Nyepesi Nyepesi - 7 April Rebranded as Double K's Day!

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,163
Nilijua tu na mie lazima nipate cha kuanzishia sred kufuatia kifo cha Msanii Maarufu.

Inasemekana, kuna uwezekano wa tarehe 7 April kuitwa :A S new:Double K's Day.:A S new:
Hii inatokana na kwamba Kanumba na Karume walipumzika tarehe hiyo.

Na ni Public Holiday, kazi kwenu kununua nguo za siku kuu na mapilau. Ndo hivyo!:smash:
 
Nilijua tu na mie lazima nipate cha kuanzishia sred kufuatia kifo cha Msanii Maarufu.

Inasemekana, kuna uwezekano wa tarehe 7 April kuitwa :A S new:Double K's Day.:A S new:
Hii inatokana na kwamba Kanumba na Karume walipumzika tarehe hiyo.

Ndo hivyo!:smash:
.
Sred yako haijakaa kimbea. We ni nouma..
 
Hii ilikuwa assigment ya mwezi huu, si unaona bado na za wengine zinashuka.
Dead line ya assigment ni mwisho wa mwezi, ikifika Mei Mosi ambayo nayo ni Public holiday huruhisiwi tena nitoke vipi.

.
Ingekua mtihani tayari ungekua umefeli manake tangu tar 7 unatunga uzi. (run out of time)
 
Wafanya biashara wanaweza pata Bizness aidia hapa kwa kuandaa tisheti zenye sura za hao watu wawili kwa nembo hii.

.
Inawezekana ndo herufi uliyokua unatumia wino mwingi wa kalamu yako ukiindika kwa kurudiarudia.
 
Oooohhh Kong's Plliiiz...

Hebu edit hii post yako afu andika " NB; Rukhusa kuchakachua"

Maana nimeapa sitaki tena kutia neno juu ya hili sokomoko la huyu marehemu "K" mpya
 
Back
Top Bottom