Ntajuaje namba zilizopigwa ktk simu

Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
6,606
10,653
Wadau nisaidieni demu wangu ana simu nokia 2600c, nyendo zake zimebadika sana kila tukionana jioni nakuta no na sms zote kadelete kabakisha zangu tu tofauti na zamani.
Mfano asbh nareset call duration to 0:00 lakini akirudi jioni nakuta call duration imekula muda zaidi ya muda wa call log
Kwa wataalam wa cm hakuna kasoftware au nanma yoyote naweza baini no zilizopigwa?
 
acha wivu kaka
 
jamani huku ni kujipatia presha za bure.......wewe unashika simu ya mwenzio kwa nini?.....migogoro mingi ya mapenzi huanzia kwenye simu....shauri yako
 
Preta
tulikuwa powa sana cm yangu ni yake na yake yangu nilianza kushtukia chezo nilipo bamba sms moja full utata, baada ya hapo akaanza kuweka cm mbali na mimi.
ninachotaka kuprove ni kama ile no bado inamawasiliano nae basi
 
Mkuu ni rahisi kwako kudhani hivyo ila mimi muhusuka ndio najua situation ikoje.
Nashukuru kwa ushauri lakini kuna namna naweza kujua?

ilinikuta ka yako kaka....unajua mi ilikuwaje? alikuwa tukiachana anabadili jina langu kwenye fon buku yake...siku nilimshitukia nilimuomba simu
halafu nikaandika swit heart kisha mwisho nika weka nukta sasa siku ya pili tunakutana nikamuomba simu kuangalia nikakuta sweet heart imerekebishwa ikaandikwa vizuri halafu nukta hakuna....nikajiachia kimtindo.
 
Tafuta njia nyingine tu utajua kuwa huwa anafuta , ipo siku atasahau tu ndio ujue siku za mwizi ni 40
 
Wadau nisaidieni demu wangu ana simu nokia 2600c, nyendo zake zimebadika sana kila tukionana jioni nakuta no na sms zote kadelete kabakisha zangu tu tofauti na zamani.
Mfano asbh nareset call duration to 0:00 lakini akirudi jioni nakuta call duration imekula muda zaidi ya muda wa call log
Kwa wataalam wa cm hakuna kasoftware au nanma yoyote naweza baini no zilizopigwa?

Tulia mkubwa sababu anakupenda ndio maana anzifuta. Siku akikucoka utaziona tu hizo sms.Labda kama wewe umemchoka unatafuta sababu ya kumpiga kibuti unaweza kusaidiwa otherwise endelea kuhisi tu lakini mwamini.

ila sofwatre nyingi zinafanya kazi kwenye smartphone sidhani kama 2600 iko katika kundi la smartphone. Jaribu ku google "sms spy software " At your relatiosnhip risk.

Teh teh
 
Preta
tulikuwa powa sana cm yangu ni yake na yake yangu nilianza kushtukia chezo nilipo bamba sms moja full utata, baada ya hapo akaanza kuweka cm mbali na mimi.
ninachotaka kuprove ni kama ile no bado inamawasiliano nae basi

ndio nikakwambia msipende kuweka mazoea ya kuchunguliziana simu.....kwani ni lazima ujue mambo yote yanayoendelea kwenye simu ya mwenzio?......ndugu yangu utakuja kuniambia lakini mtakapo ishia sio pazuri......
 
ilinikuta ka yako kaka....unajua mi ilikuwaje? alikuwa tukiachana anabadili jina langu kwenye fon buku yake...siku nilimshitukia nilimuomba simu
halafu nikaandika swit heart kisha mwisho nika weka nukta sasa siku ya pili tunakutana nikamuomba simu kuangalia nikakuta sweet heart imerekebishwa ikaandikwa vizuri halafu nukta hakuna....nikajiachia kimtindo.

Hiyo yako kaka ilikuwa mwisho na bora kujiachia tu ukijua hivyo!
 
Unapoona hakuna Uaminifu Preta lazima uchokonoe hata visivyochokonoleka kwaajili ya faida yako ujue Mvumilivu hula mbovu!
ndio nikakwambia msipende kuweka mazoea ya kuchunguliziana simu.....kwani ni lazima ujue mambo yote yanayoendelea kwenye simu ya mwenzio?......ndugu yangu utakuja kuniambia lakini mtakapo ishia sio pazuri......
 
Kijana kazi ndogo wee PM yule jamaa mwenye ID ya mgt Software. Ni noma,anawezakupa code mpaka sms zije kwako na kwake!
 
Tulia mkubwa sababu anakupenda ndio maana anzifuta. Siku akikucoka utaziona tu hizo sms.Labda kama wewe umemchoka unatafuta sababu ya kumpiga kibuti unaweza kusaidiwa otherwise endelea kuhisi tu lakini mwamini.

Mkuu una maana naibiwa nitulie tu hadi yeye anichoke?
Preta. kama nimwaminifu hatamchunguzane vipi usalama utakuwepo. mbona mwanzo ilikua poa.
 
Ndio mapenzi lakini kabla ya kum-spy jaribu njia za kidiplomasia za ana kwa ana

Mfano siku moja mkiwa mnaongea mchomekee story muulize hivi ikitokea akikuta kwenye simu yako mayu kuna message tata atafanya nini. Au Muulize wewe ukikuta meesage tata za mtu ana expect ufanye nini.? Unaweza kuunganisha hii story kama imemtokea office mate mmoja.

Mwambie vizuri nia yako ni kutaka kujua jinsi ya kutatua hisia mbaya zinazoweza kumpata yeye au wewe kutokana na haya mambo dot com. Akipanic sana .................. ............

Before spying on your lover communicate your message and in an intellingent way.
 
Ndio mapenzi lakini kabla ya kumspy jaribunzia za kidiplomasia za ana kwa ana

Mfano siku moja mkiwa mnaongea mchomekee story muulize hivi ikitokea akikuta kwenye simu yako mayu kuna message tata atafanya nini. Au Muulize wewe ukikuta meesage tata za mtu ana expect ufanye nini.?

Mwambie vizuri nia yako ni kutaka kujua jinsi ya kutatua hisia mbaya zinazoweza kumpata yeye au wewe kutokana na haya mambo dot com. Akipanic sana ....................

Before spying on your lover communicate your message and in an intellingent way.

Thanx, Point noted
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom