Nukuu ya leo - marekani na nyumba za ibada

Kidudu Mtu

Member
Nov 7, 2009
64
0
"Marekani inaheshimu sana nyumba za ibada, na inapiga marufuku misaada yake kutumika katika mradi ambao utaathiri msikiti." - Omar Chambo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu.

.............................................

...akizungumzia kitendo cha Marekani kutishia ufadhili wa mradi wa barabara

Chanzo: http://www.mwananchi.co.tz/newsrids.asp?id=17459
 
Ni kwasababu ya kipigo anacho chapwa, inabidi ajisalimishe, na waaangali mbali basi sababu superpower yao inaanza kuporomoka.

Takbeer, Allahu Akbar
 
Back
Top Bottom