NSSF Stakeholders furum

TODO

JF-Expert Member
Jul 14, 2011
219
62
Mkutano umeanza.wabunge wengi kwelikweli utadhani jana hawakuwa dodoma.kwa hili nadhan tunaimprove miundombinu.mbele yangu yuko zitto kabwe, deo furikujombe.
 
NSSF limekuwa ngome la wezi, hivi kwa nini ni rahisi sana kukosea michango ya mtu? mbona system za benki hazikosei kwa kiwango hicho, kila michango 10, 3imekosewa ni nini hii?, Je kwa nini michango isome kwenye system after 6 months??? mbona benki sio hivyo??

Wazee wetu kijijini wanaibiwa sana maana hawana namna ya kubishana na wezi walioko mjini, inabidi wachukue tu kilichopo. Hii ni mpaka lini???
 
Back
Top Bottom