Nyamongo: "CDM wametujali watasimamia mazishi ya mwanangu" J'tano

Chadema bwana wanafiki kweli sijui kwa nini wanachagua misiba mpaka msiba ukiwa na maslahi juzi kafariki Sheikh Yahaya, hakuna ata kiongozi wa Chadema alifika msibani, ata kwenda nyumbani kwa Sheikh Yahaya kutoa pole wakati mtoto wa Marehemu Sheikh Yahaya, Hassana Yahaya Hussein ndio mpambananaji wa Chadema Magomeni, na alikuwa mgombea kiti cha Udiwani kata ya Mikumi Magomeni kupita Chadema, kwenye uchaguzi wa mkuu, hamna lolote wanafiki tu
Acha unafiki wewe,mbona mwenyekiti wa Chadema mheshimiwa alikuwepo kwenye msiba na alienda kuwapa pole wafiwa pia jana kwenye mazishi mheshimhwa Mbowe alikuwepo,uwe unaandika vitu ulivyo na uhakika navyo sio unaamua kusema uongo bila kuwa na uthibitisho.
 
Chadema bwana wanafiki kweli sijui kwa nini wanachagua misiba mpaka msiba ukiwa na maslahi juzi kafariki Sheikh Yahaya, hakuna ata kiongozi wa Chadema alifika msibani, ata kwenda nyumbani kwa Sheikh Yahaya kutoa pole wakati mtoto wa Marehemu Sheikh Yahaya, Hassana Yahaya Hussein ndio mpambananaji wa Chadema Magomeni, na alikuwa mgombea kiti cha Udiwani kata ya Mikumi Magomeni kupita Chadema, kwenye uchaguzi wa mkuu, hamna lolote wanafiki tu

We boya kweli angalia mazingira ya msiba umekuja je.
 
KWELI NIMEAMINI MISIBA NI MTAJI KWA CHADEMA.....ARUSHA NA SASA NYAMONGO....WAFE WENGINE ,WENGINE IWE NDO NGAZI YAO YA KUKWEA UMAARUFU....shame...shame..shame...!(watu wavamie mgodi wakiwa na silaha,wapambane na polisi leo wanageuka wanasiasa?)
KUFA KUFAANA....!
Siasa ndivyo zilivyo kabla ya kifo cha Osama Bin Laden Obama alielekea kupoteza umaarufu kwenye kampeni zake kwa chini ya 50% lakini baada ya Osama kuuawa akapanda chati hadi 61%.
 
Chadema bwana wanafiki kweli sijui kwa nini wanachagua misiba mpaka msiba ukiwa na maslahi juzi kafariki Sheikh Yahaya, hakuna ata kiongozi wa Chadema alifika msibani, ata kwenda nyumbani kwa Sheikh Yahaya kutoa pole wakati mtoto wa Marehemu Sheikh Yahaya, Hassana Yahaya Hussein ndio mpambananaji wa Chadema Magomeni, na alikuwa mgombea kiti cha Udiwani kata ya Mikumi Magomeni kupita Chadema, kwenye uchaguzi wa mkuu, hamna lolote wanafiki tu

Una uhakika?????Usomage kwanza ndo uongee, NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK
 
Chadema bwana wanafiki kweli sijui kwa nini wanachagua misiba mpaka msiba ukiwa na maslahi juzi kafariki Sheikh Yahaya, hakuna ata kiongozi wa Chadema alifika msibani, ata kwenda nyumbani kwa Sheikh Yahaya kutoa pole wakati mtoto wa Marehemu Sheikh Yahaya, Hassana Yahaya Hussein ndio mpambananaji wa Chadema Magomeni, na alikuwa mgombea kiti cha Udiwani kata ya Mikumi Magomeni kupita Chadema, kwenye uchaguzi wa mkuu, hamna lolote wanafiki tu

Ulitaka timu yote ya wapambanaji au ulitakaje, maana kiongozi wetu wa kitaifa alikuwepo.. sasa wewe sijui unazungumzia lipi au ndio umeamka tangu jana asubuhi kwahiyo hujui kinachoendelea umekurupuka tu.
 
Chadema bwana wanafiki kweli sijui kwa nini wanachagua misiba mpaka msiba ukiwa na maslahi juzi kafariki Sheikh Yahaya, hakuna ata kiongozi wa Chadema alifika msibani, ata kwenda nyumbani kwa Sheikh Yahaya kutoa pole wakati mtoto wa Marehemu Sheikh Yahaya, Hassana Yahaya Hussein ndio mpambananaji wa Chadema Magomeni, na alikuwa mgombea kiti cha Udiwani kata ya Mikumi Magomeni kupita Chadema, kwenye uchaguzi wa mkuu, hamna lolote wanafiki tu

Acha uzushi na uwongo ktk msiba wa sheikh Yahya CDM waliwakilishwa na m/kiti wa chadema Taifa Mh. Freeman Mbowe na hadi alipewa nafasi ya kuzungumza leo unadai hawakuwepo hilo ndo tatizo lenu magamba usanii sanii ona sasa hata ukweli unakanusha wkt hata TBC asubuhi walionyesha acheni propaganda zitawaua tumewashtukia hata ukweli wa wazi mnadanganya kweli gamba ni gamba
 
Naomba radhi wana Chadema kweli nimesoma gazeti la leo Mwenyekiti wa Taifa Chadema Freeman Mbowe ilikuepo kwenye msiba :sorry:
 
KWELI NIMEAMINI MISIBA NI MTAJI KWA CHADEMA.....ARUSHA NA SASA NYAMONGO....WAFE WENGINE ,WENGINE IWE NDO NGAZI YAO YA KUKWEA UMAARUFU....shame...shame..shame...!(watu wavamie mgodi wakiwa na silaha,wapambane na polisi leo wanageuka wanasiasa?)
KUFA KUFAANA....!

Ndugu kwenye misiba huenda ambao wafiwa wanataka. Kama watu wa chama chake walienda wakatimuliwa na CDM wakapokewa, nani alaumiwe?
 
Chadema bwana wanafiki kweli sijui kwa nini wanachagua misiba mpaka msiba ukiwa na maslahi juzi kafariki Sheikh Yahaya, hakuna ata kiongozi wa Chadema alifika msibani, ata kwenda nyumbani kwa Sheikh Yahaya kutoa pole wakati mtoto wa Marehemu Sheikh Yahaya, Hassana Yahaya Hussein ndio mpambananaji wa Chadema Magomeni, na alikuwa mgombea kiti cha Udiwani kata ya Mikumi Magomeni kupita Chadema, kwenye uchaguzi wa mkuu, hamna lolote wanafiki tu

chadema haishirikiani na mamluki. Alafu kuwa na upeo wakufikilia tarime watu wamekufa we unasema kuna maslahi.... Angepigwa risas mamako ungesema maslahi...
 
Chadema bwana wanafiki kweli sijui kwa nini wanachagua misiba mpaka msiba ukiwa na maslahi juzi kafariki Sheikh Yahaya, hakuna ata kiongozi wa Chadema alifika msibani, ata kwenda nyumbani kwa Sheikh Yahaya kutoa pole wakati mtoto wa Marehemu Sheikh Yahaya, Hassana Yahaya Hussein ndio mpambananaji wa Chadema Magomeni, na alikuwa mgombea kiti cha Udiwani kata ya Mikumi Magomeni kupita Chadema, kwenye uchaguzi wa mkuu, hamna lolote wanafiki tu

Acha umbeya, kalale
 
Mi mwenyewe nilimwona BWANA MBOWE kwenye mazishi na aliongea hivyo,sasa we unasema hukumuona nadhani we ni gamba jipya.
 
Chadema bwana wanafiki kweli sijui kwa nini wanachagua misiba mpaka msiba ukiwa na maslahi juzi kafariki Sheikh Yahaya, hakuna ata kiongozi wa Chadema alifika msibani, ata kwenda nyumbani kwa Sheikh Yahaya kutoa pole wakati mtoto wa Marehemu Sheikh Yahaya, Hassana Yahaya Hussein ndio mpambananaji wa Chadema Magomeni, na alikuwa mgombea kiti cha Udiwani kata ya Mikumi Magomeni kupita Chadema, kwenye uchaguzi wa mkuu, hamna lolote wanafiki tu

Hivi Mbowe na Lipumba na wengineo hukuwaona kwenye msiba au una chuki tu hata unashindwa kuona hilo ? Magazeti ya leo yameanika na Mbowe ametoa statemnt .Kasomee tena kabla hujaanza kuwa tuhumu Chadema
 
Jamani vidhahabu vyetu vinatuchija chija kila mara kupitia serikali yetu, sijui nifunge NOVENA kumuomba mungu afanye miujiza yake vipotee ghafla hasa hako kamgodi ka Nyamongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom