Numekula mtu (dada) na mdogo wake

hana legal wala 'traditional' basis bana...anatingisha kiberiti tu....ndo maana nikauliza kama jamaa ako serious na X lol....thats an easy matter kabisa.....

kimsingi dogo anajua its an easy matter..
alichofanya ni kuja kujisifia hapa..
we huoni hiyo heading ya 'nimekula mtu na mdogo wake'
huoni anajisifia kiaina????
 
kimsingi dogo anajua its an easy matter..
alichofanya ni kuja kujisifia hapa..
we huoni hiyo heading ya 'nimekula mtu na mdogo wake'
huoni anajisifia kiaina????
Boss,
Anaweza akawa anafikiri kila kitu kinaisha leo tu kumbe anajidanganya. Kitatokea nini kama itatokea akamuoa huyo x? Halafu mwanaume anayewinda anakuwa na firm target ambayo piga ua unajua nitatokea pale. Hata simba kwenye kundi la swala wanakuwa na selection na wakishachagua wanakula nae sambamba.huyu mtu asiyejua anataka nini ni mtu wa aina gani?
 
utaanza mtu na dada, mara mama, na cousins. Ukifikia hatua hiyo roho ya kikamerun huja kwa kasi sana, na unaanza kuwatafuta kaka zake. Hao kaka kazi yao huwa ni ya ungariba, sasa kama unataka kukutana na ngariba ukubwani we jaribu huo mchezo.

Ni bora kugombanisha watu wa nje kuliko wa ndani, wivu unakuja bila mhusika kujijua na waweza fanya maasi mabaya, abormination kuwafanyia wa nyumba moja hayo

Hivi kongosho Mtu an dada kuna tatizo gani?
 
kwa vile mi kilaza?? Au kunajingine

Umekwazika, masikini pole!! Jua tu kwamba ukipanda njugu, usitarajie mtama!! Umelala na dada mtu, ukaendeleza na mdogo wake! Badala ya kuonyesha kuchukia kitendo ulichofanya na kuhitaji msaada, unaleta majigambo hapa! What else do u need??
 
kunywa diclofenac au dicloper kama kichwa kinauma ikishindikana kunywa maji lita 3 kisha ulale chumba chenye mwanga hafifu wa mshumaa..
 
Umekwazika, masikini pole!! Jua tu kwamba ukipanda njugu, usitarajie mtama!! Umelala na dada mtu, ukaendeleza na mdogo wake! Badala ya kuonyesha kuchukia kitendo ulichofanya na kuhitaji msaada, unaleta majigambo hapa! What else do u need??

maoni na ushauri na sio matusi.
 
maoni na ushauri na sio matusi.

My dear KiLaZA, tutakushauri juu ya nini........ for sijaona kwakweli!! Tatizo lako we ni mbishi na hautaki kuelewa, embu yachambue hayo unayoyaita matusi! Natumai utakuwa umejifunza kitu cha msingi, hapa sio ushauri tu na mafunzo pia utayapata (tumia hili la leo as ur best lesson). Unaposema umekula dada na mdogo wake maanake nini? Unaulizwa na kukosolewa, we unajibu eti ni heading tu kama ya kwenye magazeti, unavuta wateja......what is that?? Haya, basi jitahidi na wewe kuonyesha usaidiwe upande gani, yaani ndo kwanza michano mterezo mwanzo mwisho! Ina maana hujui wahitaji nini??? If you really need help, rudi kajirekebishe then go by another thread!! By the way, how do you take that act of yours, nafsi yako inakichukuliaje hicho kitendo ulokifanya kwa ndugu wawili?
 
Back
Top Bottom