Nyangwine umechangia sana kuharibu elimu yetu.

Nyangwine alinifanya nifaulu lakini baada yakutafakari kwa kina sasa naona hana nia njema na vizazi vijavyo. Maana walimu wao ndio sisi tuliosoma kwa kukariri tutawafundisha nini?
 
mm mwenyewe rock ya form 2&4 nimetumia vitabu vyake nikapita fresh.ila huyu mh Nyangwine anatengeza jamii ya vilaza
 
Wanaoharibu elimu ni mamlaka husika ambazo zimeshndwa kusimamia hivyo vitabu vibovu vya nyangwine visitumike
 
watu wengi hawavitumi vizuri.mimi nilikuwa na solve kwanza alaf najisaishia kujua nmekosa wapi,ila wengne wanasoma dajibu na kukariri
 
nyangwine ni kada waccm, anafanya kazi ya chama msimlaumu bure!!
 
Eeeh NYAMBARI NYANGWINE & PUBLISHERS...

mungu akuope neema,baraka zikushukie kama mvua,mungu akuepusha na laana,mikosi na chuki za maadui zako.Mungu akuongezee nguvu ya kuendelea kuinua elimu yetu iliyozorota...!!
Tunatambua sana mchango wako adhimu,tunachokifanya ni kukupiga vijembe na majungu tu....

Udumu nyambari nyangwine....
 
Ameen!!
 
Nyangwine nimesoma literature ya advance tu, vitabu vingine ni PRINCIPLE OF PHYSICAL GEOGRAPHY(Monk house) , PRICHARD, WALTER RODNEY ,
 
Mtoto wa kiume...??

Wewe mjingaa namba1 ,nilipataA Mpaka ya physics na chemistry , nikachagua HGL uelewa wangu ni mkubwa kwenye masomo yotee!! ,nakushangaa wewe hata point 5 hukufika aibu sana dogo !! watu wenye heshima kama prof.shivji,prof.kabudi,dr.mwakyembe ,mh.lissu ,prof.baregu wamesoma hgl ndezi kabisa wewe
 
utakua mhaya wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom