Nyan nao wanaakil kama wewe

Badu

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
407
106
Tazama
 

Attachments

  • Nyan nouma.jpg
    Nyan nouma.jpg
    28.1 KB · Views: 616
Kumbe wana akili kama wewe sasa umeweza je kuingia humu jf kama huna utashi kama sisi?
 
Tukilinganisha akili za nyani na baadhi ya wabunge wetu matokeo yanaweza yakawa yenye kudhalilisha
 
This message has been deleted by paw
reason: Unwise comment
you've got to love paw
 
[h=2]<label for="post_imod_checkbox_4072142"> This message has been deleted by Paw. </label>[/h] <dl class="postcontent deletereason"><dt>Reason

</dt></dl> <dl class="postcontent deletereason"><dt>Reason
</dt><dd>Unwise comment
Du??/ ngoja nisepe maana hiyo unwise comment ni ngumu kweli kujudge.
</dd></dl>
 
Hapa nina wasi wasi Paw anaweza kukupa kifungo cha mwaka
ngoja nisepe zangu
 
hii....kwanza unachukua mawani ya kuchomea vyuma.......unavaa.....
then unakaa kama unapiga sarakasi.....unachukua ubao....unapima sentimeta.....
baadae sasa...ndio picha inatokea......
umeelewa....?

Preta, nimefanya kama maelezo yako ya kimazingara hapo juu, nimeishia kuchafua chup! yangu na picha haija-enlarge. More help plz
 
hii....kwanza unachukua mawani ya kuchomea vyuma.......unavaa.....
then unakaa kama unapiga sarakasi.....unachukua ubao....unapima sentimeta.....
baadae sasa...ndio picha inatokea......
umeelewa....?


JAmani Preta mbona hivyo? Yaani nimecheka mpaka nimesikia njaa.
 
Back
Top Bottom