Ntajieleza wapi? Hapa...kha!...Siwezi.Nataka mahali pa faragha zaidi.

Naisujaki Lekangai

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
1,340
1,377
Hili ndilo tatizo la ugeni. Ni juzi tu nimejiunga hapa na nina yangu ya moyoni nataka kushirikisha wanawake wenzangu lakini nashindwa kuyaweka hapa kwani naona kama vile pako hadharani mno. Nataka mahali penye faragha zaidi. Je hiyo faragha ipo hapa JF? Mahali ambapo mtu unaweza kujimwaga na mambo ya ki-utu-uzima bila wasi? Kwa anayejua anielekeze. Asanteni.
 
PM mimi pande hii :welcome:.....nitakupa faragha
 
twende kwa wakubwa shosti....ni nini...? mambo ya bedrum.....?...uwiii....njoo kule
 
kama unataka sehemu faragha nenda kanisani kaongea na padri...hapa hakuna siri...ila wenzio wajanja hua wakitaka kuongelea kitu cha ndani cha kwao hua wanasingizia rafiki/ndugu zao kwa hiyo we ukiona issue sensitive sana we anza na NINA RAFIKI AMBAE ANA HILI TATIZO...basi hapo unaendelea kumwaga
 
twende kwa wakubwa shosti....ni nini...? mambo ya bedrum.....?...uwiii....njoo kule

Ni mahusiano shosti yananichanganya.Kila nimpataye simwelewi na tunaachana. Kwa wakubwa ndo wapi mwaya? huko huko ndo nataka. Halafu shosti, naambiwa ni PM mtu. PM si Prime Minister?Ndo manake nini sasa kuhusisha Waziri Mkuu hapa JF?
 
Ukitaka kwenda kwa wakubwa unapitia hatua hz:
1. *101*_____*5000# then OK.
hapo kwenye dash ni pm nikupe namba ya kuingilia jukwaa la wakubwa.

Asante Binti.
Una swali lingine?
Karibu.
 
wangu its lunch time nikupitie?
Alaf nili sahau kukwambia asubuhi kuwa leo umependeza sana!
Siku zote unapendeza lakini leo ooooooooh!
 
Usijali habib-choklet wangu,si unajua umechagua kifaa kipya?
Kila leo nazidi kuwaka.
Ila wangu,mchana huu sitakula ofcn,nitapitia pale Sinza Tak Awy nitabeba ili nikalie ofcn.
Ila ukitoka ofcn jioni naomba unipitie twende wote nyumbami.
 
Njoo uni PM,
Ntakusaidia binti.
Binti Stuka! Madame B si mtu mzuri!!!

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Huku jf faraga zipo kibao,
ngoja waje wakuonyeshe pa kujichimbia.

Hili ndilo tatizo la ugeni. Ni juzi tu nimejiunga hapa na nina yangu ya moyoni nataka kushirikisha wanawake wenzangu lakini nashindwa kuyaweka hapa kwani naona kama vile pako hadharani mno. Nataka mahali penye faragha zaidi. Je hiyo faragha ipo hapa JF? Mahali ambapo mtu unaweza kujimwaga na mambo ya ki-utu-uzima bila wasi? Kwa anayejua anielekeze. Asanteni.
 
Baby wangu hapa Aspirin hajakutendea haki naomba uni ruhusu kufungua jalada la mashtaka.

Asprin bhana usinichekeshe lol!!
Asa huyo model au matatizo?
Kha!!
Heri nibaki hv nilivyo,
Lol!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom