Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 16,467
- 40,970
Jibu lako ni rahisi sana.
Makanisa yamepelekwa zenj na muungo.
Kabla ya muungano zenj haikuwa na utitiri wa mabaa na makanisa.:banghead:
Wewe ndiye huelewi kabisa. Kama wewe ni Muunguja mweusi uwezekano mkubwa mababu zako kubakizwa Zanzibar badala ya kufikishwa kwenye soko la utumwa (India??) ilitokana na jitihada ya Padre Mmisionari aliyekuwa akiwanunua watumwa na kisha kuwaachia huru, na kuwanunulia ardhi kutoka kwa sultani wa Kiarabu na kisha kuwagawia. Makanisa yamekuwepo Zanzibar kwa miaka mingi sana kabla ya Mwungano. Unaelewa lile kanisa la Anglikana la pale mji mkongwe walipokuwa wanacharaziwa watumwa wakati wa kuuzwa lilijengwa mwaka gani?