Nyamayao..Shule zimefungua leo...!

Mkwara alionipiga Kaizer sio mchezo, natamani nikuforwardie sms. Na mpaka sasa hivi uhusiano wetu hujaimarika. So sitaki tugombane ila happy new year nimemtumia PJ sh. 5000 kama hela ya lambalamba kwa watoto.

Nyamayao, i already have it in CASH!...Mambo ya M-pesa haya!

Asante Nguli!

Tunaendelea...!
 
Kuwa serious kidogo, umeona hiyo shule ambayo nyamayao alijibaraguza akapeleka vijana wake? Naongeza sifuri mwishoni 125,000/= toka kwa Carmel........ Kampeni inaendelea!
we Xpin badala unisifie nimejitahidi, maana wa kwangu mie anasoma st ujamaa primary skuli
 
Mkwara alionipiga Kaizer sio mchezo, natamani nikuforwardie sms. Na mpaka sasa hivi uhusiano wetu hujaimarika. So sitaki tugombane ila happy new year nimemtumia PJ sh. 5000 kama hela ya lambalamba kwa watoto.
Najitolea kuwa refarii! Afu jamani mwanzisha kampeni ni mimi inakuwaje michango iende kwa PJ?
 
Mkwara alionipiga Kaizer sio mchezo, natamani nikuforwardie sms. Na mpaka sasa hivi uhusiano wetu hujaimarika. So sitaki tugombane ila happy new year nimemtumia PJ sh. 5000 kama hela ya lambalamba kwa watoto.

mhhh......

we Xpin badala unisifie nimejitahidi, maana wa kwangu mie anasoma st ujamaa primary skuli
HEHEHE!
hivi kwa mfano mwanao anasoma hizo KAYUMBA PRIMARY SCHOOL,halafu jirani yako ana wanae wanasoma ST SMTHNG PRIMARY SKULI.utajisikiaje mwanao akikuomba umuhamishie shule anayosoma rafikizake?....
 
Kama nimepanga, nahama!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom