Ngoreme
Senior Member
- Dec 6, 2010
- 129
- 1
sawa lakini mi naona nssf wanafanya diversification of their on going project ambayo mi naona bado inapotentiallity sana kwani haifanyi sawasawa ktk ujenzi wa nyumba bado demand ipo kubwa na watumishi au wateja bado wanahitaji ndani ya existing clients(members) hawajagusa bado private sector ambao bado ni wahitaji wakubwa nimeona kisota project walivyo fanya na nyumba zikaisha mara moja bado mradiwao wa kigamboni kijichi upo half way kwanini wasifanye real estate ambayo ni almost risk free zone.
Hii ni sawa shirika la nyumba kuanzisha biashara ya microfinance wakidai kuwa inalipoa sana sasa is it within your strategic plans?
Mi naona pale investment section hapaja kaa vema inabidi wamshauri vema ceo wao kwani bado hawaja exploit all opportunity ktk hii area it is still niche sasa labda wanakurupuka tu tulijua serikali ndio haina busara ktk maamuzi kuwa inaongozwa na politicians kumbe nssf pia !
sasa mi naweza kuwasaidia plan ndogo tu wajenge low cost houses kwa kuuza in three or five yrs plan watu wapo wengi tunahitaji nyumba lakini kujenga ni issue wanahitaji wao kuingia mikataba na contractor wakubwa from china na pia mabank hata serikali wafanyakazi wake wote wapeleke ramani na aina ya nyumba wanazohitaji kujengewa basi huyu mtumishi yeye atakuwa hana tena mawazo ya kutafuta kiwanja wala fundi ujenzi anabakia kufanya kazi kwa uadilifu tu kwa kuwa nyumba ndio factor kubwa ya ufisadi kwa watumishi wake kama ukimuondolea pressure hii mtumishi wa serikali basi kwisha habari hii iende hadi vijijini .harafu wenyewe wawekee wale wakazi ya vijijini umeme jua basi hii nadhani wanaweza kuwa buzzy na mradi huu hadi vitukuu vya dau viukute bado mradi ndo mbichi igeni au chukueni mawazo haya