NSSF ilinunua jengo la THI kutoka Tazara kwa bei gani?

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,598
8,738
Mimi nauliza na ushamba wangu wa kuishi nje. Je NSSF walinunua kiasi gani jengo la THI kutoka kwa Tazara mpaka wawe na kodi ya Billion Moja kwa mwaka kwa THI. THI inadaiwa TSH 6 Billion kwa miaka mitano!!. Hilo jengo la zamani la ghorofa mbili lina thamani gani?? au wagojwa wanacheza Tennis pia
 
Ni watu Serikalini ndio wamecheza hiyo Tennis Game kuhakikisha hakuna Maendeleo yoyote nchini bali ni kuhamia na marupurupu ya Wizi angalia kuna kutokielewana kidogo lakini Viongozi wa Serikalini hao wapanda ndege kuzurura nje ya nchi hakuna anayejali; CCM na uchovu wa madaraka
 
Let it go. Vita vya NSSF hapa Jamii Forum huviwezi
82.jpg
 
Let it go. Vita vya NSSF hapa Jamii Forum huviwezi
82.jpg

Vita vya nini wakati nataka kujua walitumia pesa gani kununua hilo jengo lililokuwa la Tazara!. Je kuna siri gani au vita gani hapa? kama kuna mtu mwenye bei atupe wakati wa vitisho vya kitoto umeisha ndugu hana sisi ni safi hakuna ufisadi wala uoga wowote tunakula jasho
 
Back
Top Bottom