NSSF kutatua tatizo la umeme Tanzania

Sometimes mt unakuja JF kwa kutegemea ungepata kuchangamsha akili na ubongo kwa kujadiliana mambo akini wapiiiii

Its so sad

Threads za NSSF humu ndani ziko kama 50 hivi na nakumbuka tushajadili hiyo ya QUALITY, DR MASAU, INVESTMENTS ZA NYUMBA, STRUCTURE, DARAJA MAFAO NA KADHALIKA...it just a matter of kubonyeza SEARCH lakini wapiiii

Sasa nimekuja na ya Umeme kwa kutegemea kuwa tutajadiliana PROS and CONS za hawa jamaa kuingia kwenye biashara ya Power Generation...gues what? no one wants even to discuss this. Sasa wenzetu ambao wanataka kujua a thing or 2 out our discussions wanashindwa hata kutuelewa

saa zingine nikiwa kule zanzinet au ethinktank nasema why cant GREAT THINKERS jadili mambo kama enzetu? as if tuna Mental block vile!

ndio hivyo GR8 THINKERS @ WORK
 
Mbona watu wamechangia na tumedisccus

Mfano mi nimeuliza what is the vision mission or core business of NSSF. Tusifurahi tu kuona NSSF wanjenga daraja au Kuja kuspply umemme. NSSF inatakiwa ifanye mambo yanayowafaidisha stake holders wake.

NSSF inatakiwa hata iombe mikopo ya nafuu kule alikokuwa mama tibaijuka wajenge nyumba za wanachi na wafanyakazi wa kawiada sio kujenga matower tu

Hakuja miji au majiji duniniayanapendakwa matower pekee . NSSF, PPF wanaweza kwa mfao wa kianzisha mfano wampiangomiji kwa kujenga nyumba kwenye vitongoji mbali mbali Mikoa yote tanzania.

Mimi Narudia Pension Nzuri ya mfanyakazi ni nyumba. Kwa kufanya biashara kama ya mortage NSSF, PPF si tu watakuwa wamewasaidi wafanyakazi bali pia nao watapata faida kiasi.

NSSF waachane na mambo ya Umeme
 
Wakati Pension Funds zingine zikiwa hazina Investment Policies zinayoeeleweka, NSSF on the other hand wameamua kwenda Kivyao na sasa wanaingia officially kwenye biashara ya investment ya Kuwa Independent Power Supplier Tanzania .

Pension Funds zingine wamesema kuwa hili jambo wao wao bado ni kubwa mno na hawawezi kufanya maamuzi ya haraka kwani decision making Mechanism zao ni tofauti na NSSF (apparently ndio maneno ya ERIO wa PPF alipoulizwa lini wanaingia kwenye hii biashara)

On the other hand Dr Dau kule NSSF washasema kuwa hawatokaa kusubiri na wameamua ku goa head na mpango wa kutuletea umeme kwani ni AIBU kwa taifa kufikisha miaka 50 huku tuko gizani

For that I congratulate NSSF.

Habari zaidi hapa:

allAfrica.com: Tanzania: NSSF Set to Pour Funds in Electricity Generation

This is the best news na naomba wawezeshwe maana to be honest its impressive na inatia moyo kuona kuwa kuna watu pamoja na matatizo yoote tulionayo kama taifa, bado tunao ma PATRIOTS

Safi sana Dr Dau najua unaweza ninakuunga mkono mkuu
 
Sometimes mt unakuja JF kwa kutegemea ungepata kuchangamsha akili na ubongo kwa kujadiliana mambo akini wapiiiii

Its so sad

Threads za NSSF humu ndani ziko kama 50 hivi na nakumbuka tushajadili hiyo ya QUALITY, DR MASAU, INVESTMENTS ZA NYUMBA, STRUCTURE, DARAJA MAFAO NA KADHALIKA...it just a matter of kubonyeza SEARCH lakini wapiiii

Sasa nimekuja na ya Umeme kwa kutegemea kuwa tutajadiliana PROS and CONS za hawa jamaa kuingia kwenye biashara ya Power Generation...gues what? no one wants even to discuss this. Sasa wenzetu ambao wanataka kujua a thing or 2 out our discussions wanashindwa hata kutuelewa

saa zingine nikiwa kule zanzinet au ethinktank nasema why cant GREAT THINKERS jadili mambo kama enzetu? as if tuna Mental block vile!

ndio hivyo GR8 THINKERS @ WORK

Sliding unafahamu terminology ya institutional shareholders? Nadhani ndio wanachotaka kukifanya hawa NSSF which ninadhani kitawapa faida kubwa sana kama uwekezaji ukiwa makini.
 
Hapa tusishabikie bila kujua huo msukumo NSSF wameupata wapi ghafla? Inatakiwa wawashirikishe wanachama wao ndo maamuzi yafanyike, maana sasa hivi wanachama hawanufaiki na uwekezaji wa majengo yao.

Hawa NSSF ni miongoni ya mashirika manyonyaji tu. Mfano mtu anafanya kazi miaka kumi au zaidi, akiacha kazi analipwa shilingi yake ya miaka kumi iliyopita, wakati shilingi inakuwa haina thamani kama miaka kumi iliyopita! Fikiria tukifikia inflation kama ya Zimbabwe, mtu atalipwa pesa yake yote ya NSSF ataenda kununua kiberiti! Huu ni wizi mtupu!
 
Wakati Pension Funds zingine zikiwa hazina Investment Policies zinayoeeleweka, NSSF on the other hand wameamua kwenda Kivyao na sasa wanaingia officially kwenye biashara ya investment ya Kuwa Independent Power Supplier Tanzania .

Pension Funds zingine wamesema kuwa hili jambo wao wao bado ni kubwa mno na hawawezi kufanya maamuzi ya haraka kwani decision making Mechanism zao ni tofauti na NSSF (apparently ndio maneno ya ERIO wa PPF alipoulizwa lini wanaingia kwenye hii biashara)

On the other hand Dr Dau kule NSSF washasema kuwa hawatokaa kusubiri na wameamua ku goa head na mpango wa kutuletea umeme kwani ni AIBU kwa taifa kufikisha miaka 50 huku tuko gizani

For that I congratulate NSSF.

Habari zaidi hapa:

allAfrica.com: Tanzania: NSSF Set to Pour Funds in Electricity Generation

This is the best news na naomba wawezeshwe maana to be honest its impressive na inatia moyo kuona kuwa kuna watu pamoja na matatizo yoote tulionayo kama taifa, bado tunao ma PATRIOTS

Hana lolote huyu Dau kwanza anafikiri watanzania tumesahau jinsi watoto walivyokufa Tabora, ajiwajibishe kwanza kabla ya kudandia treni nyingine. Hii mifisadi ya Tanzania bwana khaaaa.
 
Kama hawawaambii ukweli wewe ulijuwaje? au wewe ndie unaedanganya?
Mi ni mmoja wa mwanachama wa NSSF so simply wanapokuja ku recruit wanachama oficn kwetu huwa wanatangaza mafao yao kama sikosei ni matano lakini hawasemi hilo fao la afya lagaramiwa vipi?
Just the way kuonyesha wanachama kua wao ni tofauti na mifuko mingine ya pension ili wapate wanachama zaidi.
 
Mimi sikubaliani na NSSF kutumia hela za wanachama kwa ajili ya ku invest kwenye risk project kama ya umeme....Tunautaka umeme sana ila hii miradi ya umeme ishakua na misukumo ya kisiasa kiasi kwamba ufisadi umekua mwingi.
Sheria ya uanzishwaji wa NSSF inaeleza wazi kwamba mifuko ya pension inaruhusiwa ku invest kwenye miradi yenye low risk na ile ambayo inasaidia ku improve maisha ya wanachama wao uzeeni..
Kama BANK KUU itakubali kuweka bond kwa ajili ya serikali ili NSSF ishiriki kwenye huu mradi kana kwamba utakapo fail au kuingiliwa na wanasiasa BOT iwe mhusika katika kulipa hasara hiyo kwa wanachama hapo tutakubali. Pia NSSF wangeweza kujiunga na mifuko mingine kujenga ule mradi mkubwa wa stigler gorge just kwa phase mpaka utakapokamilika but hivi vimiradi vidogo vidogo kama vya kununua majenereta vina mianya ya rushwa sana ambavyo vitakuja kuleta hasara kwa wanachama.
 
Kama hatujafika kwenye conclusion kwamba NSSF wawekeze au wasiwekeze kwenye umeme ni lazima kwanza tufahamu mlolongo mzima wa umeme Tanzania. Umeme wetu umegawanyika katika sehemu tatu ambazo zinaongozwa na mmoja, uzalishaji, usambazaji na uuzaji. Sasa NSSF wao wanataka kuingia kwenye uzalizashaji maana ya kwamba Watazalisha kisha watalink kwenye Gridi ya Taifa ambayo inamilikiwa na Tanesco, na Tanesco watawalipa kutokana na uzalishaji watakao ulink kwenye grid.

Tatizo kubwa kwenye swala hili ni intensive capital expenditure ambayo ni very risk kwenye return na hakuna anae jua ni jinsi gani Tanesco watalipa. Mimi nadhani njia mbadala ni NSSF kuingia Joint Venture with independent energy producer kama GenOn Energy (second largest energy indepent producer in Northern America). Hawa wanafahamu hii business, wanajua jinsi risk zilivyo na wanauwezo. Hivyo, NSSF watakuwa wame limit risk, lakini wakijifanya kuwekeza peke yao, basi mjue pesa za wazee wetu za retirement will be wiped out.
 
Note:
Mifuko ya pension imekua ikiingiliwa maamuzi yake na wanasiasa kwa kiasi kikubwa ili kutimiza matakwa yao....Mwisho wa siku wanachama wanakua ndo wabeba hasara either kwa kupewa mafao madogo au kucheleweshewa mafao yao....maana sidhani kama kuna mwanachama anayejua formula halali ya kukokotoa kiasi cha mafao yake anapostaafu.
Mi kwa macho yangu nimewahi kumwona R. Dau akizama Ikulu kwa kutumia Taxi...nikajiuliza gari la ofic ni bovu??!! waungwana wakanijibu ukiona kaja hivyo ujue kaitwa na wakubwa so kuna maagizo anatakiwa kwenda kushinikiza kwenye bodi kutoka kwa wakubwa.
So sometimes hawa wakurugenzi wa hii mifuko ya jamii hawafuati sheria za uanzishwaji wa hii mifuko ila mashinikizo kutoka kwa wanasiasa....na wanafanya hivyo purposely ili wabakie madarakani kama mnavyojua serikali yetu ukienda kinyume tu wanaku TIDO Mhando.
Most of institutions are not independent from political pressure that's why economic development for Tanzanian is always dreams.
 
Hapa tusishabikie bila kujua huo msukumo NSSF wameupata wapi ghafla? Inatakiwa wawashirikishe wanachama wao ndo maamuzi yafanyike, maana sasa hivi wanachama hawanufaiki na uwekezaji wa majengo yao.

Hawa NSSF ni miongoni ya mashirika manyonyaji tu. Mfano mtu anafanya kazi miaka kumi au zaidi, akiacha kazi analipwa shilingi yake ya miaka kumi iliyopita, wakati shilingi inakuwa haina thamani kama miaka kumi iliyopita! Fikiria tukifikia inflation kama ya Zimbabwe, mtu atalipwa pesa yake yote ya NSSF ataenda kununua kiberiti! Huu ni wizi mtupu!

Mkuu kabla hujakimbilia kuuita wizi hebu tujadili kwanza.

Msukumo upo kwani Tanesco inatuacha kila siku tunaungua kwa joto na vyombo vyetu kuungua kwa kukosekana umeme wa kuaminika. Kutokana na hilo msukumo huu ni muhimu kwani upatikanaji wa umeme wa uhakika ni muhimu kwa taifa letu.

Ukizungumzia unyonyaji wa utendaji nadhani pension funds zote except PSPF pension zao za kipuuzi sana hazina msingi but hilo halizuii NSSF kutokuwekeza katika umeme.
 
Hana lolote huyu Dau kwanza anafikiri watanzania tumesahau jinsi watoto walivyokufa Tabora, ajiwajibishe kwanza kabla ya kudandia treni nyingine. Hii mifisadi ya Tanzania bwana khaaaa.

Mh hii mkuu wazo hili ni zuri Dau amefanya nini Tabora hebu tujuze mkuu.
 
Sometimes mt unakuja JF kwa kutegemea ungepata kuchangamsha akili na ubongo kwa kujadiliana mambo akini wapiiiii

Its so sad

Threads za NSSF humu ndani ziko kama 50 hivi na nakumbuka tushajadili hiyo ya QUALITY, DR MASAU, INVESTMENTS ZA NYUMBA, STRUCTURE, DARAJA MAFAO NA KADHALIKA...it just a matter of kubonyeza SEARCH lakini wapiiii

Sasa nimekuja na ya Umeme kwa kutegemea kuwa tutajadiliana PROS and CONS za hawa jamaa kuingia kwenye biashara ya Power Generation...gues what? no one wants even to discuss this. Sasa wenzetu ambao wanataka kujua a thing or 2 out our discussions wanashindwa hata kutuelewa

saa zingine nikiwa kule zanzinet au ethinktank nasema why cant GREAT THINKERS jadili mambo kama enzetu? as if tuna Mental block vile!

ndio hivyo GR8 THINKERS @ WORK

Tatizo JF imekumbwa na Sunami ya wao wapinzani sisi CCM, so vinavyojadiliwa ni vitu vya kisiasa na project muhimu kama hizi zinarukwa.

Electrical Production is highly capital intensive Investment ambayo sidhani kabisa ni wise kwa NSSF kuingia peke yake. Hili ni sababu ya risk ambazo ziko associate na project nzima na return ambayo imekuwa tied up with one company ambayo ni Tanesco. The worse part ni kwamba Tanesco bado ni poor structured organization with poor perfomarce, na ikumbukwe NSSF watalipwa na Tanesco, na ni hapa ambapo risk ina soar to the roof.

Nadhani NSSF wanaweza kufanya ushirika na kampuni lolote la kuzalisha umeme kutoka nje ya Tanzania. Kampuni hiyo sababu ni binafsi basi itafanya uchunguzi wa kina kabla ya kuweza na NSSF itafaidika.
 
Mimi sikubaliani na NSSF kutumia hela za wanachama kwa ajili ya ku invest kwenye risk project kama ya umeme....Tunautaka umeme sana ila hii miradi ya umeme ishakua na misukumo ya kisiasa kiasi kwamba ufisadi umekua mwingi.
Sheria ya uanzishwaji wa NSSF inaeleza wazi kwamba mifuko ya pension inaruhusiwa ku invest kwenye miradi yenye low risk na ile ambayo inasaidia ku improve maisha ya wanachama wao uzeeni..
Kama BANK KUU itakubali kuweka bond kwa ajili ya serikali ili NSSF ishiriki kwenye huu mradi kana kwamba utakapo fail au kuingiliwa na wanasiasa BOT iwe mhusika katika kulipa hasara hiyo kwa wanachama hapo tutakubali. Pia NSSF wangeweza kujiunga na mifuko mingine kujenga ule mradi mkubwa wa stigler gorge just kwa phase mpaka utakapokamilika but hivi vimiradi vidogo vidogo kama vya kununua majenereta vina mianya ya rushwa sana ambavyo vitakuja kuleta hasara kwa wanachama.

Risk ipi unayoizungumzia wewe hebu ifafanue vizuri.

Mradi wa nssf kwani ni kununua vimiradi vya genereta? Mh hilo ni kweli linaweza kuwa na mianya ya rushwa ila kama NSSf wanawekeza katika kutafuta permanent solution ya umeme Tanzania mie nawaunga mkono (Mfano kama uliotaja wa Stieglers Gorge ni mmoja wao, Wind Farm Mbeya mwengine, Kiwira Coal Mine). La msingi siasa zikijitenga nadhani itakuwa vema zaidi.
 
Naogopa! naogopa Naogopa
Kikwete na wenzake Rostam watahamia pale ili kutengeneza mkataba mwingine feki. Wasubiri kwenza hawa manyang'au yastaafu au yaondoke madarakani.
 
Je wajua kwamba kama mfanyakazi unapolipia huduma za bima ya afya kupitia NSSF ni kwamba unafanya double contribution?? Gharama ulizotibiwa nazo utakuja kukatwa wakati unakuja kudai mafao ya uzeeni.....Kwa nini usitumie haki yako yamatibabu kupitia NHIF ambapo unakatwa 3% ya mshahara wako kisheria?? NSSF hua hawawaambii wanachama wao ukweli kua hizi garama za matibabu kama zinakuja kukatwa kwenye mafao yao ya uzeeni.
Wanatumia propaganda ya huduma za bima ya afya ili kupata wateja wakati hata hawana vituo vilivyosajiliwa kisheria kutoa hizo huduma.
Kama wewe hauko NHIF siyo mbaya una haki ya kuwa NSSF.

mdau ukweli ni kwamba mafao ya matibabu yanatolewa kwa wanachama wote wa nssf pamoja na mke/mume na watoto 4.HAYAKATWI KATIKA PENSION ZA WANACHAMA WANAOFIKIA UMRI WA KUSTAAFU NA WALE WANAOJITOA UANACHAMA KABLA YA KUSTAAFU.SO MZEE POINT OF CORRECTION.NO EVIDENCE NO RIGHT TO SPEAK
 
Tatizo JF imekumbwa na Sunami ya wao wapinzani sisi CCM, so vinavyojadiliwa ni vitu vya kisiasa na project muhimu kama hizi zinarukwa.

Electrical Production is highly capital intensive Investment ambayo sidhani kabisa ni wise kwa NSSF kuingia peke yake. Hili ni sababu ya risk ambazo ziko associate na project nzima na return ambayo imekuwa tied up with one company ambayo ni Tanesco. The worse part ni kwamba Tanesco bado ni poor structured organization with poor perfomarce, na ikumbukwe NSSF watalipwa na Tanesco, na ni hapa ambapo risk ina soar to the roof.

Nadhani NSSF wanaweza kufanya ushirika na kampuni lolote la kuzalisha umeme kutoka nje ya Tanzania. Kampuni hiyo sababu ni binafsi basi itafanya uchunguzi wa kina kabla ya kuweza na NSSF itafaidika.

Mkuu nadhani unatuvunjia heshima,

Kwanza NSSF sio kama bank nadhani ndio mtazamo wako. Pili unapozungumzia capital intensive umejiuliza how long will the project start to yield return. Na je the spread baina the amount invest na return on investment itakuwa kiasi gani? Kumbuka pesa nssf ni michango yetu ambapo mpaka tutakapostaafu ndio tutaanza kulipwa hivyo NSSf inayo financial muscle ya kuwekeza ikisha ikafaidika na uwekezaji huo as simple as that.
 
Nyumba ni best asset kwa pensioner kuliko pension ya mshiko.

ni kweli kabisa nakwa NSSf kuanza kuinvest kwenye umeme bado nina wasi wasi. anee Manji iko wapi bana?!!!!
 
mdau ukweli ni kwamba mafao ya matibabu yanatolewa kwa wanachama wote wa nssf pamoja na mke/mume na watoto 4.HAYAKATWI KATIKA PENSION ZA WANACHAMA WANAOFIKIA UMRI WA KUSTAAFU NA WALE WANAOJITOA UANACHAMA KABLA YA KUSTAAFU.SO MZEE POINT OF CORRECTION.NO EVIDENCE NO RIGHT TO SPEAK
Mkuu usidanganye jukwa kama umetumwa labda kusafisha njia.....
Jaribu kucheki report nyingi za mashirika za ILO zipo wazi kua wafanyakazi wa tanzania wanafanya double contribution kwenye health insurance kwa kuchangia NSSF na NHIF.....Tunajua sheria ya uanzishwaji wa NSSF inatamka hilo fao la afya lakini hiki kipengele kingetakiwa kurekebishwa maana kiliwekwa kabla NHIF haijaanzishwa coz kinaumiza wafanyakazi two times.
Labda ni kuulize wewe...JE UNADHANI GARAMA ZA KUGARAMIA BIMA YA AFYA KWA WANACHAMA WA NSSF ZATOKA WAPI KAMA SIYO KWENYE MICHANGO YA WANACHAMA??
Hata kama zatokana na faida za investment lakini zingeweza kuongezwa kwenye mafao ya wanachama ya uzeeni badala ya kugaramia huduma ya afya ambayo NSSF hawana uzoefu nayo.
 
Back
Top Bottom