LOVI MEMBE
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,122
- 183
Wengine tumeshindwa kuifungua hiyo attached file.
hata kama Nundu ni msafi lakini uwezo wake kuisimamia wizara ni mdogo. majukumu aliyo nayo yanahitaji mc ya giga byte 2(2GBs) yeye ana 256MB hapa lazima computer ijam na yeye ameonyesha hivyo ubishi wa nini nundu kaka si ukae kimya!!!!!!!!!. nchi yetu haijapungukiwa kiasi cha kukosa watu competent wa kuchukua nafasi yake awe muungwana aache ubishi. chini ya usimamizi wake reli imekufa treni kwa mara ya I inaishiwa mafutakatikati ya mistu halafu yeye anasema hawezi kujiuzulu. hata watawa hawana dhambi lakini hawaongozi wizara. tunamshauri ajitoe kwa nia njema kabisa ya kulinda maslahi ya nchi hii