Nyakyusa house....Kyela.

Mweeee..ndaga ba kumyitu!!
Kangi ngubuka kilabo-linga mli na kafuko ka sukari,tufuta..mli mbango angutwalapo??
 
Mazingira yanavutia kwa kweli na bila shaka inaonyesha utaalamu wa asili, ma -architechs/engineers wa kuzaliwa!
 
mtoa mada nisaidie mkibalehe sio mkitoka JANDO? sisi NGALIBA AKISHAWASHUGHULIKIA NDIO TUNAINGIZWA MBALI NA VIDOSHO HALAFU BAADA YA MWEZI NDIPO WANAPOKUJA ...............
 
mtoa mada nisaidie mkibalehe sio mkitoka JANDO? sisi NGALIBA AKISHAWASHUGHULIKIA NDIO TUNAINGIZWA MBALI NA VIDOSHO HALAFU BAADA YA MWEZI NDIPO WANAPOKUJA ...............
Mkuu JANDO sehemu hizi hata leo ni mila za kigeni , na Ngaliba huko hawa-exist.
Sawa na kumhadithia mwarabu ice cream jangwani!

Huko ukitaka kuvaa au kuvua soksi ni uchaguzi wa mtu, kuna mito kede kede kwa hygine na vidosho wa huko ni full kujiachia!
 
hao huja kutahiriwa mijini hao.
Nimemuuliza mtoa Mada hayo mafunzo ya kubalehe hakuna kukata Soksi, sasa ni mafunzo gani wanayopata angedadavua.
Maana mm jamaa zangu wa huko wanadai MUNGU aliamrisha usipunguze kiungo cha mwili wako, sasa ukiangalia kizazi cha Abrahamu wote walikwenda na walipona, kwanini nyie muende Hospital bila mafunzo?
2012_6largeimg220_Jun_2012_165951250-500x354.jpg

Picha kwa Hisani ya Mtambuzi hapo ni Uganda kwa wamaogoma wanatahiriwa hadharani, hata km ni Mzee, hii kitu nasikia imeanza huko Iringa Bado ishuke kidogo Kusini kwani hata Bunge (Naibu Spika)lilizungumzia mikoa iliyobaki muige mfano wa mkuu wa mkoa wa Tabora mwanamke kawasisitiza wale wote bado waende
 
Mweeee..ndaga ba kumyitu!!
Kangi ngubuka kilabo-linga mli na kafuko ka sukari,tufuta..mli mbango angutwalapo??

Gwamyitu! naloli ubhaghile kufikisya?? Ubha-tanganyika tuchanganyikigwe maisha makafu - tubhaghile pakukupa isukari nu munyu - tukwagha ujhooooo kutwalila ikighane kyako iki gwa kilelile kukajha
 
Namiss sana Kyela. Nilipenda ule ukijani, nilipokuwa njiani kwenda Ipinda. Nitarudi tena Kyela
 
hao huja kutahiriwa mijini hao.

Mkuu JANDO sehemu hizi hata leo ni mila za kigeni , na Ngaliba huko hawa-exist.
Sawa na kumhadithia mwarabu ice cream jangwani!

Huko ukitaka kuvaa au kuvua soksi ni uchaguzi wa mtu, kuna mito kede kede kwa hygine na vidosho wa huko ni full kujiachia!

Mkuu mbona umeshajibiwa, hakuna utamaduni wa town vijijini kwetu.
Halafu wewe hujui tu, sweta mali!!!!
Ulisa mama Ngina!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom