Ntamjuaje kama ananipenda kweli

Nashukuru kwa ushauri wenu kwa wote mlio changia na tuliokwazana tusameheane sisi sote ni binaadamu na ndungu kupitia JF MUCH ENX
 
Habari wana JF NINA MCHUMBA WANGU NATARAJIA KUMUOA ILA NATAKA NIJUE KAMA KWELI ANANIPENDA...INGAWA ANAONYESHA KUNIPENDA LAKINI NAHITAJI UHAKIKA NAE.. NAOMBENI USHAURI

mtukane tusi ambalo unahisi hajawai tukanwa tangu azaliwe.. Afu uchek reactions..!
 
Mwambie atembee uch.i mtaani kwenu mchana kweupe, ukiona kakubali ujue anakupenda. Akigoma muache, ujue hakupendi kabisa.
 
Habari wana JF NINA MCHUMBA WANGU NATARAJIA KUMUOA ILA NATAKA NIJUE KAMA KWELI ANANIPENDA...INGAWA ANAONYESHA KUNIPENDA LAKINI NAHITAJI UHAKIKA NAE.. NAOMBENI USHAURI

Mwambie huna haja ya kuendelea na mahusiano naye...

Na mwombe radhi sana kwa kumuacha.. Na mchunie wiki nzima bila kupokea wala kujibu msg yake...

Utakuwa umepata tu jibu by the time..
 
Habari wana JF NINA MCHUMBA WANGU NATARAJIA KUMUOA ILA NATAKA NIJUE KAMA KWELI ANANIPENDA...INGAWA ANAONYESHA KUNIPENDA LAKINI NAHITAJI UHAKIKA NAE.. NAOMBENI USHAURI

tupe taarifa zaidi kwa nini una mashaka mashaka hivyo?

Jiamini ya kuwa unapendwa kama unavyojihisi...........................harakisha kufunga pingu halafu majibu mengineyo utajaziliza mwenyewe mbele ya safari.....
 
Na sisi tutajuaje kuwa anakupenda ? Kwani sisi ndo refa wenu ?
 
kitendo cha wewe kuuliza hapa kujua vipi utajua kama anakupenda ni dalili kua hupendwi.

nI KWELI NA WALA hajitambui kabisa katika mahusiano yake. Kutambua kama unapendwa siyo suali la kuja kuuliza hapa, unapaswa kutambua hilo kabla hata kuingia jf. Rudi tena kalale, ukiamka utakuwa umekuwa na umepata akili.
 
Back
Top Bottom