Nyani Ngabu na Yo Yo enzi zao...

Status
Not open for further replies.
  • vijana wa zamani hao
    229306_10150190451807073_609802072_7530269_7068531_n.jpg
hehehehehahahahah nyie watu sijawahi kucheka kama leo ahahaha hao washikaji ahahahaha.......
 
Acha arifu......hizi picha nimecheka sana hapa.....hamna groupes bana hapa nilipo....Hapo ndio nilikuwa naenda seminarini....no msuba
ahahaaaa huo mkoba nilidhani ndo umeifadhi mimea jumlisha na ulivoinua mkono juu noma
 
loh guys! mecheka sana! hasa huo mkaptula wa NGABU..maweee...utadhani ako na ngiri maji! U made ma day INVIZIBO
 
loh guys! mecheka sana! hasa huo mkaptula wa NGABU..maweee...utadhani ako na ngiri maji! U made ma day INVIZIBO
na iyo radio sijui walikuwa wameweka wimbo gani eheheeeeeeeeeee nn bwana sijui nepi ya enzi hzo
 
333evlc.jpg


Hapo juu ni Yo Yo akiwa kwenye pozi la picha.

Chini ni Nyani Ngabu (katikati) akiwa kwenye pozi la picha.

20z8uvt.jpg


Hapo walikuwa wameulamba tayari kukabidhiana na hawa wakina mama wawili kushoto, juu ya huyo msichana kulia. Sijui nani alikubaliwa.
ctc_04_img1072.jpg
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom