Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,200
- 79,430
tuletee an alternative basi... tuletee bank ya nchi za magharibi zitakazotoa US$ 400 mio. at interest rate 3%! we sijui nikuitaje, jamani msibishe tu alimradi tu "hupendi", kuwa realistic and open minded! BTW Nundu wizi wake haukuenda nje ya China alienda mtaa wa pili tu visiwa vya hapo Hong Kong ambayo ni party of China!Again,
Kikwete kumteua Mgawe kama DG Bandari big mistake. Ama labda ni control tactic.
Kuna siri nzito hapa, na Nundu anaweza kuwa "Bangusilo" tu.
Sipendi mkataba mkubwa wa miaka 45, sipendi the fact kwamba tuna deal na Wachina (one has to only look at the record of the Chinese, particularly CCCC, in Angola, esp oil exploration, to add two and two), sipendi kwamba taratibu za tender za separation of duties hazifuatwi, sipendi kwamba hakuna transparency, sipendi kwamba Bandari hawajajifunza kutokana na historia kesi yao ya sasa.
Sipendi ukweli kwamba wananchi hawana imani na serikali kiasi cha kukubali kirahisi kwamba Nundu kakosea.
Kabla ya kufanya anything conclusive, tunahitaji habari zaidi.