Nusu ya Watanzania ni Vijana na Robo ya waTz wanaishi mjini ni chachu ya mabadiliko ya siasa nchini

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Source BBC Swahili

Kulingana na utafiti uliofanywa Tanzania nusu ya watu wa Tanzania ni vijana na robo ya watanzania wote tunaishi mijini kwa maana hiyo zaidi ya 15% ya watanzania tupo mijini.

Na hii inasababisha mabadiliko makubwa hasa ya kisiasa na inatishia mageuzi ya kumfumo na uongozi.

My take:

Vijana hili ni taida letu tusipo simama na kuwaachia wazee peke yao litaanguka tubasilike tuungane kuijenga nchi yetu hasa katika siasa. Siasa na uongozi ndo unaendesha nchi, elimu na tupige kazi mafisadi tuyaondoe yote.

By Dosama
 
Nimeiskia huu utafiti wa Africa Confidential na uchambuzi wa Abubakar Famau.
 
Wingi wa vijana kinaweza kisiwe kigezo pekee katika kuleta mageuzi ya kisiasa na kiuchumi. Inategemea pia wameandaliwa na kupewa elimu ya namna gani!
 
Mie naamini inwezekana ndio maana wadau wengi wanaona kuna bomu lipo na linakaribia kulipuka mda si mrefu. Kikubwa hapa ni elimu ndo inahitajika
 
Back
Top Bottom