Nusu ya wanawake udanganya kuhusu 'makoloni yao ya zamani- Utafiti waonyesha

Hii kesi ni kwa wote si sio jinsia ke hata sisi tunadanganya,useme ukweli ukose nyama.
 
Bodaboda inabeba wawili tukigawa kwa mbili anabaki mmoja ambaye ni wewe pekee

Jamaniii lo mi pekee acha nikule nifaidiii nikumalizee ila usiishe wanaojaza daladala 3 watajibeba mi kwa raha zanguu
 
Wanawake wanaongoza kwa sababu wanaume wengi tunaomba tunakataliwa wakati mwingine kushushuliwa hivyo waweza kukaa mud a hata 3 miez Lakin wadada Siku 2 tu analalamika asharogwa amejipamba sana hata wa ahbr gani hayupo
 
hata wanaume hudanganya hasa apojua hukupitiwa na mtu.mimi memewangu alikubali kusema wanawake zaidi ya kumi ila hakuwahikukubali kulala na mschana mmoja alietahiriwa baada yakujua nimesoma nae.laajabu yule binti alikujakuongea na mimi nilipokua najiandaa kuolewa akidai hapati mtu coz ametahiriwa mimi pia sikuweza kumsaidia kwani umri ulisogea pia nilikua nimevumilia kwa muda mrefu bilakujua kinachojili chumbani.
 
Umeandikajee sijaelewaaaaa
 
Umeonaee
Ivi watu wanataka kujua idadi ili iweje
si ndo hapo hata mimi nitakudanganya alaa hata wema naw ukimuuliza anawezaz akakwambia katembea na wanaume watatu tu wngine alikuwa na mahusiano nae ila hawakusex so kazi kwako. kuamini ama la.
 
Back
Top Bottom