Nukuu ya Zitto Kabwe kuhusu kauli ya Mtei, Dr. Slaa na Marando kuhusu mgogoro na chama chake

ifweero

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
7,957
1,327
Zitto Kabwe alinukuu maneno ya MTEI, SLAA na MABERE MARANDO kuhusu mgogoro wake na chama chake CHADEMA na maneno yenyewe ni haya:

nimekumbuka maneno haya kwa sababu nilitaka kujua kama hali halisi ya ZTTO Kabwe ndani ya CHADEMA ni kama ambavyo hawa vigogo walisema au ni vinginenvyo,?
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    42.6 KB · Views: 4,340
Mkuu ifweero Kama CHADEMA inakufa we don't need to waste time discussing it tunaona ACT inakuja na kuambiwa inakwenda kumkomboa mtanzania kuitoa serikali dhalimu ya CCM madarakani wanaofisadi nchi hii nadhani this will be the right place for Zitto
 
Last edited by a moderator:
Khaa!!!! Bado kukana majina yao tu. Viongozi wa CDM hawaaminiki hawafai hatakupewa mtaa wauongoze. Hata viapo vyao vya awali wameshindwa kuvitunza...
 
Mbona mnahangaika sana na huyu marehemu kisiasa? Mwacheni ajifiche kwenye jeneza la act ili wazikwe pamoja!
 
Uongozi wa CHADEMA ulimlea lea sana huyu mamluki...
Nini maana ya neno mamluki. Huu umamluki na majina yote mabaya mabaya mbona yamekuja wakati huu kuelekea uchaguzi mkuu ndani ya chama?
 
Khaa!!!! Bado kukana majina yao tu. Viongozi wa CDM hawaaminiki hawafai hatakupewa mtaa wauongoze. Hata viapo vyao vya awali wameshindwa kuvitunza...

Kama huna cha kuandika bora ukakaa kimya kuficha upumbafu wako!
 
Mbona mnahangaika sana na huyu marehemu kisiasa? Mwacheni ajifiche kwenye jeneza la act ili wazikwe pamoja!
Umesoma hayo maneno ya dr slaa au umekurupuka kuropoka tu
 
Nini maana ya neno mamluki. Huu umamluki na majina yote mabaya mabaya mbona yamekuja wakati huu kuelekea uchaguzi mkuu ndani ya chama?

Mfano wa mamluki ni wale waliotimuliwa CHADEMA na kukimbilia ACT
 
Nini maana ya neno mamluki. Huu umamluki na majina yote mabaya mabaya mbona yamekuja wakati huu kuelekea uchaguzi mkuu ndani ya chama?

Kawa mamluki toka siku nyingi na tumekuwa tukikipigia kelele chama kimfukuze lakini uongozi uliopo ulimulea sana.Kwetu msaliti ni msaliti tu! Alitakiwa afukuzwe pamoja na kundi lake la masalia shonza,mchange na mwampamba.
 
Mfano wa mamluki ni wale waliotimuliwa CHADEMA na kukimbilia ACT
Kwanini neno mamluki na majina yote mabaya yamekuja wakati huu kuelekea uchaguzi mkuu ndani ya chama?
 
Kawa mamluki toka siku nyingi na tumekuwa tukikipigia kelele chama kimfukuze lakini uongozi uliopo ulimulea sana.Kwetu msaliti ni msaliti tu! Alitakiwa afukuzwe pamoja na kundi lake la masalia shonza,mchange na mwampamba.
Mkuu, to be honesty kunabsababu zaidi hiyo zilizosababisha zitto aingie kwenye mgogoro na chama chake.
1.nia yake ya kugombea uenyekiti wa chadema
2.nia yake ya kugombea urais
unasemaje kuhusu hoja hizi
 
Zitto hana nafasi...lengo lake ni kuisaidia ccm kwani imeporomoka,alisha tuhujumu kwenye mikataba ya madini so si wakutegemewa hata kidogo!ulisikiwa wapi amekamatwa na polisi au kuhenyeshwa kwenye mkutano wake....huyo ni mamluki wa kutisha ndo maana mipere inamuandama usoni.
 
Kuliko kumtukana mwenzako ungetumia muda huo kujenga hoja kinzani

Unataka hoja ipi kwenye huu uharo ulioletwa? Hivi kwa nini nyie misukule ya lumumba hata siku moja hamuwezi kuleta mada zenye maslahi kwa watz? Mkaleta mada za wezi wa raslimali zetu na namna ya kuwadhibiti,Tatizo la rushwa kwenye chaguzi,Mikataba mibovu,Tatizo la elimu na ufumbuzi wake,wahujumu uchumi,Tatizo la biashara za madawa ya kulevya,Ujangili na namna ya kuudhibiti na nakadhalika.Leteni hoja za maana tujadili ,huu upuuzi na majungu vimetuchosha!
 
Zitto ameihujumu nchi hasa mikataba mibovu ya madini....baada ya kupewa pesa akanywea....alikuja na sera zake za bilion za uswizi ee nitataja majina..yako wapi hadi leo!hilo ndumilakwili hafai hata kulumangia ugali.
 
Zito hana tofauti na mrema lyatonga....anajipendekeza na aliahidiwa uwaziri baada ya hadaa zake.
 
Back
Top Bottom