Kikwete? kama hajahudhuria basi is Nosense
 
Mbombo Jilipo........... kaka haka kautafiti kamenivutia kweli, Ahsante kwa kutuelimisha mkuu.
Sorry lakini kichwa cha habari kinaashiria kama vile huu utafiti ni udaku tu, au ni mimi sijaelewa?
 
Mtabuzi si udaku thts the fact .... 1 tu kati ya 400 anaweza kulamba ahhahha tuanza na wewe ili kuhakiki utambuzi unaweza huwezi the kwa Asprinmaskini jeurikibuku asiliamzalendoDasa na wengine wengi mazabzab
 
http://2.bp.blogspot.com/_Uf3wKuI_75k/SKUAlaZpU3I/AAAAAAAAA6A/s6GFoMRR2TQ/s1600-h/Love.bmpUtafiti unaonesha wanaume wenye sura nzuri wana sperms bora zaidi. Hii ni baada ya watafiti kuweka picha za wanaume wenye sura nzuri, mbaya, na kawaida na wanawake waliambiwa kila mmoja achukue picha ya mwanaume anaona anamfaa, picha zilizokuwa nzuri ndizo zilikuwa na sperms bora na ndizo wanawake walizichagua.

Source: Mike Zimmerman (Germany)

Sawa Pdidy nakubaliana na wewe... ila ubora wa sperms kwa maana gani kuwa-zinaishi muda mrefu au ubora wake unakuwa kwa mtoto atayezaliwa?au huko zinako-penetrate muwekewa anasikia burudani zaidi ya zile ambazo si bora?
 
Kwahuu utafiti naona ungegeukia upande wapili wa shilingi(wanawake)ingekuwa bora na kuletd usawa katika jamii
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom