Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa siku nyingine ndo ukome hahaaaa watu humu ndani watata sana
 
Mwaka wa mwisho chuo kikuu hujui kuandaa cv??? unataka na hiyo ufundishwe na Profesa fulani??? Jishughulishe!!!!!!!
 
Wadau wa JF habari zenu?,
Ombi langu ni maelekezo ya jinsi ya kuandika CV,
Kama inawezekana nisaidieni mfano wa CV.
 
Unaweza kuwaona experts wanaoprovide training kuhusu hayo mambo,nipm kama uko interested nikupe contacts.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom