Nyampulukano Sekondari Mpo?

Katikomile

JF-Expert Member
Jul 12, 2007
471
74
Nakumbuka sana enzi za Headmaster Banyenza ambaye yupo Ihungo kwa sasa, ilikuwa ni Speak english kila kona. Ilikuwa ni balaa ukiongea Kiswahili ukaangukia mikononi mwa Mwl. Ngeni ama mulokozi
 
du we mnyampu?

we basi ni mtani wangu, maana nakumbuka siku moja tuliwazuia kupita eneo la seminary yetu pale, dada zenu walikuwa wanatutia najis sana.maan watu tulikuwa na wito kama gunia 60 hvi baadae wito ukawa haujai hata kifuniko cha kalamu!!
 
Nakumbuka sana enzi za Headmaster Banyenza ambaye yupo Ihungo kwa sasa, ilikuwa ni Speak english kila kona. Ilikuwa ni balaa ukiongea Kiswahili ukaangukia mikononi mwa Mwl. Ngeni ama mulokozi

hizi ni zile shule za kufaulisha mtu mmoja kila 25 yrs,so hawapo humu subiri 2023 utapata mwenzio!na hii thread mbona haipo mahali yake? japo ni ya last yr!
 
Du umenikumbusha mbali sana mkuu. Nakumbuka tulicheza nao mpira waha jamaa pale sengerema secondary
 
Back
Top Bottom