TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,887
- 11,282
this is very funny... unasema ni investiment nzuri halafu una-refer na poor performance ya tanesco..Kufuwa na kusambaza umeme ni investment kubwa inayolipa vizuri sana.
Usione Tanesco invyokufa ukafikiri kuwa si biashara nzuri. Tanesco ni wenyewe wanaofanya madudu, wizi, ubadhirifu ndio unawafikisha pabaya, kama kawaida ya mashirika yote ya uma yaliyokufa.
NSSF huwa wanaingia mikataba na mashirika binafsi na wao huinvest mifedha na huwaachia wenye uzoefu wa mambo hayo kuendesha hizo kazi, na kaka ujuavyo, kila kiwanda au shirika la uma linaposhindwa, likichukuliwa na watu binafsi linashinda.
Nampa pongezi Dau kwa kuiona hii opportunity.
i dont know how short your memories are, but i am earger to learn from you yale madudu ya manji na ma-godown ya nssf yalkifanyikaji... lile quality plaza ilikuaje... AND HOW YOU TRUST THE VERY SAME NSSF WANAOCHOTA MAKUSANYO YETU KUGAWANA
remember when it comes to mismanagement, nssf nao wana issues lukuki na kama unaweza tuambie wapi so far wameshapata faida halafu cheki wapi wamepata hasara
any investiment agency huwa inaleta ripoti zake wa members kusaidia kuonyesha direction ya growth...
rest assured one day one of this pension scheme itakwenda into liquidation kama bado ccm inawafuata kuomba pesa za kampeni na kuwageuzia investment plans
Hivi zile nyumba za polisi zina return yoyote to investment?
hivi kile chuo cha hombolo kina nay retur to investment?
hivi tuna wakuaminika kwenye huo mradi wa umeme
something are better left to real business men and not politicians and their sitters