Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

waheshimiwa habari zenu?
eti mfano tangazo la kazi wanataka uambatanishe na referee letter,afu huyo referee wako mwenyewe labda yuko dar na wewe uko mwanza,ivi inawezekana hiyo barua ukaindika mwenyewe tu kwa niaba ya referee wako na ukapachika details zake then ukaituma?
kuuliza sio ujinga jamani so naomba nisionekane kilaza.

unaweza kuandika na ku saini, miandiko isifanane tu, mm nshafanyaga hvyo na kazi nkapata ni pm kwa maelezo zaidi
 
WAKUU HIVI HII ISHU YA KUWA BARUA YA KUOMBA KAZI YABIDI IANDIKWE KWA MKONO NA SIO KUICHAPA KWA MASHINE NI SAHIHi?
 
KUNa JAMAA ALIKUWA ANAMWAMBIA MWENZIE,
KWA KIGEZO KWAMBA EMPLOYERS NEED TO SEE APPLICANTS' HAND WRITINGS.
YULE ALIYEAMBIWA IKAMBIDI AACHE KUICHAPA, AKAIANDIKA KWA MKONO.

mara nyingi naonaga kazi za halmashauri ndio wanataka uandike kwa mkono.
 
Wakuu Salam Kwenu! Hili Kwangu Limekuwa Tatizo !.....Ndio Kwanza Nataka Nianze Kuomba Kazi, Ila sehemu Nyingi Wanahitaji Uambatanisho Wa CV, Nami Sina Uzoefu Wowote!Nifanyeje?
 
hauna experience vp inamaana haukufanya field au dissertation yoyote mpaka unamaliza chuo maana kwa ninavyojua ndipo unapoanzia huo uzoefu
 
hauna experience vp inamaana haukufanya field au dissertation yoyote mpaka unamaliza chuo maana kwa ninavyojua ndipo unapoanzia huo uzoefu

field sio experience mkuu...
ila namshangaa graduate huna hata experience ya kuvolunteer sehem!!???
 
field sio experience mkuu...
ila namshangaa graduate huna hata experience ya kuvolunteer sehem!!???

mkuu tupe elimu hpo km field cyo experience na yy kamaliza shule mwaka huu nakupata hata volunteer cku hzi hujui kma ni ishu ?
 
Unapojtolea kufanya kaz(volunteer) hakksha unapomalza kufanya kaz hyo unaomba japo notification inayoonesha kwamba ulivolunteer mahal hapo il kuiweka km CV
 
unaweza kuandika na ku saini, miandiko isifanane tu, mm nshafanyaga hvyo na kazi nkapata ni pm kwa maelezo zaidi

Hakikisha unapoweka wadhamini(referee) unawataarifu kwa sababu utaweka mawasiliano yao sasa wasije wakapgiwa simu wakadai hawajui lolote, watajua we mbabaishaji haupo makini.
 
field ni pratical training,ie hands on job done ,its a tryal..,,for somehow it generates experience lakini proffesionally it is a part of career development ...zipo field pia za namna mbali mbali so ingeneral field ni practical training ndo mana tunakua na assesments,but kwa job tuna assesments pia but zenyewe hua ni yearly au summative unlike field....,
 
Back
Top Bottom