Ntamjuaje kama ananipenda kweli

Kama kila m2 yuko kwake ni vigumu kujua.
1.mchukue kwanza utamjua
1.chunguza background ya familia yake kwanza

human mind is dynamic, it changes with circumstances
vinginevyo tumia "love calculator"
 
Habari wana JF NINA MCHUMBA WANGU NATARAJIA KUMUOA ILA NATAKA NIJUE KAMA KWELI ANANIPENDA...INGAWA ANAONYESHA KUNIPENDA LAKINI NAHITAJI UHAKIKA NAE.. NAOMBENI USHAURI
Jaribu kumpima kwa kutumia weakness zako anahandle vp then utajua kiasi cha upendo ila chonde unaweza jaribu ndo ukaharibu kabisaaa
 
Elewa swali sio unakurupuka tuu hujui kwanini nimeuliza hivyo na sio lazima unipe ushauri wewe muelewa atanipa ushauri

Acha hizo wewe. Wewe mwenyewe ndiye unayekurupuka. Watu mpaka mmekuwa wachumba lakini bado hajui hata kama anakupenda? Kwa nini ulikubali uchumba kama hujui hata kama anakupenda? Sio kukurupuka huko?
 
Mfanyie Testing a.k.a experiment...

tena ampeleke labolatory akachek concentration ya love ndan yake!

  • A%20S%20embarassed.gif








 
Suala la kujua km unapendwa au la ni pana sana, lakini unatakiwa kutazama matendo. Mfano je huwa anatambua uwepo wako/anakujali?.
Unapokuwa na mawazo/huna furaha huwa anakuwa karibu yako kujua unasumbuliwa na kitu gani? anaona thamani yako?/anakuwa msikivu na mshauri zaidi ya mkosoaji.

Anaweza akawa anakusifia/kusifia uhusiano wenu, kuonyesha kwamba amefanya uchaguzi sahihi.

Lakini la msingi zaidi ni namna uhusiano wenu ulivyoanza==je ulitumia nguvu nyingi kumshawishi kuwa nawe au na yeye alionyesha kuwa na hamu ya kuwa na uhusiano nawe?
 
si kuna love calculator jamaa aliweka hapa?,atafute halafu aitumie aone asilimia ngap anazo
 
Acha hizo wewe. Wewe mwenyewe ndiye unayekurupuka. Watu mpaka mmekuwa wachumba lakini bado hajui hata kama anakupenda? Kwa nini ulikubali uchumba kama hujui hata kama anakupenda? Sio kukurupuka huko?

sijaona jibu zaidi sana naona swali
 
Back
Top Bottom