Nyani Ngabu Kafa!!!!

Status
Not open for further replies.
...michango ya mazishi napokea mie!! kwa taarifa zaidi ni-PM, sipokei chini ya $$100 (jiti la kinyamwezi)....tafadhalini naomba tujitahidi na hivyo "vijisenti" ili zoezi hili la kumsitiri mwezetu liwe lenye mafanikio na mfano wa kuigwa/ushirika wetu kana ndugu ktk shida, dhiki, misukosuko na raha hapa JF!!

asanteni...YNIM.


mkuu naunga mkono kuna jamaa anasema tumzike mwenzetu akiwa hai, maana kumsaidia kabla hajaelekea kuzimu sasa tukimpatia tutakuwa tumeonesha ushirikiano na undugu ila isije ikaishia kwako tu
 
mkuu naunga mkono kuna jamaa anasema tumzike mwenzetu akiwa hai, maana kumsaidia kabla hajaelekea kuzimu sasa tukimpatia tutakuwa tumeonesha ushirikiano na undugu ila isije ikaishia kwako tu

..sasa mbona hujani-PM? au ndio maneno tu! inuka uhesabiwe..wenzako wameshajitokeza, account inaanza kutuna!
tena tunampango wa kuanzisha foundation flani hivi ya kumuenzi bwa'marehemu...vijisenti vya huko, vitatumika kujinga na ku-finance after school programs na kutoa awareness juu ya gun violence kwa ATL's inner city and underprivledged kids..weka vijisenti vyako kwenye good course na sio kila siku kununua "working girlz" kusema ngunga unayopeke yako! ebo

asante....michango ni nyeti waja'ameni, acheni maneno miiiingi!!.
 
OMBI KWAKO NYANI NGABU:
Hii thread ifungwe, mimi ninapoangalia mlolongo wa thread macho yanavutwa na hii halafu nashta vibaya. Naomba Nyani Ngabu uridhie ili MODs waifunge. Ujumbe wako umefika ingawa umetumia mfano mkali kupita kiasi.
 
baada ya Hillary kupoteza matumaini na ngabu kaamua kumfata kwa kujilipua heee heee mwaka huu kazi


tusalimie sana Br Ditto Ballali na wengine waambie JF inaendelea kuchambua karanga.

kwi kwi kwi, sasa masikini sijui Nyani Ngabu yupo visiwa gani? Mpaka sasa BINAMU wa Nyani ngabu hajanijibu msiba upo mahala gani?
 
Huyu jamma nilijua tu lazima afe tu na risasi NDIVYO Alivyo! tetheheheheh

pole Nyani wote wa JF Ville protected animo rest in Shit! oops RIP
 
Sijaona Mushi1 amepost humu au ameamini kuwa NN amekufa? wat bwana kwanini hamtaki kuamini kuwa nyani ngabu amekufa, bado kidogo ndugu zake watatangaza kuwa nyani atachomwa moto tarehe gani na wapi ili tuudhurie na sisi na kuaga mwili wa marehemu.
 
We binamu wa nyani mwenyekuiga tabia za kuhamakaki za NYANI NGABU ambaye sidhani kama unaijua JF na rules zake na ikawaje ukapost ktk forums na kujua utaratibu kuwa issue nyeti hazikai thread ya udaku?? Pia naamini friday ilianza vyema na itaisha kwa kishindo. Kwa taarifa yako siku hizi ZIRAILI anajua kusoma maana zamani alikuwa anajua kusikia na kuona tu... mie simo

Mzee Mwanakijiji imekuwaje ukaacha uongofu wako?? au ulitaka kucheka wikend???
 
kwi kwi kwi, sasa masikini sijui Nyani Ngabu yupo visiwa gani? Mpaka sasa BINAMU wa Nyani ngabu hajanijibu msiba upo mahala gani?

Msiba uko maeneo ya Dunwoody. Anwani kamili itafuata baadae. Natumai nimejibu swali lako ingawa kwa nusu nusu....
 
Msiba uko maeneo ya Dunwoody. Anwani kamili itafuata baadae. Natumai nimejibu swali lako ingawa kwa nusu nusu....

Mkuu mbona Fulton County Police Dept(South) hawana taarifa za shooting yoyote iliyotokea Camp Creek Market Place? wala WSBtv au WAGA nazo hazina hizo taarifa imekaaje hii?
 
Mkuu mbona Fulton County Police Dept(South) hawana taarifa za shooting yoyote iliyotokea Camp Creek Market Place? wala WSBtv au WAGA nazo hazina hizo taarifa imekaaje hii?

Bana eeeh....shooting kibao zinatokea ATL....na sio zote zinapata coverage ya TV au kuripotiwa polisi....
 
Habari hii imepostiwa jioni hii.

Nafikiri bado tuna muda kidogo wa kusubiri ukweli na detail za namna jamaa alivyopigwa risasi.

Tatizo ni jinsi habari ilivyoingia. Inatia sana wasi wasi. Kwa kanuni zetu hapa JF Nyani Ngabu mwenyewe ndo katoa taarifa za kuuawa kwake.

Sasa hii haiji.
 
Mwe waangalifu member wezangu, mnawekwa kwenye mtego. Kuna watu wanatafutwa hapo. Kama mnavyokumbuka mwezi wa pili baadhi ya member wa JamboForum walikamatwa na Jeshi la polisi Dar es salaam.

Katika njia za kijasusi za kupata information hii ni mojawapo. Kuwa makini!!!!!! nina kaufahamu kadogo ka haya mambo narudia tena kuwa makini. Msijaribu kupiga simu, kureplay mail hata kwa mail address unayoifahamu, usiende katika hiyo hospital/kituo cha polisi kuulizia hiyo habali.

Siku nikipata wasaa nitawapa ni namna gani mtu anavyoweza tumia address yako, au password kwa wale wenye uwezo mkubwa katika mambo ya Mtandao(IT)

By profesional sio IT person lakini kuna kamchezo kadogo unaweza ukakafanya na ukapata infromation toka kwa mtu, na ukawasiliana kama vile mnafahamiana.

Ushauli wa bure, usipende kureplay mail, na hata kama ukireplay basi chukua mail address ya mtu huyo huyo toka katika address book yako.
Yameisha wahi nitokea ninayafahamu. Kuwa makini

Nimeichanganua hiyo habari kwa kina, kwa wale ambao mmesoma mambo ya utafiti(Research) mnaweza kubaliana nami. Check mtiririko mzima wa hiyo discussion toka kwa kwa huyo ndugu yake. Anatoa taarifa flani baada ya kuulizwa na kwa ufupi mno. Naweza sema kwa kutega, wee piga hiyo simu uone. Akiipata namba yako umekwisha lupango ni yako au kama sio risasi kwa sababu ya kumwumbua mweshimiwa flani katika JF
 
Hii habari inaonekana kabisa kuwa ni ya uwongo.. Wana JF tuwe makini juu ya ulaghai wa aina hii!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom