NUNUA SHAMBA- hekari 60, mifugo, Nyumba nk.

Shamba lenye ukubwa Wa hekari 60 lililopo eneo la Mlandizi, Dar es Salaam linauzwa. Shamba lina jumla ya Ngo'mbe 20 mbuzi 120; kondoo 70. Pia lina nyumba 1 na trekta 1 Bei: 600,000,000/=. *Kwa maelezo zaidi wasiliana na Bw. Ibrahim (Security Officer, SGS Security Company, Magomeni Mapipa, Dar) simu namba 0719 264871.
Ziada: Kama unahitaji nembo/logo kwa ajili ya biashara/ kampuni yako au service unayotoa, piga sasa- 0652 999009 au email: nachoranembo@gmail.com

Mchanganuo kwa bei ya soko

N'gombe 20 (aina gani?) mi nafikiti ni african zibu @ 400,000 = 8,000,000
Mbuzi 120 (aina gani?) @ 80,000 = 9,600,000
Kondoo 70 @ 70,000 = 4,900,000
Trekta moja (aina na umri gani?) @ 20,000,000 = 20,000,000
Nyumba 1 (ukubwa, hali yake, ubora wake??) hii ipo shambani itakua ni store @ 50,000,000 = 50,000,000
Shamba heka 60 kongowe (umbali na barabara kuu?) @ 2,000,000 = 120,000,000


jumla kuu ni TSHS 210, 500, 000! SASA DALALI UNATAKA UPIGE TSHS MILIONI 600,000,000? KWELI TUTAENDELEA KWELI WATZ HIZI? NUNUA MWENYEWE BANA
 
Ekelege wa TBS anatafuta plot nje ya dar kachoka kelele za skendo...mlandizi patamfaa kwa 'vijisenti' hivyo.
 
Ngoja niongee na huyu jamaa aliyeomba nimtangazie hii biashara kuhusu bei hii. Thanx for you contributions
 
Shamba lenye ukubwa Wa hekari 60 lililopo eneo la Mlandizi, Dar es Salaam linauzwa. Shamba lina jumla ya Ngo'mbe 20 mbuzi 120; kondoo 70. Pia lina nyumba 1 na trekta 1 *Kwa maelezo zaidi wasiliana na Bw. Ibrahim (Security Officer, SGS Security Company, Magomeni Mapipa, Dar) simu namba 0719 264871.
Ziada: Kama unahitaji nembo/logo kwa ajili ya biashara/ kampuni yako au service unayotoa, piga sasa- 0652 999009 au email: nachoranembo@gmail.com

peleka tangazo lako mahala husika
 
Nna Tsh 300,000/= hapa, ngoja nikaziweke DECI nikipanda baada ya miaka mitano, si ntakua na uwezo wa kulinunua,au...????
 
Back
Top Bottom