NSSF's second call

Nadhani itakuwa bado,kama ingekuwa tayari wanajf wangekuwa washairusha hapa jamvini,endelea kuvuta subira huku ukiapply na kwingine.
 
Endelea kusubiri.....japo kuna tetesi kuwa yaweza chukua mwaka watu kuitwa NSSF.....
 
Wameanza kupiga cm ila wanadai wana counter check sijui wanacho counter check ni nini me nimepigiwa na tigo namba mdada kajitambulisha na kuniita jina fresh kisha akaniuliza kama nilifanya interview post gani nikamwambia basi...
 
Mi mwenyewe wamenipigia kama dakika kumi zilizopita...wakaniuliza kama nilifanya ile aptitude....sijui wanataka nini aisee.
 
Lauti kama jan ulipigiwa basi yawezekana kwani jana dogo wangu mmoja amenambia alipigiwa sema hakufanya interview ya kwanza wakamwabia ati aende kwa interview j'mos IFM, me nikajua mtu anamchezea sasa kama na jana walipiga ngoja aende hyo j'mos aje anipe jib.Sema wasiwasi wangu itakuwa vp afanye interview ama watu hawatoshi!hili swali ni gum kwetu wote tusubirie tu
 
m mwenyw sijawsoma coz wamenicol bt cjawasoma fresh kwan walio pigiwa cm wamesema ni mda gan wakuu?naomba mnijuze
 
baadhi ya wa2 walicomplain kwamba interview ya kwanza walimiss coz walichelewa kupata taarifa na wengine hawakutumiwa kabisa sms, sasa nssf wameamua kuandaa tena aptitude kwa wale ambao hawakufanya interview bt walikuwa na interest. Kama ww ulifanya bt umepigiwa sasa dat meanz uliomba nafac zaidi ya 1, so kwny data zao kuna nafac unaoneka umemiss interview. So ni kwl wanawapigia wa2 na interview ni jmoc pale IFM, mchakato unazidi kurefushwa.. ckilizieni 2
 
baadhi ya wa2 walicomplain kwamba interview ya kwanza walimiss coz walichelewa kupata taarifa na wengine hawakutumiwa kabisa sms, sasa nssf wameamua kuandaa tena aptitude kwa wale ambao hawakufanya interview bt walikuwa na interest. Kama ww ulifanya bt umepigiwa sasa dat meanz uliomba nafac zaidi ya 1, so kwny data zao kuna nafac unaoneka umemiss interview. So ni kwl wanawapigia wa2 na interview ni jmoc pale ifm, mchakato unazidi kurefushwa.. Ckilizieni 2
ila wadau sio masihara jamaa hawa wako makini sana kuliko sekta nyingine hapa nchini na wanajitahidi kutenda haki sio km walarushwa wa tra wanaita kimya kimya hawana muda mchafu wa kusikiliza complain za wa tz utafikiri nchi ni ya kwao peke yao, big up dr. Dau
 
Iv hawa NSSF wanawazimu? mara ya kwanza walitoa notice ya muda mfupi watu wa mikoani wakashndwa kuhudhuria wakalalamika, kwa mujibu wao wameamua kutoa another test kuwapa chance ambao hawakuhudhuria, ajabu hiyo 2nd test yenyewe notice yake imetolewa jana na leo so ni siku mbili na moja kabla ya test yet they xpect watu wa mkoa watakuja sasa si wazimu huo
 
Iv hawa NSSF wanawazimu? mara ya kwanza walitoa notice ya muda mfupi watu wa mikoani wakashndwa kuhudhuria wakalalamika, kwa mujibu wao wameamua kutoa another test kuwapa chance ambao hawakuhudhuria, ajabu hiyo 2nd test yenyewe notice yake imetolewa jana na leo so ni siku mbili na moja kabla ya test yet they xpect watu wa mkoa watakuja sasa si wazimu huo
mheshimiwa kwa tukio lenyewe lilivyo inawabidi wafupishe muda otherwise the process will be so long, kwa mkoani safari ndefu zaidi haizidi siku moja kufika dar alie serious atafanya test
 
Back
Top Bottom