Ntukamazina Mb aikemea serikali kwa udini

Omulangi

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
1,036
265
Mbunge wa Ngara Ntukamazina amesema kuna tatizo kubwa kwa uteuzi wa uongozi katika nchi hii. Watu wasio na uwezo wanapewa nafasi kwa misingi ya udini, makabila na urafiki. Amesema hiyo inamyima uwezo wa kuwawajibisha.

Source: Bunge la jini saa 110. My take: Naunga mkono hoja. Tafadhali JK sikiliza wabunge wa Chama chako.
 
Magamba bana, yanataka huruma yetu hakuna kitu hapo! Bajeti asilimia 100 then mnaanza kulalama bungeni
 
Sensa iweke dini na kabila ili tupeane vyeo kwa vigezo vya dini na ukabila na sio elimu, uzoefu, na prior perfomance.
 
Mbunge wa Ngara Ntukamazina amesema kuna tatizo kubwa kwa uteuzi wa uongozi katika nchi hii. Watu wasio na uwezo wanapewa nafasi kwa misingi ya udini, makabila na urafiki. Amesema hiyo inamyima uwezo wa kuwawajibisha.

Source: Bunge la jini saa 110. My take: Naunga mkono hoja. Tafadhali JK sikiliza wabunge wa Chama chako.

Hilo bunge la "jini" naona na saa zake ni za kijini-jini.
 
Back
Top Bottom