Nyamongo: "CDM wametujali watasimamia mazishi ya mwanangu" J'tano

Chadema bwana wanafiki kweli sijui kwa nini wanachagua misiba mpaka msiba ukiwa na maslahi juzi kafariki Sheikh Yahaya, hakuna ata kiongozi wa Chadema alifika msibani, ata kwenda nyumbani kwa Sheikh Yahaya kutoa pole wakati mtoto wa Marehemu Sheikh Yahaya, Hassana Yahaya Hussein ndio mpambananaji wa Chadema Magomeni, na alikuwa mgombea kiti cha Udiwani kata ya Mikumi Magomeni kupita Chadema, kwenye uchaguzi wa mkuu, hamna lolote wanafiki tu

Acha kudanganya watu hapa. CHADEMA waliwakilishwa na Mbowe pamoja na Zitto. Kila chama kilichokuwepo kilipewa nafasi kutoa salamu za rambirambi. Inaoneka ulipoamka ulifakamia keyboard kabla ya kutoa tongotongo, pole.
 
Chadema bwana wanafiki kweli sijui kwa nini wanachagua misiba mpaka msiba ukiwa na maslahi juzi kafariki Sheikh Yahaya, hakuna ata kiongozi wa Chadema alifika msibani, ata kwenda nyumbani kwa Sheikh Yahaya kutoa pole wakati mtoto wa Marehemu Sheikh Yahaya, Hassana Yahaya Hussein ndio mpambananaji wa Chadema Magomeni, na alikuwa mgombea kiti cha Udiwani kata ya Mikumi Magomeni kupita Chadema, kwenye uchaguzi wa mkuu, hamna lolote wanafiki tu

yaaani we ndo maana una limwili likubwa akili zote zimekaa tumboni badala ya kichwani..yaani unadhani CHADEMA ni kaka CCM wanaothamini mazishi ya wachawi akina yahaya kuliko wananchi...JK kaacha mkutano wa SADC kuja kuwahi kumzika mchawi...mawazo yako ovyo sana wewee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom