Ntafuta silver chain(Italy)

Zero_brain

Member
Feb 18, 2012
30
2
Habari wana jamvi'natafuta chain ya silver iwe made in italy kama unayo ni PM bei pamoja na gram yake tufanye biashara.
 
Ninayo mimi mkuu, imetumika mara moja kukwamua gari aina ya bedford kutoka kwenye tope, unaweza kutumia kuvuta au kunyanyua hadi tani 10! Uzito wake nikiu-convert into gr ni 175* 1000=gr175000
 
Ninayo mimi mkuu, imetumika mara moja kukwamua gari aina ya bedford kutoka kwenye tope, unaweza kutumia kuvuta au kunyanyua hadi tani 10! Uzito wake nikiu-convert into gr ni 175* 1000=gr175000

kumbe vilaza wapo kila kona.
 
haya basi Necklace umeshinda wewe

Mh, hvi kuna tofauti gani kati ya Neclace na Chain? kiswaziswazi nadhani Chain ikiwa na kidani ndy inaitwa Neclace?!!.....wengine tulikimbia umande wa kimombo banaaa, saint kayumbba!:lol:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom