Nyama ya NYANI

Once I went to an Italian restaurant in Durban by the name "revolving restaurant. Niliona nyama ya nyano kwenye menu yao nikashituka. In short kuna watu wanakula kila kitu.
 
kuwa nimeshakula nyama ya nyani,,,,,,,,haiwezekani..:shock:


Nini kisichowezekana hapo?...........kbali tu uwe na amani! na has kama ni mtumiaji mzuri wa usafiri wa barabara za Tanzania!

Malila ni inbox your contacts tafadhali nije kukusindikiza kuwala nungunungu!
 
Mleta habari amezungumzia nyani na nguruwe pori. Sasa mbona mnazungumzia nyama ya nyani tu, hao nguruwe vipi nyama zao jamani?
 
Nini kisichowezekana hapo?...........kbali tu uwe na amani! na has kama ni mtumiaji mzuri wa usafiri wa barabara za Tanzania!

Malila ni inbox your contacts tafadhali nije kukusindikiza kuwala nungunungu!

Huyu jirani yangu Mmakonde aliyekuwa bingwa wa mitego ya wanyama pori kahamishwa na tajiri fulani. Kahamia Mkiu chini huko.
 
Mishikaki mingi inayochomwa na kuuzwa mitaani ni ya nyama ya nyani, nimekutana na kijana mmoja na tulikuwa na mazungumzo mazuri, kijana mwenyewe ni mwindaji wa wanyama, hutumia idadi kubwa ya mbwa kufukuza wanyama wakimkamata humchoma kwa mkuki na kumchinja kwa sime.

Anasema akipata nyama ya kutosha huwafunga vizuri kwenye maguni yenye mkaa na kuwapeleka jijini kwa wateja wake, ambao hugombewa sana, kwani vijana wachomaji wanasema nyama yao ni laini sana inayopendwa na wateja wengi.
 
Kumbe ukiingia sehemu na kuomba mbuzi ya kuchoma unaletewa nyama ya Nyani
Ila kama madhara hayapo ,haina neno
 
dah nyani si kama mtu?.... angalieni kichwa chake etc... dah! inasikitisha sana.
 
Tuwe wakweli! Kamwe mtu huwezi kuwa na uhakika wa nyama unazozila unless uwe umemchinja wewe mwenyewe huyo mnyama.

Lakini hizi nyama za kununua hususan zile ambazo zishachomwa hakuna mmoja wetu anayejua ni nyama za nini. Ni tunaamini tu kuwa tunaambiwa ukweli na hao wanaotuuzia.

Kwa hiyo uwezekano wa kula nyama ya nyani au mnyama mwingine yeyote yule ambaye hatujazoea kula ni mkubwa sana.
 
mnashangaa kula nyama ya nyani? njooni ntwara na lindi muone tunavyo ila tena bila kificho, pia ipo nyama ya kenge (huyu ni mtamu hata huyo mdudu wenu hafui dafu), samaki nchaga (mnawaita panya pori) n.k
 
Kumbe ukiingia sehemu na kuomba mbuzi ya kuchoma unaletewa nyama ya Nyani
Ila kama madhara hayapo ,haina neno

Firstlady1,
Nyama ya mbuzi na ya kondoo huwa zina test na harufu special tofauti na ng'ombe. Kwahiyo ukiagiza mbuzi na ukaletewa nyama nyingine kama wewe ni mzoefu utagundua tu kuwa hiyo siyo mbuzi.
 
Back
Top Bottom