Ntawezaje kuanza kutoka sifuri hadi mafanikio?

acha utani mwenzako yuko serious
Kaka vocha inalipa sana kwa mtaji alionao ulitaka afanye biashara gani? mimi naunga mkono kama ananunua kwa bei ya jumla anaweza kuza mtaji wake.hapa lengo ni kukuza mtaji ili aweze hata kuivest katika shamba lake
 
hi miundombinu, asante sana kwa vitabu hivi ni material tosha ya kumfanya mtu kutoka hatua moja kwenda nyingine.

Mungu akubariki.

asante pia. Mkuu ninakuhakikishia ukisoma kwa makini kwa akili yako yote, na ukafanyia kazi mambo yote ya msingi ktk vitabu hivyo hakika utaona mwanga mpya wa mafaniko.

Mimi nimeweza kupinga hatua kubwa sana kiuchumi nilikuwa napata faida ya tsh 1.5ml kwa mwezi lakini baada ya kusoma vitabu hivyo nikabadilika sana kimtazamo hasa katika kusimamia mipango yangu ya kibiashara kwa sasa ninapata wasitani wa tsh 6ml kwa mwezi, hakika ninaamini ndani ya muda wa miaka 5 lazima niwe milioninea.hakika inawezekana.
 
Anza na M-Pesa halafu mambo mengine yatafuata baada ya kupata faida. ila angalia na sehemu utakapoanzisha hiyo m-pesa
 
RE:
Ntawezaje kuanza kutoka sifuri hadi mafanikio?

INAWEZEKANA TENA UKAFANIKIWA SANA, VITU MUHIMU JUHUDI NA MAARIFA.
UNAWEZA KUFANYA VITU VIFUTAVYO.
KULIMA MAHINDI YA MUDA MFUPI NA KUYAUZA MABICHI
UNAWEZA KULIMA MCHICHA WA MUDA MFUPI (SIKU 21)
UNAWEZA KULIMA BAMIA
UNAWEZA KULIMA NYANYA (HASA KIPINDI HIKI CHA MVUA)
UKIHITAJI USHAURI ZAIDI TUWASILINE
Email:mtoimathias@rocketmail.com
 
RE:
Ntawezaje kuanza kutoka sifuri hadi mafanikio?

INAWEZEKANA TENA UKAFANIKIWA SANA, VITU MUHIMU JUHUDI NA MAARIFA.
UNAWEZA KUFANYA VITU VIFUTAVYO.
KULIMA MAHINDI YA MUDA MFUPI NA KUYAUZA MABICHI
UNAWEZA KULIMA MCHICHA WA MUDA MFUPI (SIKU 21)
UNAWEZA KULIMA BAMIA
UNAWEZA KULIMA NYANYA (HASA KIPINDI HIKI CHA MVUA)
UKIHITAJI USHAURI ZAIDI TUWASILINE
Email:mtoimathias@rocketmail.com

hata mimi nina kiji shamba changu, nahisi utanisaidia sana kwenye kuliendeleza shamba langu.
 
laki tatu ni nyingi mno trust me...

wenzio akina mama wakopeshwa baada ya wiki kadhaa za semina
kule ptide na finca,mkopo unaanza elfu hamsini.....

tatizo la watu wengi ni kutojua when they are so lucky.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom